Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

Umejitahidi sana, bahati mbaya umedandia basi kwa nyuma Na limesha changanya mwendo. Pole sana!
 
Umejitahidi sana, bahati mbaya umedandia basi kwa nyuma Na limesha changanya mwendo. Pole sana!
Nadhan hawa wanajifanya hawaoni kuwa utapeli upo kila sekta. Hata kwenye mpesa kuna watu wanatapeli kwa kutumia mpesa, na hii haimaanishi kuwa mpesa jumla ni utapeli.
Hata kwenye biashara ya kuku na mayai kuna utapeli mkubwa sana.
Same to forex, ukiingia kichwakichwa unaliwa kichwa.
Hivyo ni wajibu wa mtu mwenyewe kufanya utafiti na kujiridhisha kuwa nipo in the right position. Otherwise Forex sio utapeli.
 
kama una mashaka sana na Forex endelea tu na biashara yako ya kubeti.

Forex waachie wanaopenda kujisomea na kutumia akili.

Forex ni betting sawa sawa na Sports betting kutumia Betting exchanges kama vile Betfair. Misingi ni ile ile uza/ununua (Bet/Lay). Hivyo akili na maarifa yanatumika.

Strategies mbalimbali kama vile Arbitrage na Scalping hutumika kote kwenye Forex na Sports betting (kwa kutumia betting exchanges). Pia usomaji wa graphs unahusika kote ili kufanikisha trade.

Hivyo basi hesabu ni kila kitu katika kufanikisha trades na kuondoa bahati zaidi. Watu wa Forex hawana cha kuwacheka watu wa Sports betting, bali tatizo ni kuwa kwa watanzania wengi huenda hawajui kuhusu betting exchanges.
 
Khasante mkuu.
 
MATAPELI,MATAPELI MATAPELI MATAPELI
 
Uko vizuri kwa hoja na ndivyo tunavyohitaji Mkuu si kama wengine hawana hoja na kulazimisha tu wenzao wawaamini kuwa Forex ni Scam kumbe wana agenda zingine nyuma ya pazia.
MATAPELI MATAPELI MATAPELI MATAPELI MATAPELI MATAPELI MATAPELI
 
Mfa maji ..
 
[emoji23][emoji23][emoji23] pole mara ya mwisho kwenda mental facility ilikua lini
 
Mi sielewi ngeli naona finyofinyo tu hapa
fafanua kwa lugha ya taifa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…