naona break up ipo njian mkuumarket structure is the key and patience is my middle name let download papersView attachment 689383
Saafnaona break up ipo njian mkuu
mkuu vip bigee naona yup kimya kweny lile grup amna lingeneSaaf
Mmh sijajuaamkuu vip bigee naona yup kimya kweny lile grup amna lingene
poaaa tuendelee kudownload mulaaahMmh sijajuaa
Sio kweliushauri wa bure scalping like that will kill u, ikija NFP mnaunguza a/c
Scalping has never give someone millions expect you have huge balance and open big positions though it is risky
Trade moja niliyohold kwa mda ijumaa dou u see lot size??
View attachment 697541
Ni kweli maana holding ndio njia pekee ya kukufanya upige hela kubwa Forex.. Scalping utapiga hela ya kula tu.Sio kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una muda gan katka forex,,,?Ni kweli maana holding ndio njia pekee ya kukufanya upige hela kubwa Forex.. Scalping utapiga hela ya kula tu.
Almost all successful traders ni good holders na sio scalpers.
Dogo Mimi ni Guru wa hii kazi.. Nimeijua Forex kipindi hicho wewe huko maskani na masela mnakula widi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una muda gan katka forex,,,?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] an kwa ulivo sema scalpers hawatengenez pesa nkajuaa kuaa haunaa loloteee,, limbuken wa forex wachek Hardcore scalpers wa dunia instagram for your own benefits @javiertraderfx @uncle_ted_ @wicksdon'tlie @forex6god @emasdon'tworkDogo Mimi ni Guru wa hii kazi.. Nimeijua Forex kipindi hicho wewe huko maskani na masela mnakula widi.
Sijaijua Forex kwa sababu ya Ontario... Nimejifunza hii mambo nikiwa 123 schooner avenue, laser park, gauteng province, Johannesburg.
Mkuu wewe ni mtu mkubwa sana, sasa ulikuwa wapi kutufunza wenzako mpaka ontario aje ndo useme ulijua long time?Dogo Mimi ni Guru wa hii kazi.. Nimeijua Forex kipindi hicho wewe huko maskani na masela mnakula widi.
Sijaijua Forex kwa sababu ya Ontario... Nimejifunza hii mambo nikiwa 123 schooner avenue, laser park, gauteng province, Johannesburg.
Dogo hujielewi na bado unashobo na hii sanaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] an kwa ulivo sema scalpers hawatengenez pesa nkajuaa kuaa haunaa loloteee,, limbuken wa forex wachek Hardcore scalpers wa dunia instagram for your own benefits @javiertraderfx @uncle_ted_ @wicksdon'tlie @forex6god @emasdon'twork
Et umeijua forex kabla ya ontario kuileta humuu,, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yu got alot to learn
Nilikuwa Johannesburg those days na tunatofautiana ushawishi..mshkaji Ontario alikuwa na ushawishi mkubwa but Mimi nisingethubutu maana nawajua waswahili.Mkuu wewe ni mtu mkubwa sana, sasa ulikuwa wapi kutufunza wenzako mpaka ontario aje ndo useme ulijua long time?
Watu tunakucheki tu....
Na hapo pa kusema scalper hawapigi hela kuliko holders, nahc wewe ni newbie kuliko hata mimi, wallah tena![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeee kweli ww newbie dogoo [HASHTAG]#Nice[/HASHTAG] evening [HASHTAG]#nendaa[/HASHTAG] kasomeeDogo hujielewi na bado unashobo na hii sanaa.
Unajua kwanini wanasema patience pays in Forex!? Its for simple reason kwamba ili umake big bucks in this arena lazma uwe na patience ya kuplace trade na kusubiri for a while hapa ndipo automatic long holder wa trade wanapiga pesa. Hapa ninawazungumzia akina Warren buffet, Soros e.t.c achana na hao vibaka wako wanaojifanya scalpers ili wakuteke ukaudhurie training kwao na kwa kupitia hizo hela zako wanashow off unajua wana mkwanja.
Scalpers wanapiga hela ila ndio hivyo za kula, kuvaa na kununua vi spacio but true investors ni long holders.
Forex si kusoma sana hii sio au aerospace engineering au nuclear physiology ingekuwa hivyo doctors wangekuwa successfully traders maana they are mostly smart and educated.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeee kweli ww newbie dogoo [HASHTAG]#Nice[/HASHTAG] evening [HASHTAG]#nendaa[/HASHTAG] kasomee
Sasa mkuu Tanzania hii ni wangapi wanaweza kuwa na capital ya kuwakaribia hao kina Soros? Usikatae bana hata Scalper anatengeza pesa ndefu tu tena sana!!Dogo hujielewi na bado unashobo na hii sanaa.
Unajua kwanini wanasema patience pays in Forex!? Its for simple reason kwamba ili umake big bucks in this arena lazma uwe na patience ya kuplace trade na kusubiri for a while hapa ndipo automatic long holder wa trade wanapiga pesa. Hapa ninawazungumzia akina Warren buffet, Soros e.t.c achana na hao vibaka wako wanaojifanya scalpers ili wakuteke ukaudhurie training kwao na kwa kupitia hizo hela zako wanashow off unajua wana mkwanja.
Scalpers wanapiga hela ila ndio hivyo za kula, kuvaa na kununua vi spacio but true investors ni long holders.