Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,290
- 2,468
Nami nina ombi kuhusu updates mkuu. Kwanza hongera hadi hapo ulipofika. Si kazi ndogo. Pili kuhusu updates, hata kama utaanzisha uzi mpya ni kuwa ukiwa na jambo jipya na nyeti liweke pale kwenye post ya kwanza ili tuweze kujua kinachoendelea kwa urahisi. Post zikiwa nyingi inakuwa pia ngumu kufuatilia updates zakoHey mates!! Saa 3 ndio hii.
Hope all you are doing well.
Guys kesho Tarehe 2 ilibidi tulaunch kama nilivyotangaza awali na tarehe 4 ndio tuanze na batch ya kwanza... But very unfortunately delays nyingi zimejitokeza nje ya uwezo wetu.
Kwanza kabisa kuna mambo kadhaa yaliingiliana huku upande wangu, so nikashindwa kupush hii ishu yetu. But namshukuru Mungu sasa ninavyoongea kila kitu kipo on point.
Na upande wa pili, my team are driving from SA till here. Expectations zimekuwa tofauti kabisa na reality. Kiuhalisia wamesumbuliwa sana boarders humu, sehemu zingine inabidi wakae more than 4 hrs kuprocess makaratasi. Lkn mpk saa 7 mchana, walikuwa Zambia. So hopefully Mungu akitupa uzima, kesho usiku wanaweza kua Bongo. Kama hiyo itatokea basi we will start ASAP.![]()
As far as bado tuna uzima, ni jambo la kheri na kumshukuru Mungu. So my guys wakishafika tu Bongo, then tutastrategize upya na kujua lini tunalaunch na lini tunaanza. Lkn nina uhakika zaidi ya asilimia 90 kua hii ndio wiki ya mwisho. Wiki ijayo kati ya j5 au Alhamisi tutalaunch the programme.
Pia kati ya kesho (jmosi) ama kesho kutwa (jumapili) nitafungua uzi mpya ili kuelezea kuhusu utaratibu mzima kuanzia launch, training programme! syllabus structure, registrations & admissions nk nk.
Zaidi ya yote guys, ntakua mnafiki sana nisiposema kua the whole of this journey has taught me many lessons that I'd otherwise not learn from anywhere on earth. Nimejifunza vitu vingi sana sana sana, both negative and positive. Nimekutana na watu wengi sana, wengine wakijaribu kunikata stimu, wengine wakileta vitisho na wengine wakinipa reasonable solutions. All in all am always greatful kwamba watu wameweza kuwa na positive mindset about global financial markets, na itakua furaha kubwa sana kwangu kuona my fellow black brothers and sisters getting into the real part of it.
Pamoja sana wandugu and enjoy your weekend. Tupo pamoja hadi kieleweke.
Imetumwa kupitia Tecno Camon Cx