Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
mmm,!!msema ukweli mpenzi wa MUNGU ata ninapopga mbishe zangu cijawai tengeneza hii pesa ata kwa cku.... .ila pande hz unabukua then unajidownloadia pesa zako .... Special thanks to Ontario . ....Members wako TMT.. twakusubiria.. endelea kupambana mkuu.
 
Duh hatari sana mimi sijui nianzie wap duh

Power of forgiveness
 
wanasema forex co gambling ila trader ndo tuna bet,
fanya tuu analysis mkuu, kama huoni chance ya kuexcute trade according to ur techniques wanashauri bora uache kuliko kubahatisha usubiri target murua then uingie sokoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa juhudi kama ni kweli umefikisha hiyo amount. Nauliza tu unachukuaje faida yako. Pili nauliza unatumia broker gani. Tatu nauliza mbona kuna gepu sana kati ya spread ya insta forex [3-4] na xm [16-18]. Majibu tafadhali
 
Hongera kwa juhudi kama ni kweli umefikisha hiyo amount. Nauliza tu unachukuaje faida yako. Pili nauliza unatumia broker gani. Tatu nauliza mbona kuna gepu sana kati ya spread ya insta forex [3-4] na xm [16-18]. Majibu tafadhali
Usiogope, hiyo ni demo akaunti, asikutishe

<> semper fi <>
 
Tatu nauliza mbona kuna gepu sana kati ya spread ya insta forex [3-4] na xm [16-18]. Majibu tafadhali
Naomba nikujibu hili swali mkuu...

Unapoongelea spreads ni tofauti ya buy na sell price!

Spreads zinatofautina kwa kila broker! kuna brokers wengine wana fixed spreads(mfano instaforex) wengine variable (mfano XM) japo pia itategemea na aina ya account uliyoifungua!

Sasa spreads zinawekwa kwa mfumo tofauti tofauti! mfano wengine wanatumia PIPS wengine wanatumia POINTS!

XM anatumia mfumo wa POINTS na insta anatumia mfumo PIPS! Jua 1pip = 10points!

Now, XM akiandika spreads = 17 jua hapo anamaanisha 1.7 pips!! na insta akiandika 3 jua ni 3pips! do not get confused!
 
Asante sana kwa ufafanuzi huu. Waweza dhani xm ni ghali sana kumbe inabidi kuelewa context
 
Duuuu....mkuu kwa mwendo huo kuna siku utafikisha dollari kumi kweli.
Ndo maana nikasema nimeanza mdogomdogo tena leo! Hapo sijaloose napiga kwa hela ya bonus kitaeleweka tu. Mpaka hapo VIP hujaamini IPO Sikh nitapiga 10$ kweli???
 

Attachments

  • Screenshot_20170904-162441.png
    89.4 KB · Views: 64
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…