Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Forex haina tofauti na kamari inaenda kwa exchange rate ya dola waachieni hao wenye pesa za kuchezea kamari nyie wenye pesa za kusotea kaeni pembeni mwangalie mchezo unavyo kwenda.
Iwapo kitu hukifahamu vyema; ni vyema na busara kujifunza kwanza, Pitia hii thread, Then comment.
Hii thread imekuwepo hata kabla ya Ontario kuweka bandiko lolote la forex.

Je tangu lini biashara inayofanywa na taasi za kifedha kama benki ikawa ni kamari???
 

Attachments

  • upload_2017-12-24_9-32-41.png
    3.6 KB · Views: 72
Leteni maujanja tuachane na kuumizwa na muhindi

Naomba kufahamu best settings za MACD kulingana na time frame 5M,15M,30M,1H,4H na 1D nikimaanisha Fast EMA Slow EMA na MACD SMA
 
Hakuna best settings za moving average lakini natumia EMA6 EMA 14 EMA 26. Pamoja na zote hizo usisahau RSI. Inafaa kwa 5 min ,15 min and 30 min
 
Hzo indicator mara nyingi kwenye large time frames ndio zinawork vizuri but usihangaike sana huku. Just know ur zones mzeee
 
Hongera. Tusaidiane kwa kuwa wakweli tu. Huyo muaustralia anasifika kwa scam zake
 
Wazo zuri...

Lakini acha risk takers tufanye yetu...

Watu wanahonga mpaka laki tano, Mugabe kahonga hadi nchi,

Hafu tuache opportunity ya mtaji wa laki 2 tu, kwa uoga wa kuibiwa?

Wangapi wanaibiwa magari, na cash za kutosha zaidi ya laki 2?

Wacha tuibiwe tu,
Kwakweli...
 
Ndugu mtanzania, nenda kagoogle Forex scam brokers ndo utajua hii kitu ni uwizi mtupu. Matapeli wamefungua Forex brokers kuibia watu. Piga ua lazima uliwe. Na wana Njia nyingi sana maana wako kwenye huu.mchezo miaka mingi.

Mosi kuna ugumu wa kushiriki hii biashara hata kama huibiwi. Pili kuna kuibiwa hata kama unajua vizuri kufanya hii biashara. Na unaweza kupata Hela lakini ukashindwa kuiweka mfukoni mwaka. Ndo umeshaliwa hivyo

Wana Njia nyingi za kukutamanisha unapoanza. Wanaweza kukuachia ushinde halaf wanaanza kukula. Wanakupa tumaini kuwa unaweza kushinda. Lengo ni ili uweke Hela nyingi wakupurule.

True ecn brokers zipo lakini hazikubali hizo dola 200, 500 au 1000. Wanataka Hela ndefu. Ni expensive endeavor. So unaishia kwa hao fake market makers ambao primary business yao ni tutengeneze kutoka kwako. Hebu pima kama unaweza shindana nao.

Na true ecn brokers wapo pia ambao ni matapeli na ni wengi sana

Ushauri wangu ni kuwa tuwe tunaambiana ukweli. Soma, ingia na ukikumbana na chochote njoo tuhabarishane. Sema wengi wetu tutaona aibu kusema tumeliwa. Na mbaya zaidi tutaendelea kuliwa tukiwa na mategemeo potofu kuwa tutapiga Hela. Hela ya muzungu hailiwi kirahisi hivyo

Usije ukauza Nyumba ucheze Forex. Wenyewe wana sema usiingize Hela kwenye Forex ambayo hutaki kuipoteza. Ni kwamba ukiiingiza ndo umeenda hivyo
 


Laki 2 ya kusomea au kuwekeza huko kwenye akaunti. Kama ni kuweka huko OK. Halaf angalia kama inaongezeka au inapungua so inabidi uongeze?

Mara nyingi itabidi utop up. Uongeze. Na ikifikia hapo we toka tu maneno yangu yatakuwa yametimia. Lasivyo utakuwa Mtu wa kutop up tu. Unaliwa zaidi kuliko unavyokula.

Cha msingi kila mtu ajaribu. Ajionee. Kwa wengi wetu kupoteza million 1 si kitu
 
We jamaa ni mtaalam sana...

Sana...

Lakini kuna tatizo moja...

Hata ukigoogle "tesla car accidents" utaona ajali za gari za tesla, gari ambazo huenda ni safe zaidi kwa sasa...

So, have you tried to google

"best forex brokers?"

Ivi kama kitu hukipendi, kwanini uwe na negativity, na kutaka kuwakatisha tamaa wenzako?

Hata ukisearch side effects of food...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Utazikuta nyingi tu... Je utaacha kula?
 
Usije ukauza Nyumba ucheze Forex. Wenyewe wana sema usiingize Hela kwenye Forex ambayo hutaki kuipoteza. Ni kwamba ukiiingiza ndo umeenda hivyo

Boss, you failed the time you said

USIJEUZA NYUMBA UCHEZE FOREX....


Kama umeuchukulia huu mchezo, ushafell, this is not D9 au DECI this is something entirely different...
We uje ucheze.
Wenzako hawachezi.
Wanafanya.




Nikuulize:
Kwa kuchukulia huu ni mchezo,
MPAKA SASA UMESOMA VITABU VINGAPI VYA HUU MCHEZO?
 
Ukiona unatop up ujue hujaelewa mambo yanaendaje.
Anza upya.
Soma.
Demo.
Cent.
Standard.

Hata mtoto hawezi kukimbia kabla ya kujifunza kutembea.
 

Haya mkuu lengo sio kukatisha mtu tamaa. Wengi wetu tunapta hizi Hela kwa shida sana. Kwahyo ni muhimu kuwa makini tunapojaribu kuziwekeza ili zizae.

Cha muhimu kila mtu na ajaribu. Mimi nime jaribu na nimejaribu kufuatilia wengine waliojiingiza kwenye hii biashara na Matokeo waliyoyapata

Ukifuatilia unaambiwa ni chini ya 5% wanaotusua. Wengine wote hupata hasara kwenye hii biashara. Kila MTU atie mguu na apime uzito na ajipime mwenyewe akichanganya na Habari zilizopo.

Ukigoogle best Forex brokers utaishia kupata so called 'true Forex brokers' na labda zingine ambazo ni most well established kwahyo kufanya mamichezo ya kipuuzi waziwazi wa naona itakula kwao, akina Lcg and the like.

Hao 'true Forex brokers' wa ukweli hawafanyi biashara ya dola buku. Ni angalau maelfu kadhaa ya dola. Uwekezaji mkubwa and still mtu unakuwa new to the game

Kila mtu na ajaribu, Mimi nimeshajaribu najua nnachoongea kwa kiasi kikubwa na nimefuatilia vilevile kwa karibu
 

Bosi, katika vitu ambavyo najiamini navyo ni kuwa Mimi ni msomaji mzuri. Sina uvivu katika hilo. Na sisomi kama hadithi.

Tuwe wa kweli hapa. Tusije potezana.

Kuna wenzetu hapa hawana access na mambo mengi sana na bwana Ontario alivyoleta story za kupika pesa inawezekana kuna wadau walichukulia kirahisi hii 'game'

Nna uhakika wengine wameanza kucheza. Lakini it is not too late. Tushtuane. Tujuzane yaliyo ya msingi kabisa katika hii biashara

Kwamfano kuna Forex brokers nyingi mno zinamea kila kukicha ambazo ni scam. Ukifanya nao hii business lazima uliwe haijalishi hata kama ulikuwa upate.

Hawana aibu, unaliwa tu. Na nyingi huna pa kushtaki. Brokers kama wa sijui Belize, etc.
 
Gud, so kama umeshaamua kuwa kati ya wale 95% wanaoquit, uache wengine wanaotaka kuwa kati ya wale 5% wanaomake...
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…