Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Wana lake zone tukutane hapa
TMT FX LAKE ZONE II

Training inaanza tarehe 20 November baada ya Training ya Dodoma iliyoanza leo.

Tuchangamkie fursa wadau wa kanda ya ziwa
 
Samahani waungwana je hii inaitwa Olymp Trade ni sawa na hiki kinacho zungumziwa hapa?
 
mimi nipo dar haya mafunzo nayapata wapi
Screenshot_20171115-174848.png

Second Floor, Office Number 211
 
Kuanzia may 2017 wanajf wengine wanepigwa. Basi tu watu hawataki kusema . usiri haukusaidii chochote ndugu

Kitu kibaya zaidi ni kuendelea kucheza mchezo huu ukitegemea kurudisha pesa zako
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom