AMLIGHT
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 1,140
- 843
Hebu unishow picha ya holder anayefuata RM ambaye position moja imefikisha that amount of money... And I'll believe that holders makes more money than scalpersNilikuwa Johannesburg those days na tunatofautiana ushawishi..mshkaji Ontario alikuwa na ushawishi mkubwa but Mimi nisingethubutu maana nawajua waswahili.
Theres is power in holding also the risk is small but ili uwe scalper lazima uwe exact na analysis zako na unalazimika kurisk kikubwa zaidi ili upate kikubwa kitu ambacho kitakuweka kwenye group la wale 94% ambao ni inconsistency unprofitable traders.
Samahani lakini