Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Week iliyopita, Movement ya GOLD na DOW zimeniwezesha kumultiply five times 30 USD welcome bonus ya tickmill to 148 USD. Technically nimetengeneza faida ya almost 120 USD, na hii move imenichukua almost mwezi mzima toka nianze kutrade hii welcome bonus ya TICKMILL. Initialy nilichoma 30 USD welcome bonus ya XM, na kwa kuwa rule inasema do not invest on something you don't know about, nikajiona sijui bado na nikaogopa kufanya real deposit, nikasema ngoja nimtafute broker mwengine mwenye welcome bonus nijaribu kuipandisha tena kama nitaweza ndipo nikaangukia kwa tickmill. Kwa mujibu wa sheria za Tickmill hapo naweza withdraw up to 100 USD as my profit. So siyo lazima uwe na 5000 USD kama mdau mmoja alivyoshauriwa hapo kabla ndo uwaze anza forex. Just umakini na discpline matters.

View attachment 580191

Congrats zakutosha mkuu thats what we call a step.
 
Thanks mkuu. Correct, I think pair ina-retrace sasa au ndo inarudi ilikotoka.Either way its going down. Itazidi kushuka next week maana kwa sasa ilikua at its highest point since 2015. Same applies to EURGBP.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu umesema kitu muhimu sana hapo "highest point since 2015". It is hard to predict a top or a low, lakini kama unaangalia the broader chart na kujua kwamba hapa ni highest point since 2015, hata kama overall EUR inapanda, mara nyingi kupanda kunakuwa na resistance ya kupanda na kushuka kwa hiyo unatakiwa kujua kwamba most likely short term itashuka, hata kama kuna uwezekano ikapanda tena.

Hii knowledge ni muhimu sana, especially kwa watu kama sisi wengine tunao trade binary options zenye specific time frame ambayo inaweza kumaanisha hata kama ikipanda, lakini ikipanda out of our specified timeframe ya contract, that is not going to be meaningful for our trades.

Kwa hiyo kuangalia broader pattern ni muhimu sana, kujua kwamba are you in this for the long haul or short term nako ni muhimu sana.
 
Week iliyopita, Movement ya GOLD na DOW zimeniwezesha kumultiply five times 30 USD welcome bonus ya tickmill to 148 USD. Technically nimetengeneza faida ya almost 120 USD, na hii move imenichukua almost mwezi mzima toka nianze kutrade hii welcome bonus ya TICKMILL. Initialy nilichoma 30 USD welcome bonus ya XM, na kwa kuwa rule inasema do not invest on something you don't know about, nikajiona sijui bado na nikaogopa kufanya real deposit, nikasema ngoja nimtafute broker mwengine mwenye welcome bonus nijaribu kuipandisha tena kama nitaweza ndipo nikaangukia kwa tickmill. Kwa mujibu wa sheria za Tickmill hapo naweza withdraw up to 100 USD as my profit. So siyo lazima uwe na 5000 USD kama mdau mmoja alivyoshauriwa hapo kabla ndo uwaze anza forex. Just umakini na discpline matters.

View attachment 580191
Beginners lack hiyo endelea after 2-3 months utu update

This is so magnificient mkuu!! Congratulations!!

Siku zote nimekua nikiiogopa kutrade gold na XAUUSD naona kama zina spreads kubwa sana!!

I will take a look on them next time, for the time being, EURUSD and USDJPY is my comfort zone and I am happy with these two pairs!!
 
Hongera sana, i can see uko makini sana mimi natambaa na xm micro accunt sijafikia ulipo fika ila naiona njia so far nina 20USD profit i hope hadi mwisho wa huu mwezi ntagonga 100+usd.
Nisaidie jambo kwa niaba ya friend of my yeye kafungua xm standard account lakini kila anapo fungua position inakuja sms hela haitoshi, volume kaweka yachini kabisa 0.01 na leverage ni 1:1 Kwa uelewa wako tatizo liko wapi?
 
Nami pia EURUSD and USDJPY is my comfort zone and I am happy with these two pairs!!
 
Hongera sana, i can see uko makini sana mimi natambaa na xm micro accunt sijafikia ulipo fika ila naiona njia so far nina 20USD profit i hope hadi mwisho wa huu mwezi ntagonga 100+usd.
Nisaidie jambo kwa niaba ya friend of my yeye kafungua xm standard account lakini kila anapo fungua position inakuja sms hela haitoshi, volume kaweka yachini kabisa 0.01 na leverage ni 1:1 Kwa uelewa wako tatizo liko wapi?
Hapo ni simple mwambie apandishe hiyo leverage atleat iwe 10:1 50:1 n.k...
 
wakuu habari zenu,
naamini weekend inaenda poa kabisa, hiki kitu nimekaa nacho tangu jana lakini nikaona ni bora nikashare na nyie ili niweze kupata msaada wa kimawazo. niliingia live toka jumatano na nikawa naenda fresh kabisa japo kama mnavojua mitaji midogo mwendo wetu ni wa kobe always. Ipo hivi, jana nilijikuta nimebroke baadhi ya rules na mambo yakawa yameenda against me kama inavoonekana katika picha hii hapa chini,

hiyo ilikuwa baada ya NFP, Nikaamua kusell GOLD na kuenter trade kwenye hiyo downtrend ambayo nimeipigia huo mshale wa kwenda chini kama inavoonekana kwenye hiyo screenshot. Nashukuru nimeyatambua makosa yangu na ninaamini hii kitu imenifanya kuwa stronger zaidi na zaidi.
Kosa la kwanza ambalo nilifanya lilikuwa ni kuweka TP katika sehemu ambayo haikuwa sahihi. normally hata ukisoma kwenye naked forex for the down trend, wanashauri kuweka TP in the next support zone and for the up trend wanashauri kuweka TP katika next resistance zone. I broke that rule na ndio maana trade yangu haikuhiti TP na ikareverse na ndo kama mnavoona huko ambako imefika now. This was my first biggest mistake
Kosa la pili ambalo nililifanya jana, niliweka tamaa mbele. kwanza nilianza kuweka tamaa kwenye NFP ambapo niliweka order mbili kwa lot size kubwa and muda wa NFP ulipofika tu, orders zangu hazikujiexecute, so nikawa nimepishana na hela kihivo. lakini ilibidi nipige hela. haya zile order zilipokuwa zimeshinda kujiexecute nikajipanga upya kwamba price itakapokaa vizuri na kuanza kutrend kuelekea katika direction moja basi niingie tena, na ndio kama mnavoona hapo niliingia kwa lot size ndogo nilipoona inazidi kudown trend nikaplace tena order nyingine kwa lot size kubwa kidogo. lakini ndo nilikuwa nimekosea kuweka TP kama nilivoeleza hapo juu.
haya yote ni makosa ambayo nilifanya na ninashukuru nimeyatambua

kilichonileta humu ndani ni ushauri wenu juu ya hiyo trade hapo juu. Je uelekeo wa gold kwa siku ya j3, inaweka ikaendelea na uptrend zilivokuwa siku za nyuma au vinginevyo? maana yake hapo nitasogeza hiyo SL mpaka karibu na resistance zone sitataka niendelee kupata hasara in case kama market itabreak resistance zone na kuendelea na uptrend. Naamini humu ndani kuna wataalamu ambao mnaweza mkanisaidia kupata msaada wa kimawazo tu, then me mwenyewe nitaamua cha kufanya. Natanguliza shukrani na ninawatakia jioni njema.
 
Attachments

  • trade yenye maumivu.GIF
    trade yenye maumivu.GIF
    101 KB · Views: 81
Halafu umesema kitu muhimu sana hapo "highest point since 2015". It is hard to predict a top or a low, lakini kama unaangalia the broader chart na kujua kwamba hapa ni highest point since 2015, hata kama overall EUR inapanda, mara nyingi kupanda kunakuwa na resistance ya kupanda na kushuka kwa hiyo unatakiwa kujua kwamba most likely short term itashuka, hata kama kuna uwezekano ikapanda tena.

Hii knowledge ni muhimu sana, especially kwa watu kama sisi wengine tunao trade binary options zenye specific time frame ambayo inaweza kumaanisha hata kama ikipanda, lakini ikipanda out of our specified timeframe ya contract, that is not going to be meaningful for our trades.

Kwa hiyo kuangalia broader pattern ni muhimu sana, kujua kwamba are you in this for the long haul or short term nako ni muhimu sana.

Mkuu mbona nimejaribu kufungua trading account ya NADEX for Binary Options but kwenye kuselect country imenigomea? i.e Tanzania haimo kwenye list and wamesema kama haimo kwenye list means that you can't trade from that country.. Au we mwenzetu hauko Tanzania? Please let me know!!
 
Tumecover hili hapo nyuma. NADEX hawajasajiliwa Tanzania.Mimi sipo Tanzania tumejadili yote hayo awali kwenye uzi huu.

Pia NADEX wanafanya binary options/ spreads, not straight up forex. Ni muhimu kuelewa tofauti kabla ya ku trade.
 
Sory mkuu hii leverage nimejitahid kuisoma sijaelewa unaweza nisaidie kuelewa kk ang

Sent using Jamii Forums mobile app
Leverage: kirahc kbsa ni mkopo unaopewa na broker ili kufanya transactions za kubuy au kusell.

Mf. Una $30 unataka kuzitumia, na unataka kubuy au sell kwa $300. Kikawaida haitoshi. Lakn ukiweka leverage ya 1:10 manake itakuwa ni 30:300, so utaweza kufanya hyo transactions( huu ni mfano tu.)

Leverage huongeza faida, mana kwa mfano wa hapo juu, utapata profit as if una $300 katika akaunt yako, wakat una $30 tu.

[emoji777]KUWA MAKINI!
pamoja na kuongeza faida, leverage huongeza hasara kama market itamove ndivyo sivyo, mana hupandisha thamani ya kila pip... Iwe kwa kuongez au kupunguza!
Hongera sana, i can see uko makini sana mimi natambaa na xm micro accunt sijafikia ulipo fika ila naiona njia so far nina 20USD profit i hope hadi mwisho wa huu mwezi ntagonga 100+usd.
Nisaidie jambo kwa niaba ya friend of my yeye kafungua xm standard account lakini kila anapo fungua position inakuja sms hela haitoshi, volume kaweka yachini kabisa 0.01 na leverage ni 1:1 Kwa uelewa wako tatizo liko wapi?

<> semper fi <>
 
Leverage: kirahc kbsa ni mkopo unaopewa na broker ili kufanya transactions za kubuy au kusell.

Mf. Una $30 unataka kuzitumia, na unataka kubuy au sell kwa $300. Kikawaida haitoshi. Lakn ukiweka leverage ya 1:10 manake itakuwa ni 30:300, so utaweza kufanya hyo transactions( huu ni mfano tu.)

Leverage huongeza faida, mana kwa mfano wa hapo juu, utapata profit as if una $300 katika akaunt yako, wakat una $30 tu.

[emoji777]KUWA MAKINI!
pamoja na kuongeza faida, leverage huongeza hasara kama market itamove ndivyo sivyo, mana hupandisha thamani ya kila pip... Iwe kwa kuongez au kupunguza!

<> semper fi <>
Noted mkuu thanks.
Siweki hela kenye real account yangu na trade na bonus hadi nijiridhishe kuwa niko vizuri, so far nahisi suala la tamaa nalimudu ngoja tuone mbeleni itakuaje.
 
Zote ni karibu sawa, japo broker wengne bado hawasapot MT5, kama broker unayetumia anasapot MT5 na MT4, download zote, tumia zote, mpaka cku utakayoamua kutumia mojawapo, unafuta nyngne

<> semper fi <>

Mkuu jibu basi PM yangu au na wewe huwa haujibu PM (😉😉😉😉😉)
 
Leverage: kirahc kbsa ni mkopo unaopewa na broker ili kufanya transactions za kubuy au kusell.

Mf. Una $30 unataka kuzitumia, na unataka kubuy au sell kwa $300. Kikawaida haitoshi. Lakn ukiweka leverage ya 1:10 manake itakuwa ni 30:300, so utaweza kufanya hyo transactions( huu ni mfano tu.)

Leverage huongeza faida, mana kwa mfano wa hapo juu, utapata profit as if una $300 katika akaunt yako, wakat una $30 tu.

[emoji777]KUWA MAKINI!
pamoja na kuongeza faida, leverage huongeza hasara kama market itamove ndivyo sivyo, mana hupandisha thamani ya kila pip... Iwe kwa kuongez au kupunguza!

<> semper fi <>
sasa hapo mkuu naomba unisaidie kitu kimoja Let Say nina USD 20, ni kati mia leverage ya 1: 1000 kwa maana nikapata jumla ya USD 20000 kufanya trading. so ikatokea nikapata hasara sasa huyo broker atakua ananidai? na je namlipa kwa njia gani? na je nikiamua kukimbia je,? Embu nielewesheni vizuri hayo makubaliano yanakuwaje?

Screenshot_20170902-195714.png

RISK WARNING : LOSSES CAN EXCEED INITIAL INVESTMENT.

Bahati nzuri, kuna mabroker wengne hawanaga negative value katka trading akaunt.. Wengne inapofika crdt inasoma zero, wanaforce stop loss kwa position zote umefungua.

Cjajua wale ambao hawafungi huwa inakuwaje, na jambo umeuliza ni la msingi sana...

Ucje cku kuweka hela kwenye akaunt yako kumbe broker anakudai!

<> semper fi <>
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom