Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Vilevile tunatoa huduma ya private course kwa mtu mmoja au kikundi cha watu, hivyo tutawafuata popote mlipo nchini kwa gharama nafuu sana. Karibuni
 

Attachments

  • IMG-20180214-WA0006.jpg
    10.6 KB · Views: 58
Okey kwa hiyo kama unatrade pair moja tu kwa wakati huo ni kitu kilekile?
Ukiacha "kusambaza risk" kama vile myahudi alivyosema, lot ya 0.01 inakusaidia kufungua positions nyng zaidi.

Mf. Una akaunt ina $30, kutokana na leverage yako, unaweza kushindwa kufungua position 1 ya lot 0.05 (not enough money), lakini unaweza kufungua position 5 za lot 0.01 ambazo jumla yake ni 0.05.

Pia inakusaidia unapokuwa na trade ziko against, ni rahc kutake partial loss kwa kufunga chache na kuacha nyingine, lakini ukiwa na trade moja ya 0.05 ukiifunga manake umetake complete loss.

Chamwisho, ukijilipua unawah zaidi kupata marginal call alert kuliko anayetumia lot size ndogo... Na hyo inamaanisha kuwah zaidi kufikia stop out kama uko na trades zilizo against na order yako.
 
Huu Uzi kila siku lazima niucheki ,Please kama kuna wadau wameanza kutrade naomba tujiane jamani bado sijawa mzoefu.

1.Humble African
Huu uzi ni bora sana tukiutumia vizuri kwa kuelemishana juu ya masuala muhimu yahusuyo Forex and other related issues.

Mimi Nina muda wa kutosha kwa sasa tangu nianze kutrade mzawa. Hivyo at least nina strategy and techniques za kuapproach Forex Market with some cautions.

Vipi ulianza kutrade tangu lini wewe?
 
Habari wakuu nahitaji msaada wa jinsi ya kuongeza pesa katika a/c (real a/c) ya templerfx kupitia mpesa...

mwenye kufaham procedures msaada tafadhari...
 
Shukrani mkuu
 
Habari wakuu nahitaji msaada wa jinsi ya kuongeza pesa katika a/c (real a/c) ya templerfx kupitia mpesa...

mwenye kufaham procedures msaada tafadhari...
Menu >Finance >deposit > chagua akaunti > chagua Ipay Africa > Mpesa > weka kiasi cha kudeposit in $ lakini bila $ sign > confirm > then tap deposit
 
Menu >Finance >deposit > chagua akaunti > chagua Ipay Africa > Mpesa > weka kiasi cha kudeposit in $ lakini bila $ sign > confirm > then tap deposit
BAADA YA HAPO UNA ENDA INGIZA PESA IPAY KWA KUFUNGUA A/C IPAY AU UNA FANYA MALIPO KUPITIA MENU YA SIMU KAMA UNA LIPA LUKU NA BILI ZINGINE?
 
I wish every trader could understand you rafiki. You're so informed on the subject matter.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…