Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hey mates!! Saa 3 ndio hii.

Hope all you are doing well.

Guys kesho Tarehe 2 ilibidi tulaunch kama nilivyotangaza awali na tarehe 4 ndio tuanze na batch ya kwanza... But very unfortunately delays nyingi zimejitokeza nje ya uwezo wetu.

Kwanza kabisa kuna mambo kadhaa yaliingiliana huku upande wangu, so nikashindwa kupush hii ishu yetu. But namshukuru Mungu sasa ninavyoongea kila kitu kipo on point.

Na upande wa pili, my team are driving from SA till here. Expectations zimekuwa tofauti kabisa na reality. Kiuhalisia wamesumbuliwa sana boarders humu, sehemu zingine inabidi wakae more than 4 hrs kuprocess makaratasi. Lkn mpk saa 7 mchana, walikuwa Zambia. So hopefully Mungu akitupa uzima, kesho usiku wanaweza kua Bongo. Kama hiyo itatokea basi we will start ASAP.
79980cbc4b73802994badd9aa6d29b8b.jpg

As far as bado tuna uzima, ni jambo la kheri na kumshukuru Mungu. So my guys wakishafika tu Bongo, then tutastrategize upya na kujua lini tunalaunch na lini tunaanza. Lkn nina uhakika zaidi ya asilimia 90 kua hii ndio wiki ya mwisho. Wiki ijayo kati ya j5 au Alhamisi tutalaunch the programme.

Pia kati ya kesho (jmosi) ama kesho kutwa (jumapili) nitafungua uzi mpya ili kuelezea kuhusu utaratibu mzima kuanzia launch, training programme! syllabus structure, registrations & admissions nk nk.

Zaidi ya yote guys, ntakua mnafiki sana nisiposema kua the whole of this journey has taught me many lessons that I'd otherwise not learn from anywhere on earth. Nimejifunza vitu vingi sana sana sana, both negative and positive. Nimekutana na watu wengi sana, wengine wakijaribu kunikata stimu, wengine wakileta vitisho na wengine wakinipa reasonable solutions. All in all am always greatful kwamba watu wameweza kuwa na positive mindset about global financial markets, na itakua furaha kubwa sana kwangu kuona my fellow black brothers and sisters getting into the real part of it.

Pamoja sana wandugu and enjoy your weekend. Tupo pamoja hadi kieleweke.
Thank you for the update

I pray they reach here safely

Tuko tayari mkuu. Mambo mazuri sometimes hayataki haraka maana kuna wahenga walisema haraka haraka haina baraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
moment we been waiting for, pole sana boss kwa vkwazo, uchofu unalo jeshi la kutosha katika hili, support yetu n kitu kikubwa sana kwako xo kwa hilo tutakua pamoka til da end

Sent using Jamii Forums mobile app
 
thanks kwa taarifa mkuu mkombozi wa kweli kwa vijana kwa tanzania.
 
Nimejifunza vitu vingi sana sana sana, both negative and positive. Nimekutana na watu wengi sana, wengine wakijaribu kunikata stimu, wengine wakileta vitisho na wengine wakinipa reasonable solutions. All in all am always greatful kwamba watu wameweza kuwa na positive mindset about global financial markets, na itakua furaha kubwa sana kwangu kuona my fellow black brothers and sisters getting into the real part of it.
Tuko pamoja, Tusonge mbele.
 
Hey mates!! Saa 3 ndio hii.
Zaidi ya yote guys, ntakua mnafiki sana nisiposema kua the whole of this journey has taught me many lessons that I'd otherwise not learn from anywhere on earth. Nimejifunza vitu vingi sana sana sana, both negative and positive. Nimekutana na watu wengi sana, wengine wakijaribu kunikata stimu, wengine wakileta vitisho na wengine wakinipa reasonable solutions. All in all am always greatful kwamba watu wameweza kuwa na positive mindset about global financial markets, na itakua furaha kubwa sana kwangu kuona my fellow black brothers and sisters getting into the real part of it.

Pamoja sana wandugu and enjoy your weekend. Tupo pamoja hadi kieleweke.
Unajua mpaka now cjaelewa, nipo hapa lakn cjajua hasa dhumuni.
Unalaunch school pekee, ambako tutajifunza, au pia unafanya process za kufungua brokerage company?

Kwa maoni yangu, wengi tutasoma, lakn linapokuja suala la kupata mabroker itakuwa changamoto, hasa kwa suala la replenishing na withdraw katika akaunt.

Have you thought about this?

All in all,
All the best in all your plans.
Stay Blessed and protected!

<> semper fi <>
 
Leo tunapiga fresh profit ya $1850, jana tulipiga about $1000 na Dow 30 futures.

Wiki hii nakuwa risk averse zaidi. Kuliko kawaida. Trump hachelewi kukubadilishia gia hewani saa ya mwisho ya safari.

Wiki inaisha vizuri.
To be honest natamani nijiconvert sijui namna gani niwe na kiwango chako mkuu......unanimotivate sana.
[emoji29] kungekuwa na sindano ya kuchoma kama zile za kuongeza sehemu ya mwili ningechoma.
 
Thanks Brother kwa taarifa, i guess i have few more days za kukaa huku..

Mungu awalinde wawezeshaji waliopo njiani wafike salama.
Tuko pamoja mkuu.
 
finally..the long awaited feedback..asante kiongozi kwa jitihada na unyenyekevu..naamini umepitia meeengi tu..ila kwa moyo wako wa kupenda kusaidia wengine umejikaza sana and finally it have paid off..thanks brother..
 
Per earlier prediction.

It's a wrap.

$1850 fresh profit today in the portfolio. Courtesy of futures binary options for Wall St 30 (Dow Jones 30) > 21920 @ 4:15 US ET September 1 2017.

Let the long weekend begin.
 
Hey mates!! Saa 3 ndio hii.

Hope all you are doing well.

Guys kesho Tarehe 2 ilibidi tulaunch kama nilivyotangaza awali na tarehe 4 ndio tuanze na batch ya kwanza... But very unfortunately delays nyingi zimejitokeza nje ya uwezo wetu.

Kwanza kabisa kuna mambo kadhaa yaliingiliana huku upande wangu, so nikashindwa kupush hii ishu yetu. But namshukuru Mungu sasa ninavyoongea kila kitu kipo on point.

Na upande wa pili, my team are driving from SA till here. Expectations zimekuwa tofauti kabisa na reality. Kiuhalisia wamesumbuliwa sana boarders humu, sehemu zingine inabidi wakae more than 4 hrs kuprocess makaratasi. Lkn mpk saa 7 mchana, walikuwa Zambia. So hopefully Mungu akitupa uzima, kesho usiku wanaweza kua Bongo. Kama hiyo itatokea basi we will start ASAP.
79980cbc4b73802994badd9aa6d29b8b.jpg

As far as bado tuna uzima, ni jambo la kheri na kumshukuru Mungu. So my guys wakishafika tu Bongo, then tutastrategize upya na kujua lini tunalaunch na lini tunaanza. Lkn nina uhakika zaidi ya asilimia 90 kua hii ndio wiki ya mwisho. Wiki ijayo kati ya j5 au Alhamisi tutalaunch the programme.

Pia kati ya kesho (jmosi) ama kesho kutwa (jumapili) nitafungua uzi mpya ili kuelezea kuhusu utaratibu mzima kuanzia launch, training programme! syllabus structure, registrations & admissions nk nk.

Zaidi ya yote guys, ntakua mnafiki sana nisiposema kua the whole of this journey has taught me many lessons that I'd otherwise not learn from anywhere on earth. Nimejifunza vitu vingi sana sana sana, both negative and positive. Nimekutana na watu wengi sana, wengine wakijaribu kunikata stimu, wengine wakileta vitisho na wengine wakinipa reasonable solutions. All in all am always greatful kwamba watu wameweza kuwa na positive mindset about global financial markets, na itakua furaha kubwa sana kwangu kuona my fellow black brothers and sisters getting into the real part of it.

Pamoja sana wandugu and enjoy your weekend. Tupo pamoja hadi kieleweke.
Since day 01 I had faith in u brother.....No matter what people say or circumstances that u face, I pray to God that we may not loose our focus....Let's be bold and fight till the end, it will all be worthy, "Together we can".......I truly appreciate your tireless efforts Ontario.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom