Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Sijaingia hapa muda mrefu sana. Being honest, I have never been this busy before. As far as it's worth it, then am fine.

Hope all of you guys are doing great. NFP imekaa vzr sana, nimeona the whole of my team making lots of cash, japo mimi siku trade NFP. All is well with my Germany index, DAX 30.


Leo, mimi pa1 na team yangu tuna taarifa nzuri sana. Still very very busy, lkn Nikitulia vzr saa 3 usiku tutaelezana. Mambo yapo moto moto and am really proud of you guys for the support.

Zaidi ya yote niwatakie rafiki zangu Eid Mubarak yenye furaha.

Cheers and enjoy.
 
Mkuu Mwana wa Ngurumo una execute vipi two trades or more at exactly the same price kwa MT4? Kama hapo ulipozungushia red

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ndivyo huwa Nina trade news.

1. Huwa nakodolea macho pair ninayotaka kutrade about 15 minutes kabla ya news kuwa released kuona how it behave kwenye time frame M5

2. About 10 minutes before news release ninatengeneza channels kwenye M5 ambazo ndio my minor support and resistance levels.



3. Price can break out either upward or down. So I place buy stop order about 10 pips above my resistance with a stop loss few pips like 5pips below the resistance level. So if I lose it is just 15pips.
Then I place sell stop order about 10 pips below my support and my stop loss about 5 pips above my support. If I lose it is about 15 pips
So you will put the same price orders for positions you wish to open.

NB: I recommend you better use buy stop limit and sell stop limit orders than stop orders kwa sbb stop orders zinasababisha slippage na broker anaweza akakufanyia uhuni akafungua positions when your SL has been hit kabla hata price haijafikia your entry price order.

4. Hivyo price ikimove tu you will close all opened or pending positions either manually or automatically your SL will be hit, so they will close themselves.

5. All positions in your favor should be opened and you don't put TP, instead you monitor the price as it continues to move in your favor until you see that it is reversing where you will manually close your positions



Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
I am eagerly awaiting updates.

Unajua ONTARIO mm nimeshatimba Dar. Nimetulia hapa naendelea kujinoa nkisubiria a final call mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja mkuu
 
Leo tunapiga fresh profit ya $1850, jana tulipiga about $1000 na Dow 30 futures.

Wiki hii nakuwa risk averse zaidi. Kuliko kawaida. Trump hachelewi kukubadilishia gia hewani saa ya mwisho ya safari.

Wiki inaisha vizuri.
 
Mkuu asante sana kwa taarifa. Tunasubiri kwa shahuku kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naomba nisaidie hapa "Good 'Till Canceled" na "Good for the Day" pamoja na One-cancels-in-the-order (OCO)

Nisaidie mkuu wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hey mates!! Saa 3 ndio hii.

Hope all you are doing well.

Guys kesho Tarehe 2 ilibidi tulaunch kama nilivyotangaza awali na tarehe 4 ndio tuanze na batch ya kwanza... But very unfortunately delays nyingi zimejitokeza nje ya uwezo wetu.

Kwanza kabisa kuna mambo kadhaa yaliingiliana huku upande wangu, so nikashindwa kupush hii ishu yetu. But namshukuru Mungu sasa ninavyoongea kila kitu kipo on point.

Na upande wa pili, my team are driving from SA till here. Expectations zimekuwa tofauti kabisa na reality. Kiuhalisia wamesumbuliwa sana boarders humu, sehemu zingine inabidi wakae more than 4 hrs kuprocess makaratasi. Lkn mpk saa 7 mchana, walikuwa Zambia. So hopefully Mungu akitupa uzima, kesho usiku wanaweza kua Bongo. Kama hiyo itatokea basi we will start ASAP.

As far as bado tuna uzima, ni jambo la kheri na kumshukuru Mungu. So my guys wakishafika tu Bongo, then tutastrategize upya na kujua lini tunalaunch na lini tunaanza. Lkn nina uhakika zaidi ya asilimia 90 kua hii ndio wiki ya mwisho. Wiki ijayo kati ya j5 au Alhamisi tutalaunch the programme.

Pia kati ya kesho (jmosi) ama kesho kutwa (jumapili) nitafungua uzi mpya ili kuelezea kuhusu utaratibu mzima kuanzia launch, training programme! syllabus structure, registrations & admissions nk nk.

Zaidi ya yote guys, ntakua mnafiki sana nisiposema kua the whole of this journey has taught me many lessons that I'd otherwise not learn from anywhere on earth. Nimejifunza vitu vingi sana sana sana, both negative and positive. Nimekutana na watu wengi sana, wengine wakijaribu kunikata stimu, wengine wakileta vitisho na wengine wakinipa reasonable solutions. All in all am always greatful kwamba watu wameweza kuwa na positive mindset about global financial markets, na itakua furaha kubwa sana kwangu kuona my fellow black brothers and sisters getting into the real part of it.

Pamoja sana wandugu and enjoy your weekend. Tupo pamoja hadi kieleweke.
 
Tunashukuru sana Mkuu.. Ubarikiwe sana still waiting for it.. Hatukati tamaa Mungu yuko pamoja nasi!!
 
Well noted.tuwaombee wasafiri pia wafike salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…