laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
hiyo $1000 uliipataje bossPlus ukiangalia post zangu mwanzo nlikuwa napost kuhus instaforex, walikuwa wanatoa $1000, kama nliipata, why nsisaidie wengine kuipata? Not everyone can afford $30 as starting capital, if you have a way to help, you help, boss...
Samahani mkuu, dah, cjaeleweka, $1000 ya no deposit bonus katika trading account, not physical money...hiyo $1000 uliipataje boss
Hii bonus account nimeona watu wanasema sana kuwa sio genuine bla bla,so we we experience yako ikoje?hukuambiwa mambo ya kudeposit au kushindwa kuwithdraw n.k?Samahani mkuu, dah, cjaeleweka, $1000 ya no deposit bonus katika trading account, not physical money...
Sorry Sana boss.
Bonus ya instaforex hata ckuwa na mpango wa kuitoa, infact, wakat huo nlikuwa natumia kama demo, na nkaichoma (badala ya kuiongeza, nkaimaliza)Hii bonus account nimeona watu wanasema sana kuwa sio genuine bla bla,so we we experience yako ikoje?hukuambiwa mambo ya kudeposit au kushindwa kuwithdraw n.k?
Mimi nilifanikiwa kyipandisha mpaka $1,132 wakanblock mpaka nifanye deposit ya $100. Sijafanya, nimesoma page moja dah watu wametoa maoni kadhaa ya kuonesha instaforex sio wazuri. Bado nasubiriaBonus ya instaforex hata ckuwa na mpango wa kuitoa, infact, wakat huo nlikuwa natumia kama demo, na nkaichoma (badala ya kuiongeza, nkaimaliza)
Cjajua kwa wale ambao walifanikiwa kuifikisha pale mashart yanataka ilikuwaje.
Mimi binafsi nlishaachana nayo.
Exactly, that's why nkaiacha.. Mana ukiacha hzo rumors pia ckuwa na uzoefu wakat huo, na ckutaka kurisk my real moneyMimi nilifanikiwa kyipandisha mpaka $1,132 wakanblock mpaka nifanye deposit ya $100. Sijafanya, nimesoma page moja dah watu wametoa maoni kadhaa ya kuonesha instaforex sio wazuri. Bado nasubiria
Mabroker wengi wako regulated. Na ukiona yuko regulated manake hana shida. Na pia unaweza ulizia kwa wanaomtumia kuhusu ubora na uharaka wa huduma, demo ni nzuri, na ni nzuri kama wataka kufanya demo, ufanye na broker ambaye umeamua kuwa utamtumia katika biashara yako.
Hili ni muhm kwa sbb utaanza kumsoma na kuelewa huduma zake tangu hujaweka real money kwa akaunti.
Mimi binafsi nina akaunt ya jpm na ya huyu http://bit.ly/2hrv3Yo
Lakini namtumia zaidi huyu wa pili.
Kwenye web yao utaona tu mahali imeandikwa, especially katika "about" sections...Nashukuru sana mkuu! Nitajuaje kuwa ni regulated au sio regulated?
Kwa aliyewahi Ku withdraw kupitia kwa broker FXTM. Tafadhari aje tupeane mrejesho.
Baada ya kugundua kuna broker unaweza Ku deposit na Ku withdraw kwa mpesa, nikaamua kuwithdraw pesa zote FXTM ili nifanye biashara na templerfx.
Habari ni kwamba, tangu nilipo withdraw tar 22/11, mpaka sasa sijapokea pesa zangu. Ijumaa nilijaribu kuwauliza, wakanitumia kitu kinaitwa ARN (acquiring reference number) ili niwapelekee bank kwaajili ya kukamilisha muamala. Chaajabu ni kwamba, baada ya kufika bank wakaniambia hawajui na wala hawajawahi kuona kitu cha hivyo.
Sasa kwa wale waliowahi kuwithdraw waje kushare na sisi namna waliweza kupata hela zao
Vingi kadri uwezavyo lkn hivi viwili ni vizuriMinimum nisome vitabu vingapi ili kichwa changu kiwe tayari kwa ajili ya Training ya TMT...?
Hii
Vingi kadri uwezavyo lkn hivi viwili ni vizuri
1: Price actio cha mangi mandag
2: Naked forex
Ukionge na
Astroforex na 17 proven currency trading strategies, cha Mario singh
Mkuu file ni kubwa zaidi ya supported size! Ni PM nba yako nikurushie watsapp or emailMkuu asante sana kwa reference books.
Naomba kama unaweza kutuwekea link ya kudownload kitabu cha 17 Proven Strategies.
Nimekwama kukipata.
Asante sana
CC @mw RCT
Ni vema ukatambua mapema kabisa broker unayemtumia ana ubia na benki gani kwasababu benki nyingi za hapa kwetu (local banks, NMB, crdb, NBC nk) zina usumbufu kupokea pesa za mtandaoni kama za forex... na hii ni kwa sababu hii biashara kwa Tanzania haijafahamika sana! Baadhi ya benki rafiki kwa biashara ya Forex ni FNB na EQUITY BANK!Kwa aliyewahi Ku withdraw kupitia kwa broker FXTM. Tafadhari aje tupeane mrejesho.
Baada ya kugundua kuna broker unaweza Ku deposit na Ku withdraw kwa mpesa, nikaamua kuwithdraw pesa zote FXTM ili nifanye biashara na templerfx.
Habari ni kwamba, tangu nilipo withdraw tar 22/11, mpaka sasa sijapokea pesa zangu. Ijumaa nilijaribu kuwauliza, wakanitumia kitu kinaitwa ARN (acquiring reference number) ili niwapelekee bank kwaajili ya kukamilisha muamala. Chaajabu ni kwamba, baada ya kufika bank wakaniambia hawajui na wala hawajawahi kuona kitu cha hivyo.
Sasa kwa wale waliowahi kuwithdraw waje kushare na sisi namna waliweza kupata hela zao
Mkuu asante sana kwa reference books.
Naomba kama unaweza kutuwekea link ya kudownload kitabu cha 17 Proven Strategies.
Nimekwama kukipata.
Asante sana
CC @mw RCT