Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
ONTARIO umekusanya jinsi kiasi kupita forex?
Sandile shezi 24yrs young guy Ana utajiri wa 2.3milion dollar kupita forex trading.

Tell us more as part of motivation.
 
Kuna relation gani kati ya price Data na Indicators..?
 
Habari Wanajamvi:
Baada Ya Kumsoma Sana My Bro ONTARIO. Kupitia Uzi Wake Wa Fursa Za Forex Na Kauli Zake Za Kutia Moyo Kiukweli Nilihamasil Sana Na Kufikiria Vitu Vingi Sana!
Mwisho Nikaiona Hii Fursa Ya Kujaribu.
Kwa Muda Mrefu Nimemsoma ONTARIO Na Wafuasi Wake Wa Forex! Nikagundua Wote Wana Kauli Moja
FOREX FAIDA= KUSOMA SANAVITABU VYAO + KUWA UPDATED JUU YA TAARIFA MBAMBALI ZA ULIMWENGU.

Nikafikiria Na Kuamua Kurudisha Hizi Kauli Na Biashara Ya Kubeti!
Nikagundua Kote Kunaweza Kuea Sawa.

WHY?

1.Kwenye Forex Watu Wanasoma Sana. The Same Kwenye KuBeti Watu Wanasoma Na Kufuatilia Sana Mienendo Ya Mechi Zilizopita. Misimamo Ya Ligi Etc

2. Kwenye Forex Watu Wanategemea Profit Kubwa Kwa Kuwa Mjanja Na Kuwa Updated! Na Kwenye Kubeti Pia Ukiwa Mjanja Na Updated Unakula Everyday.

FURSA YANGU

Naanza Leo Usiku Kwa Mtaji Wa 50,000/= Nitaleta Mrejesho Kwa Picha After 7 Days.

Ipo Hivi:
Utaanza Na Mtaji Wowote Ila Ukiwa Mkubwa Utapata Faida Zaidi.

Tufanye Kila Siku Ukawa Una Beti Tshs 10,000/= Kwa Kutengeneza Mikeka Miwili Kwa Kufuata Timu Za Aina Hii:

1. Utaweka Timu 2 Tu.
2.ODD Zsizidi 1.7
3. Timu Lazima Iwe Ya Nyumbani

MAHESABU

ODD Ni 1.7
Timu Mbili
Stake Ni 5,000/=
Total ODDS = 2.89

So Hela Utayopata Kwa Mkeka Mmoja Ni Sawa Na
2.89*5000 = 14450/=
Kwa Mikeka Miwili
1445*2 = 28,900/=

Kwa Mwezi = 28,900 * 31 Days Ambayo Ni Sawa Na

895,900/=

Assume Hapa Kati Ukaliwa Kama 300k Faida Itapungua Na Kuwa 500k.

MY TAKE:

Mimi Nimeamua Badala Ya Forex Nitawekeza Huku! Then Nitaleta Mrejesho Kama Anavyofanya Bwana ONTARIO! Wa Forex Baada Ya 1 Month.

Nipeni 1 Month Ya Mrejesho
Naanza Na 50,000/=

MODERATOR

Tafadharini Msifute Wala Kuunga Au Kuhamisha Huu Uzi! Nataka Kujaribu Fursa Niliyoiona Mimi.

MAWAZO, USHAURI, KEJERI, MATUSI VINAKARIBISHWA

MREJESHO
11/11/2017

Leo ni 9/11/2017 Bado siku Mbili utuletee screenshot za mikeka yako uliyoipigia mahesabu ya kukuingizia 800,000/=...Jiandae na mrejesho halisi.
 

Hakuna biashara isiyo na challenge ndugu yangu kwa mantiki hiyo kika biashara gambling sasa waache watu wafanye wanachoona ni bora kwanini usianzishe uzi wako ueleze wewe unachokifanya na faida unayopata!!jifunze ku appreciate kazi za wenzio
 
Wale wanotaka kutoa hela kwa mpesa bas templer ni broker pekee anaeruhusu kutoa na kudeposit kwa mpesa..ni chap tu



https://secure.templerfx.com/login?rid=106853

Pita hapo kweny hiyo link...

JaNa nilitoa hela ya mboga tu na hii ni miamala niliyo tumiwa via mpesa
e9adc50fd5f2a8b6a2c89da652b05bb1.jpg
 
Hakuna biashara isiyo na challenge ndugu yangu kwa mantiki hiyo kika biashara gambling sasa waache watu wafanye wanachoona ni bora kwanini usianzishe uzi wako ueleze wewe unachokifanya na faida unayopata!!jifunze ku appreciate kazi za wenzio
Forex siyo biashara!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom