Kwahyo huku kwenye forex ni uhakika kula hela kila siku yaani hakuna kuliwa???? Najua kuna mabaya ya forex, hembu anza kunielezea huko nijipange vizuriTofauti ipo kubwa sana Boss
Naweza nikasema hakuna sehemu yoyote duniani wanapofundisha Betting ila forex imejaa wakufunzi Kama TMT.
Bila Shaka umeipata point yangu Mkuu
Soma kuanzia page ya kwanza Utapata kuzijua ABCAsante ONTARIO natamani kujua mengi zaidi juu ya hii makitu Forex
Unaanzaje kuingia huko?
kama unaweza kutrade kwa naked yaani kwa candlesticks patterns na wicks(shadows) pamoja na support na resistance haina haja ya kutumia hizo indicators.Wakuu naomba kujua kama kuna umuhimu wa kujua FIBONACCI kwa ujumla ...kuna umuhimu kama sina mpango wa kutumia hiz level?
MKUU kwa simu haifai..?Ww
Mkuu ww ni developer? tengeneza scripts zako za mql-metatrader ambazo zitafanya hiyo kazi na unaweza ukaziuza. hii ni script ya kufunga orders zote kwa wakati mmoja
https://www.forexfactory.com/attachment.php/1997278?attachmentid=1997278&d=1471429300
Ahaa sawa mkuu tuko pamoja.kama unaweza kutrade kwa naked yaani kwa candlesticks patterns na wicks(shadows) pamoja na support na resistance haina haja ya kutumia hizo indicators.
Lakini hizo(finobacci levels) husaidia kufahamu entry price na sehemu ya kuchukua profit, ila fibonacci ina mapungufu huwezi kuitumia yenyewe pekee ni muhimu kukombine finobacci na strategies zingine kama candlesticks na support/resistance.
sijawahi kuona sehemu ya kuongeza scripts kwenye simuMKUU kwa simu haifai..?
Muongo huna ulichopata! Eti 1.5 kwa siku tatu!Unazungumzia laki 5 kwa mwenzi? mimi nimepata profit ya 1.5 kwa siku 3
We ndo mwongoMuongo huna ulichopata! Eti 1.5 kwa siku tatu!
Sawa tumekuelewa endelea na mambo mengneNinachokiona katika hii business kuna mjanja mmoja ame create application ambayo atakuwa anaichezesha kwa watakao jiunga, halafu percentage fulani anatoa kwa baadhi ya watu, kumbuka kuwa unapoingia katika hii game tayari umepewa angalizo kuwa kuna kupata loss.
Kwa hiyo mhuu mchezo ni upatu fulani au tuseme kamali
Kwa hakuna cha kununua hela wala nini ni game tu ambayo inatumika kuwaibia watu hela, wanajua watu wanatamaa ya kupata hela kirahisi.
Wewe jidanganye tu kwamba umepata 1.5We ndo mwongo
Muongo huna ulichopata! Eti 1.5 kwa siku tatu!
Sawa tumekuelewaWewe jidanganye tu kwamba umepata 1.5
Ndoto yako itakuwa kweli utakapo poteza hivyo vijisenti! Kafanye kazi wacha uvivu wa kutaka pesa rahisi.
Wote hapa wanao support forex ni njaa njaa tu! Forex siyo rahisi kama mnavyo fikiria..there is no free ride kwa uvivu wa kutofanya kazi au kulima!Usinifanye nikapigwa Ban, Naomba kaa mbali na mimi
Njaa njaa tu!Sawa tumekuelewa
Wote hapa wanao support forex ni njaa njaa tu! Forex siyo rahisi kama mnavyo fikiria..there is no free ride kwa uvivu wa kutofanya kazi au kulima!