Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
ndio maana nikaleta humu, ata mimi nimetumiwa jamani tulidadavue hilo swala ata mimi sijui kinachoendelea, naomba mwenye ujuzi na haya mambo atueleze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio maana nikaleta humu, ata mimi nimetumiwa jamani tulidadavue hilo swala ata mimi sijui kinachoendelea, naomba mwenye ujuzi na haya mambo atueleze

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu si wanakwambia utaibiwa wengine wanakwambia ulifute sasa mambo ya kulidadavua yanatoka wapi? Au na we ni mmoja kati ya ma-founder?
 
Ndo maana nikasema nimeanza mdogomdogo tena leo! Hapo sijaloose napiga kwa hela ya bonus kitaeleweka tu. Mpaka hapo VIP hujaamini IPO Sikh nitapiga 10$ kweli???


Naona utapiga mkuu...ila ukipigwa ulete mrejesho pia(just kidding)
 


Sasa huu mzigo wote jitu linabeba kwa siku moja. Hapana kwakweli[emoji23] [emoji23]


Mkuu mbona hyo ndogoooo....kuna mnyama mmoja alipiga USD billioni moja kwa siku....mzee baba ontario alishamuongeleaga....wanasemaga alirobb BOE.

Ila ili upige mzigo kama huo kwa lot size kama hzo unadhani account yako inatakiwa iwe inasoma digits ndapi mkuu in USD??
 
Daaa asee inatia uchungu mtu kama huyu hadi unafikilia either anatokea sayari nyingine[emoji1]
 


Kila nikidownload MT4 for pc nkiinstal napata MT5, na huku kwa MT5 broker wangu hayupo. Naombeni msaada mwenye MT4 PC version pls

<> semper fi <>
 
Reactions: MC7
ubarikiwe kaka!!!
 
Usiogope, hiyo ni demo akaunti, asikutishe

<> semper fi <>
dah!!!kuna raia ktk hii thread hawa definek kwakwel,yaan wanakua kama watu wa mtumba..,kwa upande wangu mi tangu nimeuona huu uzi nina kama miezi miwili.....vitabu vinatuambia,Soko la forex ni biashara ambayo ipo tu na itaendelea kuwepo kwa maana inatusubiri na tutaicha....
ndugu humu wote still ni wanafunz na wote tunasubiri training,,,ukiona 2naweka caption ni vile 2mehaswa na mkuu Ontario kwamba 2practise sana kwenye demo...tuelewe mchezo....
nyie ndio wale mmeona uzi,mkasoma hadi nusu mkaona hile benz,mkaruka hadi page..389 post [HASHTAG]#7834[/HASHTAG]..mkapga brabrabraaah!!kesho unataka fungua real!!....mkuu hii ni demo!!!!na nakushauri uanze na demo!!!usije ukaingia real kichwa kichwa bila knowledg yeyote ya vtabu mixa demo...
utapgwa short kama bint aliyevunjwa bakuli!!!
 
Taratibu tutaelewa mchezo,ngoja tubrashiwe na darasa la ontario kidogo.
 
Mkuu mbona hyo ndogoooo....kuna mnyama mmoja alipiga USD billioni moja kwa siku....mzee baba ontario alishamuongeleaga....wanasemaga alirobb BOE.

Unamuongelea George Soros. Lilikua tukio la aina yake. Kulikua na economic changes Britain walikua wanafanya and by any chance lingeathiri BOE!!

Sasa jamaa akaweka mamilion ya pesa kwenye Acc. Alafu aka apply leverage then akaset position aka go short Sterlin. Kweli ikashuka thaman!! Akajipigia mapesa!!

Hili tukio linajulikana kama "Black wednesday" !! BOE hawatakaa wasahau. Till now jamaa ni among the richiest people in the world!!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] watu wa mtumba....

<> semper fi <>
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…