Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,119
- 4,779
How can u manage risk ukiwa na capital kubwa? Mana nahc ukiluz una luz amount kubwa zaidi, au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ukawa na capital na ukacheza kwa size ndogo. Hivyo utaloose padogo in turn. Capital kubwa ukiwa nayo inakuondolea stress kwenye margin call na stop outs calls kwani utakuwa huru somehow with no much worries. Na pia ikitokeea umefeli katika trades, Then you will have another chance of speculating na kujiuliza na kuingia katika more trades. Maana it happens sometimes someone generates loss in 10 consecutive trades. Sasa fikiria kama una capital ndogo halafu unaanza tuu kama amateur then unapiga loss in 10 consecutive trades utakuwa katika hali gani. Hahahaaaa, BTW usishangae kupiga loss in 10 consecutive trades, hii ni kawaida katika forex, Pro wanaelewa hili kuwa sometimes shit happens with or with no reason.
Anyway, mimi binafsi siamini katika kuwa na mtaji mkubwa ndo ufanikiwe forex. Mimi naamini katika kuanza na mtaji mdogo uukuze uwe mkubwa. But ukichukua njia hii umakini wa hali ya juu unahitajika sana hususan ukiwa mwanafunzi kama sisi.