Dayone
Member
- Aug 24, 2017
- 85
- 200
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thank you for the updateHey mates!! Saa 3 ndio hii.
Hope all you are doing well.
Guys kesho Tarehe 2 ilibidi tulaunch kama nilivyotangaza awali na tarehe 4 ndio tuanze na batch ya kwanza... But very unfortunately delays nyingi zimejitokeza nje ya uwezo wetu.
Kwanza kabisa kuna mambo kadhaa yaliingiliana huku upande wangu, so nikashindwa kupush hii ishu yetu. But namshukuru Mungu sasa ninavyoongea kila kitu kipo on point.
Na upande wa pili, my team are driving from SA till here. Expectations zimekuwa tofauti kabisa na reality. Kiuhalisia wamesumbuliwa sana boarders humu, sehemu zingine inabidi wakae more than 4 hrs kuprocess makaratasi. Lkn mpk saa 7 mchana, walikuwa Zambia. So hopefully Mungu akitupa uzima, kesho usiku wanaweza kua Bongo. Kama hiyo itatokea basi we will start ASAP.![]()
As far as bado tuna uzima, ni jambo la kheri na kumshukuru Mungu. So my guys wakishafika tu Bongo, then tutastrategize upya na kujua lini tunalaunch na lini tunaanza. Lkn nina uhakika zaidi ya asilimia 90 kua hii ndio wiki ya mwisho. Wiki ijayo kati ya j5 au Alhamisi tutalaunch the programme.
Pia kati ya kesho (jmosi) ama kesho kutwa (jumapili) nitafungua uzi mpya ili kuelezea kuhusu utaratibu mzima kuanzia launch, training programme! syllabus structure, registrations & admissions nk nk.
Zaidi ya yote guys, ntakua mnafiki sana nisiposema kua the whole of this journey has taught me many lessons that I'd otherwise not learn from anywhere on earth. Nimejifunza vitu vingi sana sana sana, both negative and positive. Nimekutana na watu wengi sana, wengine wakijaribu kunikata stimu, wengine wakileta vitisho na wengine wakinipa reasonable solutions. All in all am always greatful kwamba watu wameweza kuwa na positive mindset about global financial markets, na itakua furaha kubwa sana kwangu kuona my fellow black brothers and sisters getting into the real part of it.
Pamoja sana wandugu and enjoy your weekend. Tupo pamoja hadi kieleweke.
Tuko pamoja, Tusonge mbele.Nimejifunza vitu vingi sana sana sana, both negative and positive. Nimekutana na watu wengi sana, wengine wakijaribu kunikata stimu, wengine wakileta vitisho na wengine wakinipa reasonable solutions. All in all am always greatful kwamba watu wameweza kuwa na positive mindset about global financial markets, na itakua furaha kubwa sana kwangu kuona my fellow black brothers and sisters getting into the real part of it.
Unajua mpaka now cjaelewa, nipo hapa lakn cjajua hasa dhumuni.Hey mates!! Saa 3 ndio hii.
Zaidi ya yote guys, ntakua mnafiki sana nisiposema kua the whole of this journey has taught me many lessons that I'd otherwise not learn from anywhere on earth. Nimejifunza vitu vingi sana sana sana, both negative and positive. Nimekutana na watu wengi sana, wengine wakijaribu kunikata stimu, wengine wakileta vitisho na wengine wakinipa reasonable solutions. All in all am always greatful kwamba watu wameweza kuwa na positive mindset about global financial markets, na itakua furaha kubwa sana kwangu kuona my fellow black brothers and sisters getting into the real part of it.
Pamoja sana wandugu and enjoy your weekend. Tupo pamoja hadi kieleweke.
To be honest natamani nijiconvert sijui namna gani niwe na kiwango chako mkuu......unanimotivate sana.Leo tunapiga fresh profit ya $1850, jana tulipiga about $1000 na Dow 30 futures.
Wiki hii nakuwa risk averse zaidi. Kuliko kawaida. Trump hachelewi kukubadilishia gia hewani saa ya mwisho ya safari.
Wiki inaisha vizuri.
Ticha umepotea hatari...!Tuko pamoja, Tusonge mbele.
Since day 01 I had faith in u brother.....No matter what people say or circumstances that u face, I pray to God that we may not loose our focus....Let's be bold and fight till the end, it will all be worthy, "Together we can".......I truly appreciate your tireless efforts Ontario.Hey mates!! Saa 3 ndio hii.