ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Sawa mkuu hakuna mtu ananifundisha zaidi ya kujisomea mwenyeweGud.. Demo ni muhimu... Then unaweza trade cent kabla ya kwenda standard account...
Sawa mkuu nimekupataUkitumia 3000 as kapital tumia sana Risk management utaona forex ni yako!!
Mkuu mimi ni mchanga sana kwenye biashara ya FOREX ndo nimeisikia leo,sijui chochote kuhusu hiyo biashara ila nimekuwa very interested nayo!!.... Naomba nipe highlights pamoja na steps za kujiunga nayo ili angalao nipate mwanga kidogo tu niweze kujua wapi pa kuanzia na wapi pa kuishia!!Mkuu thanks kwa uzi huu, NGOJA NIANDIKE KWA CAPITAL LETTERS~UKIANZA TU ANZA NA MIMI, baada ya kumaliza elimu ya chuo nilipata kufwatilia sana hii kitu pamoja na kudownload videos za huyu youngest millionaire SANDILE SHEZI kwa wakat huo cjui kwa sasa, na kusoma sana baadh ya APPS zilizopo play store kwa kujifunza, ilinibid nipractice sana kwny demo account kwa kutumia BINARY OPTION~IQ option things was running smoothly but kutokana na research zang nikakutana na baadh ya comments zikisema BINARY its a SCUM nkasita kudeposite ili nideal na real account.
Ni kitu ambayo bado ipo kwny damu and good enough nilikuw nakutana na platform zngne lakin walikuw wanadai THERE IS NO CURRENT BROKER IN UR COUNTRY. Also nilijaribu kucontact na ''ETORO" via email nikijua as the among of the best brokers but nikaona kuna umuhimu wa Elimu zaid juu ya kuijua hii kitu.
As you said hili swala linafanyika kwa kificho sana I was so surprised wakat IQ option wananiambia wana 12,000 Customers from Tz huku nikiwa sijawah kusikia hii kitu ikiwa promoted in either way hapa nchn,
Thnks 4 coming bro I will be in touch with this thread ili Twende sawa.
LET ME ADD SOMETHING ON MY COMMENT HERE.
Baada ya kucomment hapo juu I got several in box texts watu wakitaka kuijua hii business, it shows watu wameipokea kwa mikono miwil let me welcome yu nitakusaidia pale nlipo na experience napo kwa muda mrefu so you may ask here or in box whatever nitakujbu.
Halafu from the middle of nowhere utasikia kuna watu wanataka kuifungia JF!!!This is what we call JF
[emoji15] [emoji15] [emoji15] kuanza tu $3000??Safi mkuu mimi nafanya study ya hii kitu
sasa hivi naparactice demo account
kutoka kwa broker paperstone wa Autralia
japo kuna vitu sivielewi ....lkn nataka
nianze na dola 3000 nikifungua real account
That is the least I can do[emoji15] [emoji15] [emoji15] kuanza tu $3000??
Kusoma ni jambo moja na kwenda kuchezea jedwali ni jamboNaanza kupata mwanga sasa!![emoji116]
Mkuu jitahidi aiseeh usome vitabu kauli mbiu huku ni [HASHTAG]#readmorethanyoutrade[/HASHTAG] maana yataka kujiandaa hasa ili uwe na balls of steel.Naanza kupata mwanga sasa!![emoji116]
Naomba link na mimi nijiunge mkuu nipate mwanga na mmVitabu ninavyo mkuu.
Nipo kwenye group la Telegram la Forex, kule kuna vitabu na mazaga mazaga kibao.
Ni kupakua tu bila shida yoyote.
FX Trading BooksNaomba link na mimi nijiunge mkuu nipate mwanga na mm
nakukumbuka kijana tulipokuwa ihungo boyz paleBoss umetisha vibaya mno. Si kwa speed hii, najua umecomment na kulike kwanza ndio umeanza kusoma. Salute my man. Hahaaa
Mkuu asante kwa fursa. Nina swali moja, hivi kwa templerfx unaweza kudeposit kwa pesa. From your mobile to trading A/c.Tickmill No Deposit Bonus
End Date: 31 Dec 2017
Available: Only New Clients.
Amount: $30
Profit Withdrawable: Yes
Get free kickstart!
Tickmill | Get $30 No Deposit Bonus (Direct Link)
if you have registration problems, check me...
You can trade without verifying any documents, but you will have to verify when you need to withdraw your profit...
Yes.Mkuu asante kwa fursa. Nina swali moja, hivi kwa templerfx unaweza kudeposit kwa pesa. From your mobile to trading A/c.
Ntashukuru kama unatuelekeza deposit and withdraw za templerfx kwa mpesa
Kwa aliyewahi Ku withdraw kupitia kwa broker FXTM. Tafadhari aje tupeane mrejesho.
Baada ya kugundua kuna broker unaweza Ku deposit na Ku withdraw kwa mpesa, nikaamua kuwithdraw pesa zote FXTM ili nifanye biashara na templerfx.
Habari ni kwamba, tangu nilipo withdraw tar 22/11, mpaka sasa sijapokea pesa zangu. Ijumaa nilijaribu kuwauliza, wakanitumia kitu kinaitwa ARN (acquiring reference number) ili niwapelekee bank kwaajili ya kukamilisha muamala. Chaajabu ni kwamba, baada ya kufika bank wakaniambia hawajui na wala hawajawahi kuona kitu cha hivyo.
Sasa kwa wale waliowahi kuwithdraw waje kushare na sisi namna waliweza kupata hela zao