Habarini wadau, Kuna mdau alipata niuliza namna ya kutoa pesa uliyoshinda iliyotokana na salio la kwanza la Bonus la TICKMILL. Ni kweli pesa uliyoshinda kutokana na bonus ile ya USD 30 ya welcome bonus ya TICKMILL unaweza kuitoa na ikawa yako kabisa. Mimi ni mmoja wapo niliyefanikisha kuitoa. Na hizi ni hatua za kuitoa.
1. Hakikisha welcome account na Trading account zimefunguliwa na majina na taarifa zinazooana.
2. Unaweza kuomba kutoa ile faida ilozidi katika ile dola 30 waliyokupa wao kama kianzio kwa ukomo wa dola 100.
3. Ukishakidhi vigezo hivyo unatuma email kwenda support ya tickmill ukiomba wafanye uhamisho wa pesa toka katika welcome account kwenda katika trading account. Nao watafanya hivyo ndani ya saa 24 toka kupokea ombi lako
4. Ukiona umekwama, unaweza fungua website yao, kisha fungua sehemu ya live chat ukachat nao live kuwauliza maswali yako.
5. Ni hayo tuu, Nilikuwa busy hapo kati kukaa na kupost huu mrejesho kwa wadau. Na good thing ni kuwa katika akaunt yangu ya tickmill mpaka sasa nimmefanikiwa kuikuza ile pesa ya bonus dola 30 mpaka sasa nina dola 230 ambayo ni yangu. so mpaka sasa katika akaunti hii nina faida net ya USD 230 pasipo kuwekeza mtaji wowote zaidi ya ile niliyopewa bonus.
6. With proper knowledge na skill, unaweza fanya haya.
Hapa chini ni ushahidi wa kuhamishiwa bous ya dola 100 katika trading account yangu.
View attachment 609006
Na hapa ni ushahidi wa pesa iliyomo katika akaunt yangu ya Tickmill mpaka sasa. Na hii ni taarifa ya jana usiku.
View attachment 609007
So wale mnaopotosha kuhusu FOREX ni better mkaangalia namna nyingine ya kupotosha na vitu vingine vya kupotosha. Kwani mbali na hapa nina akaunti nyingine ya JPMarkets iliyokuwa recomended na TMT ambayo niliifungua kwa dola 70, ila as we speak right now akaunt ina USD 280. Thanks kwa TMT (Reabetsoe, Createn & Ontario) na Bavaria kwa haya.
Use proper risk management, learn more than you trade, have right Mentors, avoid being greedy. One day you ll be there.
Shalom kwenu nyote.