Mzee wa Masauti
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 2,199
- 2,510
HahahahahLeo ni 9/11/2017 Bado siku Mbili utuletee screenshot za mikeka yako uliyoipigia mahesabu ya kukuingizia 800,000/=...Jiandae na mrejesho halisi.
Wewe umerudi hapa tena mzee njaa njaa? Kwanza kashone na kuzibi kiatu chako kilicho toboka![emoji23] [emoji23]we boya kweli
Umepiga teke Dar kutoka kijijini uswekeni kwenu, unafikiri utapata pesa kirahisi kwa forex! Endelea na ndoto zako!we boya kweli
Rudi kwenu kijijini makupora ukalime au unywe dengelua na wavivu wenzako chini ya miembe, wakati wake zenu wanalima kuwalisha watwana kama nyinyi.we boya kweli
Hiyo ni binary option ni tofauti na forex mkuuSamahani waungwana je hii inaitwa Olymp Trade ni sawa na hiki kinacho zungumziwa hapa?
ahaa, nashukuru mkuu kwa kunieleza hii tofauti...Hiyo ni binary option ni tofauti na forex mkuu
mimi nipo dar haya mafunzo nayapata wapi
Link inagoma, inasema imekuwa revokedWana lake zone tukutane hapa
TMT FX LAKE ZONE II
Training inaanza tarehe 20 November baada ya Training ya Dodoma iliyoanza leo.
Tuchangamkie fursa wadau wa kanda ya ziwa
Kama upo tayari kulipia nikupe namba ya admin, maana sasahivi wanaingiza watu wanaotaka kulipia tuLink inagoma, inasema imekuwa revoked
Umepiga teke Dar kutoka kijijini uswekeni kwenu, unafikiri utapata pesa kirahisi kwa forex! Endelea na ndoto zako!
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Forex Scam Brokers... Exactly... So unataka kusema 100% ya brokers wote ni scam?Kwenye Google andika Forex scam brokers. Ndo utajua biashara hii imetawaliwa na matapeli