Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Plus ukiangalia post zangu mwanzo nlikuwa napost kuhus instaforex, walikuwa wanatoa $1000, kama nliipata, why nsisaidie wengine kuipata? Not everyone can afford $30 as starting capital, if you have a way to help, you help, boss...
hiyo $1000 uliipataje boss
 
Samahani mkuu, dah, cjaeleweka, $1000 ya no deposit bonus katika trading account, not physical money...
Sorry Sana boss.
Hii bonus account nimeona watu wanasema sana kuwa sio genuine bla bla,so we we experience yako ikoje?hukuambiwa mambo ya kudeposit au kushindwa kuwithdraw n.k?
 
Bonus ya instaforex hata ckuwa na mpango wa kuitoa, infact, wakat huo nlikuwa natumia kama demo, na nkaichoma (badala ya kuiongeza, nkaimaliza)

Cjajua kwa wale ambao walifanikiwa kuifikisha pale mashart yanataka ilikuwaje.

Mimi binafsi nlishaachana nayo.
 
Mimi nilifanikiwa kyipandisha mpaka $1,132 wakanblock mpaka nifanye deposit ya $100. Sijafanya, nimesoma page moja dah watu wametoa maoni kadhaa ya kuonesha instaforex sio wazuri. Bado nasubiria
 
Exactly, that's why nkaiacha.. Mana ukiacha hzo rumors pia ckuwa na uzoefu wakat huo, na ckutaka kurisk my real money
 
Mabroker wengi wako regulated. Na ukiona yuko regulated manake hana shida. Na pia unaweza ulizia kwa wanaomtumia kuhusu ubora na uharaka wa huduma, demo ni nzuri, na ni nzuri kama wataka kufanya demo, ufanye na broker ambaye umeamua kuwa utamtumia katika biashara yako.

Hili ni muhm kwa sbb utaanza kumsoma na kuelewa huduma zake tangu hujaweka real money kwa akaunti.

Mimi binafsi nina akaunt ya jpm na ya huyu http://bit.ly/2hrv3Yo

Lakini namtumia zaidi huyu wa pili.

Nashukuru sana mkuu! Nitajuaje kuwa ni regulated au sio regulated?
 
Kwenye web yao utaona tu mahali imeandikwa, especially katika "about" sections...

Unaweza ona hapa kwa mfano:
(maandishi ya kijani)

e552be8d51bc6ba1e6948eb30536755c.jpg

Na link yake ni:

Templer FX | Trade Cent and Standard Accounts
 
FX BOOKS PDF FREE.

baada ya kuona watu wanahangaika sana kuweza kupata vitabu, na wengine wakishindwa hata kujua waanzie wapi, nikaonelea ni bora niweke channel ya telegram ambako tutaupload vitabu vyote na yeyote ataweza kuvidownload atakapohitaji.

nimechagua telegram kwa sababu haina limit ya idadi ya watu tofauti na groups za whatsapp. kwahiyo kwa yeyote mwenye uhitaji wa vitabu anaweza kujoin chanel na kuvipata.

kama mwingine ana kitabu na angependa kukishare, then inawezekana pia kukiupload.

all the best!

FX Trading Books

cheers!
 
Kwa aliyewahi Ku withdraw kupitia kwa broker FXTM. Tafadhari aje tupeane mrejesho.

Baada ya kugundua kuna broker unaweza Ku deposit na Ku withdraw kwa mpesa, nikaamua kuwithdraw pesa zote FXTM ili nifanye biashara na templerfx.

Habari ni kwamba, tangu nilipo withdraw tar 22/11, mpaka sasa sijapokea pesa zangu. Ijumaa nilijaribu kuwauliza, wakanitumia kitu kinaitwa ARN (acquiring reference number) ili niwapelekee bank kwaajili ya kukamilisha muamala. Chaajabu ni kwamba, baada ya kufika bank wakaniambia hawajui na wala hawajawahi kuona kitu cha hivyo.

Sasa kwa wale waliowahi kuwithdraw waje kushare na sisi namna waliweza kupata hela zao
 
Minimum nisome vitabu vingapi ili kichwa changu kiwe tayari kwa ajili ya Training ya TMT...?
 
Hahahaha pole sana Boss! Bank gani hiyo?
 
Hii
Minimum nisome vitabu vingapi ili kichwa changu kiwe tayari kwa ajili ya Training ya TMT...?
Vingi kadri uwezavyo lkn hivi viwili ni vizuri
1: Price actio cha mangi mandag
2: Naked forex
Ukionge na
Astroforex na 17 proven currency trading strategies, cha Mario singh
 
Mkuu asante sana kwa reference books.

Naomba kama unaweza kutuwekea link ya kudownload kitabu cha 17 Proven Strategies.
Nimekwama kukipata.

Asante sana
CC @mw RCT

Mkuu file ni kubwa zaidi ya supported size! Ni PM nba yako nikurushie watsapp or email
 
Kwa aliyewahi Ku withdraw kupitia kwa broker FXTM. Tafadhari aje tupeane mrejesho.

Baada ya kugundua kuna broker unaweza Ku deposit na Ku withdraw kwa mpesa, nikaamua kuwithdraw pesa zote FXTM ili nifanye biashara na templerfx.

Habari ni kwamba, tangu nilipo withdraw tar 22/11, mpaka sasa sijapokea pesa zangu. Ijumaa nilijaribu kuwauliza, wakanitumia kitu kinaitwa ARN (acquiring reference number) ili niwapelekee bank kwaajili ya kukamilisha muamala. Chaajabu ni kwamba, baada ya kufika bank wakaniambia hawajui na wala hawajawahi kuona kitu cha hivyo.

Sasa kwa wale waliowahi kuwithdraw waje kushare na sisi namna waliweza kupata hela zao
Ni vema ukatambua mapema kabisa broker unayemtumia ana ubia na benki gani kwasababu benki nyingi za hapa kwetu (local banks, NMB, crdb, NBC nk) zina usumbufu kupokea pesa za mtandaoni kama za forex... na hii ni kwa sababu hii biashara kwa Tanzania haijafahamika sana! Baadhi ya benki rafiki kwa biashara ya Forex ni FNB na EQUITY BANK!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom