Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
ONTARIO umekusanya jinsi kiasi kupita forex?
Sandile shezi 24yrs young guy Ana utajiri wa 2.3milion dollar kupita forex trading.

Tell us more as part of motivation.
 
Kuna relation gani kati ya price Data na Indicators..?
 
Leo ni 9/11/2017 Bado siku Mbili utuletee screenshot za mikeka yako uliyoipigia mahesabu ya kukuingizia 800,000/=...Jiandae na mrejesho halisi.
 
Hakuna biashara isiyo na challenge ndugu yangu kwa mantiki hiyo kika biashara gambling sasa waache watu wafanye wanachoona ni bora kwanini usianzishe uzi wako ueleze wewe unachokifanya na faida unayopata!!jifunze ku appreciate kazi za wenzio
 
Forex siyo biashara!
 
Labda kwako wewe uberoya ni forex!
Nimekwambia forex siyo biashara ni foreign exchange buying and selling. Haya kiza kimeingi kalale saahizi bwana mdogo.
Biashara ni nini?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…