Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
Iwapo kitu hukifahamu vyema; ni vyema na busara kujifunza kwanza, Pitia hii thread, Then comment.Forex haina tofauti na kamari inaenda kwa exchange rate ya dola waachieni hao wenye pesa za kuchezea kamari nyie wenye pesa za kusotea kaeni pembeni mwangalie mchezo unavyo kwenda.
Hii thread imekuwepo hata kabla ya Ontario kuweka bandiko lolote la forex.
Je tangu lini biashara inayofanywa na taasi za kifedha kama benki ikawa ni kamari???