dah!!!kuna raia ktk hii thread hawa definek kwakwel,yaan wanakua kama watu wa mtumba..,kwa upande wangu mi tangu nimeuona huu uzi nina kama miezi miwili.....vitabu vinatuambia,Soko la forex ni biashara ambayo ipo tu na itaendelea kuwepo kwa maana inatusubiri na tutaicha....
ndugu humu wote still ni wanafunz na wote tunasubiri training,,,ukiona 2naweka caption ni vile 2mehaswa na mkuu Ontario kwamba 2practise sana kwenye demo...tuelewe mchezo....
nyie ndio wale mmeona uzi,mkasoma hadi nusu mkaona hile benz,mkaruka hadi page..389 post [HASHTAG]#7834[/HASHTAG]..mkapga brabrabraaah!!kesho unataka fungua real!!....mkuu hii ni demo!!!!na nakushauri uanze na demo!!!usije ukaingia real kichwa kichwa bila knowledg yeyote ya vtabu mixa demo...
utapgwa short kama bint aliyevunjwa bakuli!!!
View attachment 581559