Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Na kama lengo lake ilikua kutoa elimu na sio scaming why is he trying drain people's attaintion on him. Eti local banks zinapinga forex na kusumbua kutoa hela, THE TRUTH IS HAWAWEZI KUTOA FRAUND MONEY ITS NOT EVEN REALLY, NI UTAPELI WA HALI YA JUU NA WOTE MTAKAO JIPELEKA NA KUJIUNGA KWA "KUTUPA" VIJIPESA VYENU KUJIUNGA. MSIJESEMA SIKUWATAHADHARISHA
Unachokizungumza hakiingi akirini.

Kupewa taaluma ya jambo fulani TANGU LINI IKAWA NI UTAPELI.

Jifunze kufikiri kabla ya kuzungumza.
 
Wakuu nishakosa mkopo nimpe nani kiela changu nusu cha ada anitradie tu nipate ada yote maana hawa heslb dah washanizimia ndoto
 
Wakuu nishakosa mkopo nimpe nani kiela changu nusu cha ada anitradie tu nipate ada yote maana hawa heslb dah washanizimia ndoto
Kwanini usijifunze ili uweze trade wewe mwenyewe? Forex inaeleweka ukiamua ila sio rahisi(forex is simple but not easy)
 
Unaweza kipakua hapo,mi pia ni mmoja wa wanaofatilia kwa karibu uzi huu,naomba kujua application/website inayotumika kutrade hasa kwa beginners,Asante sana

Download metatrader4 uanze na demo acc.
 
Sio kwa stress hizi nitaweza kudisco kabisa
Njia pekee itakayokuwezesha kupata hela kwa uhakika ni kwa kujifunza na kufanya wewe mwenyewe kwa muongozo wa mentors mpaka pale utapoweza jisimamia.Wengi wanaopata faida humu inatokana na muongozo wa mentors.
 
Sasa kwangu mimi ni tofauti naiwekea ada imagine naogopa nisije nikaichoma nitarudishaje hiyo ada, ada yenyewe ni nusu hata aijatimia ya semista ndio maana ninatafuta tu msamaria anisaidie au kama vipi nitamfata ontario hapo ofisini kwake maana sio kwa shida hizi[emoji17]
 
Kuunguza account si rahisi kama utatrade kwa kufuata risk management, na hii utapewa muongozo na mentors.
Wengi wanaounguza account huwa hawafuati maelekezo ya mentors na wanakuwa wanataka kutajirika kwa haraka ,they gamble but not trading.
Karibu The Million Team.
 
Kuunguza account si rahisi kama utatrade kwa kufuata risk management, na hii utapewa muongozo na mentors. Wengi wanaounguza account huwa hawafuati maelekezo ya mentors na wanakuwa wanataka kutajirika kwa haraka ,they gamble but not trading.
Karibu The Million Team.
Yes mkuu lazma niingie but first itabidi nipate mtu wa kunisaidia kutrade ili nipate first fees yangu na mahitaji muhimu (baada ya kumpa hiyo lets say laki tatu na nusu) , then nikishafanikiwa na nikatuliza kichwa then nitaingia tmt boss
 
d50c8876071fdd3d7e3eed40e297ecea.jpg

Nilianza na capital ya USD 300 j5 iliopita nimetrade for 6 days nna profit ya USD 147 ..yaan kibongo bongo ni 133,000/= [emoji12] [emoji12] huu ni mshahara wa baba flan Hv jiran yetu.. Ngoja nisimplfy Yan hyo ni Sawa Sawa na kupata 55,000/= Kwa siku...
Nothing is more costful than a missed opportunity..
Thanks Jeff
Tmt forever [emoji120]
 
Kuna mdau amefanikiwa ku withdraw PESA huko forex..?
Weng Sana mkuu, fuatilia comments za Nyuma Pia jua si Kila mtu ana muda wa kuja kutoa ushuhuda Kwa faida yako mzee, ntawithdraw mwsho wa mwez Kama upo dar ntakushtua unisindkize [emoji763]
 
Weng Sana mkuu, fuatilia comments za Nyuma Pia jua si Kila mtu ana muda wa kuja kutoa ushuhuda Kwa faida yako mzee, ntawithdraw mwsho wa mwez Kama upo dar ntakushtua unisindkize [emoji763]
Una withdraw kwa card ya benki hipi? Kwa card ya mentor au broker?
 
wiki mbili zilizopita nilipata faida ya USD 210 ktk mtaji wangu wa USD 248, Nika withdraw hiyo hela ndogo USD 110
Tuonyeshe kuanzia kwenye account yako ya broker Mpk kwnnye account ya bank.... with support evidence
 
Wakuu natafta mtu wa kuinvest kwake then tugawane profit
 
Melo na Jamii forum kwa hili la The Bold mnamuonea, Mbona Ontario hafungiwi
Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Naila one, A moment ago.

Thread Tools
Unwatch Thread
N
Naila one Member
#1
A moment ago

Joined:Oct 4, 2017
Messages:18
Likes Received:22
Trophy Points:5
Kijana mmempiga Ban ya karibia miezi sita sasa. kosa lake lipi kubwa humu. kutangangaza forum yake ya kusoma story za intelligence. Kama ni kosa sawa, mmeshampa adhabu..mbona hamfungulii. wengi sana tulikuwa tunapenda habari zake.

Melo mi nadhani hauchezi fair aisee. Mbn Ontario anatangaza biashara zake kwa kukutumia jamii forum....( au kuna dizaini flani au siyo)..semeni kama wengine hatufai humu..)

Jamii forum imekuwa kubwa kwasababu ya sisi..wengine tumeanza 2009 humu..sahau kuhusu hizi akaunti mpya mpya tunazotumia zingine..ni kwa usalama tu..mabomu tunayotuma humu balaa na tunaogopa Noah ya Roma..

Hamfanyii fair The bold..siyo ungwana kabsa huo..jukwaa lile now limepoa sana. tunalilia humu uongoz wa magu siyo wa demokrasia lakini nyie wenyewe hamko fair kabsa. najua uzi huu mtafuta lakini sms imefika maana na nyinyi siku hizi mnakili kama za mange kimambi mkisemwa kidogo tu ban na kufuta uzi za watu...?? mkiufuta huu uzi..ntauleta tena kivingine.

KAKA WA TAIFA AMETABSAMU LEO kutokea Nairobi, Mungu Mkubwa sana.

Melo bring back the bold:

twendezetu na the bold..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom