Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Naona unajitahidi sana kukatisha watu tamaa, Kwa taarifa yako ni kwamba Gari limeshawaka and you're unfortunately too late to stop the Vibe


Nipo Huku Vikindu Ninafanya Movement ya nguvu kuamsha vijana wawe forexers, Harakati zinaendelea na mwanga unaonekana....
 
Huyo jamaa ni chizi sanaaa,naye hata haelewi maana yake kacopy sehemu na kuipaste huku,chizi sanaaaaa narudia tena chizi sanaaaaaaa

Mr pesa pesa wewe NI CHIZI ,NYAMBAAAAFFF!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee tumuache tu amerukwa na akili huyo
 
Huyo jamaa ni chizi sanaaa,naye hata haelewi maana yake kacopy sehemu na kuipaste huku,chizi sanaaaaa narudia tena chizi sanaaaaaaa

Mr pesa pesa wewe NI CHIZI ,NYAMBAAAAFFF!!!!
majuto ni mjukuu, asiyesikia la mkuu huvunjika guu.

Mara zote mtego haumfuati ndege bali ndege hujipeleka mtegoni na kujikuta kanaswa.

KAMA KWELI MNAPIGA HELA CHANGIENI KIASI CHA FEDHA KUTOKA FAIDA YENU KULIPIA GHARAMA ZA KESI YA WAKURUGENZI WA JF.

Blabla si mahala pake.
 
Mimi nimekubali kutapeliwa kwa sasa hivi wacha nitapeliw kiukweli sishauri katika hili kabisa kwa namna yoyote ile......
 
Kuna mpuuzi mmoja anajiita Mr pesapesa
Kwny threads zote znazohusu forex yy analeta hbr moja tu ya kuichafua forex kwa kila thread
Ni mpuuzi sn hy mtu

Na uhakika huyo pesapesa na wewe mm siwajui kbs lakini yawezekana kabisa utakuja jutia ulichokiandika na ndipo utamuelewa anacho kipost analengo jema kabisa kuwaokoa watu, Pesapesa hajasema Genuine Forex trading ni Scam hapana ila Zipo FOREX Fake nyingi sana ni wajibu wako kuwa makini , Pili na MUHIMU zaidi watu wamewajaza SHAUKU kubwa kwamba ni lazima utapata/utavuna faida huo NI UONGO MKUBWA SANA lengo labda lao ni kupata ni kupata wateja wa Training hatimae pesa, ni wazi kuwa ujuzi wowote ni faida lakini waambie wazi kuwa Forex in reality ni KAMARI Kama KAMARI ZINGINE kuna kupata na kukosa kabisa usipoangalia UNAFILISIKA
 

HAKIKA WASOMENI VIZURI HAO
 
Nimefuatilia kwa karibu sana post zako ndugu Mr pesapesa.

Je kwanini unatumia nguvu kubwa sana kupambana na ukweli Mr pesapesa, Lengo lako hasa nini?

Unafahamu wazi uwepo wa bureau de change (Mahala Ubadilishaji wa fedha kwa kununua na kuuza - Manually) unafanyika kwa miaka mingi, Hii ni biashara kama biashara zingine,

Kitu hicho hicho, kinachofanywa na bureau de change, kinapofanyika kwa njia ya simu au computer (kwa platform tofauti tofauti - BUY & SELL), Kwa Njia hii ya kisasa kufuatia maendeleo makubwa ya kitekenolojia tuliyonayo, unakipinga na kuita scam?, Lengo lako hasa nini?

Ni vyema ukapambana na hali yako zaidi, kwa kile chenye manufaa kwako na jamii yako inayokuzunguka. Kuliko kuendelea kupoteza muda kwa kitu ambacho hukifahamu.

Pia tumia muda kujifunza kupitia mtandao na vitabun kuhusu
- Forex, [foreign exchange]nini?
- Na Forex Scam nini?

Si mbaya ukaanzia hapa: How to Trade Forex

Karibu
 
😉 nguvu zote hizi si ungetumia kwenda kulima huko boss hii kitu siyo size yako
 
Nilikua napitia uzi, naona Effort za kuipinga Forex zinaongezeka.

Jana jioni nilikua na Rafiki yangu alikua anafanya kazi na Bank fulani kama mhudumu wa treasury. Alinambia mambo mengi sana kuhusu forex, wafanyakazi wa treasury hawajimix na other bank staff

Wanaongoza kwa kulipwa mshahara mkubwa sana, bonasi zaidi ya milioni mia kila kwa kila term. Wengi ni wageni toka nchi za nje.

Hakuwa anafahamu ni nini walikua wanafanya baada ya kuniona nipo busy na hzo chart na namba zinacheza cheza akaniuliza nilipomweleza kuwa nafanya forex ndio akanielezea hayo.

Pia nina jamaa yangu pia alishawahi kufanya kazi bank tena kubwa sana pia nae alibahatika kuzipata habari hizo na sasa ni trader mzuri sana yupo nje ya nchi saivi.

Cha msingi ni kuwa forex traders stick to your plan, stick na kitu ulichoamua kukifanya sikiliza mentors na fanya trading maisha na USITAKE KUTENGENEZA pesa nyingi kwa wakati mmoja mana utakapoloose na wewe utadai forex ni SCAM.

We have every reason to grow our bank account by 10-30% daily profit.

Vita ya kujikomboa kimaisha ina setbacks nyingi ndio mana kuna huyo jamaa anakupa stori za miaka ya nyuma huko akijaribu kuinflick na kukuchafulia mentality yako
 
Nyie kaeni tu mkisubiri kuona forex inakuwa scam to prove your words. And we are waiting to make money to prove ourselves that we can.
By the way.....hata matajiri wako wachache na mbinguni wanakwenda wachache.....wengi sana watachomwa. Mtuache....pesa ni zetu wenyewe. Forex is not for everyone.
 
Bwanawe ......wewe sio baba yetu wala mama yetu and we are not your cousins. Forex has never been a scam.....let the winners win and loosers watch.
 
Habarini wadau, Kuna mdau alipata niuliza namna ya kutoa pesa uliyoshinda iliyotokana na salio la kwanza la Bonus la TICKMILL. Ni kweli pesa uliyoshinda kutokana na bonus ile ya USD 30 ya welcome bonus ya TICKMILL unaweza kuitoa na ikawa yako kabisa. Mimi ni mmoja wapo niliyefanikisha kuitoa. Na hizi ni hatua za kuitoa.

1. Hakikisha welcome account na Trading account zimefunguliwa na majina na taarifa zinazooana.
2. Unaweza kuomba kutoa ile faida ilozidi katika ile dola 30 waliyokupa wao kama kianzio kwa ukomo wa dola 100.
3. Ukishakidhi vigezo hivyo unatuma email kwenda support ya tickmill ukiomba wafanye uhamisho wa pesa toka katika welcome account kwenda katika trading account. Nao watafanya hivyo ndani ya saa 24 toka kupokea ombi lako
4. Ukiona umekwama, unaweza fungua website yao, kisha fungua sehemu ya live chat ukachat nao live kuwauliza maswali yako.
5. Ni hayo tuu, Nilikuwa busy hapo kati kukaa na kupost huu mrejesho kwa wadau. Na good thing ni kuwa katika akaunt yangu ya tickmill mpaka sasa nimmefanikiwa kuikuza ile pesa ya bonus dola 30 mpaka sasa nina dola 230 ambayo ni yangu. so mpaka sasa katika akaunti hii nina faida net ya USD 230 pasipo kuwekeza mtaji wowote zaidi ya ile niliyopewa bonus.
6. With proper knowledge na skill, unaweza fanya haya.



Hapa chini ni ushahidi wa kuhamishiwa bous ya dola 100 katika trading account yangu.




Na hapa ni ushahidi wa pesa iliyomo katika akaunt yangu ya Tickmill mpaka sasa. Na hii ni taarifa ya jana usiku.



So wale mnaopotosha kuhusu FOREX ni better mkaangalia namna nyingine ya kupotosha na vitu vingine vya kupotosha. Kwani mbali na hapa nina akaunti nyingine ya JPMarkets iliyokuwa recomended na TMT ambayo niliifungua kwa dola 70, ila as we speak right now akaunt ina USD 280. Thanks kwa TMT (Reabetsoe, Createn & Ontario) na Bavaria kwa haya.

Use proper risk management, learn more than you trade, have right Mentors, avoid being greedy. One day you ll be there.

Shalom kwenu nyote.
 

Io profit ya Jana tuu!nna wiki mbili plus trading live...sina haja ya kuweka total profit!
Ni rahisi sana sana kupata faida FOREX kuliko hasara!patience,risk management and saikolojia jinsi unatrade.
Nilianza na chini ya 200$
Be blessed Mr Ontaria and TMT [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji959][emoji959]‍♂️
 
Mkuu inawezekana na wewe hujui unachokisema kwani hata kamari zimewatoa watu kimaisha.

Pia kamari zinasajiliwa pia,nchini kuna gambling board.

Umeshashauri basi inatosha mwache mtu mzima mwenzio afanye alichoamua kwa hiari yake mwenyewe.

Jiulize wee hao mapadri ama mashehe wangekuwa kutwa wanapishana kwenye nyumba zetu kungekuwa na raha hapo!??#^*
 
hivi mkuu hizo Profits ukitaka kuzitoa na kwenda kuzitumia physically zinatoka kweli? au kuna muda maalum wakuziwithdraw? maana isijekuwa ni visual money tu...ukitaka kuzitoa zinakugomea!
 
Eti wanataka wapate ada za watu.....??? We unaijua gharama ya we unaijua Rent ya kulipa pale Jangid Plaza ni sh. Ngap??? Ni nani anaweza kudiriki kufanya biashara kichaa kama hiyo unayoiwaza ww?
 
Ndo maana tunataka Rais JPM atawale miaka 30 au zaidi ili wenye akili mbovu kama nyie msiwepo katika sayari hii.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…