Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nilikuwa Johannesburg those days na tunatofautiana ushawishi..mshkaji Ontario alikuwa na ushawishi mkubwa but Mimi nisingethubutu maana nawajua waswahili.

Theres is power in holding also the risk is small but ili uwe scalper lazima uwe exact na analysis zako na unalazimika kurisk kikubwa zaidi ili upate kikubwa kitu ambacho kitakuweka kwenye group la wale 94% ambao ni inconsistency unprofitable traders.
Hebu unishow picha ya holder anayefuata RM ambaye position moja imefikisha that amount of money... And I'll believe that holders makes more money than scalpers

Samahani lakini
85015acbf3b1db6abf2995e8dc7b5936.jpg
 
Sasa mkuu Tanzania hii ni wangapi wanaweza kuwa na capital ya kuwakaribia hao kina Soros? Usikatae bana hata Scalper anatengeza pesa ndefu tu tena sana!!
Huyooo dogoo hajielewiii and he is still a newbie muachen na ujinga wakee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeee kweli ww newbie dogoo [HASHTAG]#Nice[/HASHTAG] evening [HASHTAG]#nendaa[/HASHTAG] kasomee
C'mon bana,hujamuelewa vizuri jamaa,nadhani kwa lugha aliyotumia,hajasema scalpers hawameki money ila nadhani alichokua anamaanisha hawameki kiasi cha kuwazidi institutional traders like banks au individuals wenye capital za 1m kwenda juu,yeye kasema hela ya kula ambayo ni kweli ukilinganisha na pesa zinazomeki institutions zinazorun the market.
 
Admin,kuna watu hiyo hela ni ya mboga tu,samahani lkn.[emoji2]
Ndio maana nimeona hata ninyamaze tu maana kwenye mtandao humu unaweza kuwa unabishana na mwanao au mpwa wako. Very imbecilic.

Hiyo hela anayoonyesha haikufanyi uwe millionaire kama at only 20 years kama dogo Sandile shezi maana hukamui vizuri trend Bali inakufanya ubadilishe tu mboga na laba Kali za Gucci only..ni sawa na unatrade then ukipata kifaida kidogo then unatoka wenzako wanahold hadi week mbili profit yenu haiwezi kuwa sawa licha ya same lot mliotumia.

Huyu hapa janki msouth anaitwa Vaphi yeye sio institution ni yeye mwenyewe huwa anahold hadi week mbili trade zake na hii ndio result zake mostly
2757bc698bb50732f1efbfc03437137e.jpg

This is the power of holding I'm talking about angekuwa scalper hapa asingepata hata robo ya huu mkwanja maana angelazimika kuexit trade early.
 
Hii hela haikufanyi uwe millionaire kama dogo sandile shezi maana hukamui vizuri trend..ni sawa na unatrade then ukipata kifaida kidogo then unatoka wenzako wanahold hadi week mbili profit yenu haiwezi kuwa sawa licha ya same lot mliotumia.
Naomba nianze kukubaliana nawe, kama unaongelea traders wenye mitaji mikubwa...

What i know ni kwamba, kwa mtaji wa $200 huwezi linganisha mapato ya scalper na holder.
 
Tutakubaliana tu mkuu maana nakupa fact in issue na experienced trader yeyote yule analijua hili.

Pia Mimi nimekuwa shaidi maana nilishawahi kudouble account kwa lot ndogo sana but the secret nilihold until the trend was completed ya D1...very easy,safe and in risk managed manner. Scalping is more riskier and less profitable maana unalazimika kutumia lot kubwa ili ukamue fasta sasa kwa vile market is unpredictable hapo sasa ndio kuunguza account ni sekunde tu..ila ni ngumu sana swinger kuchoma account maana analazimika kuweka decent lot ya kuvumilia market volatility..kuna watu wanaplace trade then wanaenda na kwenye shughuli zao coz they are risk management ziko on point. Kuna kundi niliona mentor anaweka signal anawambia jamaa hold "until next month" na humo jamaa wana mkwanja kama Freemason but they have very good lot size ambazo ni friendly na risk managed.

Kuna jamaa yangu yeye ana account ya dola $100 yeye huwa anaweka trade 3 za lot ya 0.01 then anahold hadi week mbili from resistance zone to support.. Anachopata ni kikubwa kuliko sisi tuliokuwa tunajifanya scalpers na kuunguza account juu..tunaunguza..maana scalping inatawaliwa sana na greedy ya kupata zaidi tofauti na swingers ambao ni calm and patience which is key in Forex trading success.
 
Very true bruh!unacheza ma trailing stop tu.
 
Charismatic fella ,

Sasa Mzee sisi wa vimitaji vya dolla 100 unatupa dokezo la aina ipi ya trading technique ????
 
Very true bruh!unacheza ma trailing stop tu.
Only trailing stop and nothing else.

Hata kwa dola $40 pekee once ukiwa good swinger unaweza kumake decent profit na ukatengeneza good capital out of that little investment. Ila ukiamua kuscalp unalazimika kujilipua ili upate kingi ukiwa na mtaji mdogo...hapo lazma uondolewe kwenye business maana umeweka adui mkubwa wa Forex mbele ambae ni greedy.

Forex is simple but not easy.
 
Forex is easy but not simple.
I couldn't agree with u more hapo
 
Ndio maana nimeona hata ninyamaze tu maana kwenye mtandao humu unaweza kuwa unabishana na mwanao au mpwa wako. Very imbecilic.

Hiyo hela anayoonyesha haikufanyi uwe millionaire kama at only 20 years kama dogo Sandile shezi maana hukamui vizuri trend Bali inakufanya ubadilishe tu mboga na laba Kali za Gucci only..ni sawa na unatrade then ukipata kifaida kidogo then unatoka wenzako wanahold hadi week mbili profit yenu haiwezi kuwa sawa licha ya same lot mliotumia.

Huyu hapa janki msouth anaitwa Vaphi yeye sio institution ni yeye mwenyewe huwa anahold hadi week mbili trade zake na hii ndio result zake mostly
2757bc698bb50732f1efbfc03437137e.jpg

This is the power of holding I'm talking about angekuwa scalper hapa asingepata hata robo ya huu mkwanja maana angelazimika kuexit trade early.
Na doubt kuhusu hii screen shot inawezekana imefanyiwa editing yaani pair zaidi ya tatu zote zilikuwa zinakwenda sawa tu! Duuu what a coincidence!
 
Only trailing stop and nothing else.

Hata kwa dola $40 pekee once ukiwa good swinger unaweza kumake decent profit na ukatengeneza good capital out of that little investment. Ila ukiamua kuscalp unalazimika kujilipua ili upate kingi ukiwa na mtaji mdogo...hapo lazma uondolewe kwenye business maana umeweka adui mkubwa wa Forex mbele ambae ni greedy.

Forex is easy but not simple.
Nataka kukwambia kitu kimoja,

Every trader can be a swinger,
But not everyone can be a scalper.

Kuwa scalper kunatakiwa kuwa na uhakika na unachokifanya, na kuwa na roho ngumu...

And kuchoma akaunti wote wanachoma, iwe day trader au scalper...
 
Na doubt kuhusu hii screen shot inawezekana imefanyiwa editing yaani pair zaidi ya tatu zote zilikuwa zinakwenda sawa tu! Duuu what a coincidence!
Kaangalie tena na uje ufute maandishi yako mkuu, pair ni moja tu AUDJPY na huyu jamaa ni very legitimate and genuine maana nilishawahi hadi kuonana nae Jozi nikajiridhisha.
 
Nataka kukwambia kitu kimoja,

Every trader can be a swinger,
But not everyone can be a scalper.

Kuwa scalper kunatakiwa kuwa na uhakika na unachokifanya, na kuwa na roho ngumu...

And kuchoma akaunti wote wanachoma, iwe day trader au scalper...
For the true fact of Market unpredictability and volatility then scalper wako kwenye hatari kubwa ya kuburn account kuliko swinger.

Kuna yule jamaa wa Ghana alikuwa professional scalper akaaminiwa hadi na mabenki na kupewa Kazi ya kutrade kwa niaba yao kwa techniques zake matata za kuscalp mbona alichoma mapema tu mabilion ya pesa za Benki ya uswisi wakamfunga na kumfunga jela. This implies to us also market is unpredictable na hivyo ukiwa scalper huko mmagumu. Imagine professional anachoma mabilioni je wewe mwenye miezi mitano?

But swinger anaweza kuplace trade na kuja kuangalia hata mwaka ujao akajikita in profit. Na hii ndio siri ya Forex..chukua kidogo kidogo in a long run uwe consistency profitable but sio kwa mkupuo..no huwezi utakuwa market donor tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom