Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
mwenye namba ya ipay na templerfx-Tanzania... mpaka sasa hawaja ingiza pesa ktk a/c yangu ili niweze kutrade, toka siku ile ya ijumaa... nime sikitishwa sana... nataka nifanye nao mawasiliano nao ili niweze kujua wana nisaidiaje... au kama hawa wezi basi tuone tuna saidianaje...
 
well said mate....watanzania tuna safar ndefu san elimu kitu muimu
 
Am sure week hii dollar ina shine... hawa jamaa wanipe pesa ni trade aise...
 
Boss hapo kwenye maandishi mekundu umetudanganya asee...... Hebu jaribu kufikiria ulichokiandika hapo na upya
 
Boss hapo kwenye maandishi mekundu umetudanganya asee...... Hebu jaribu kufikiria ulichokiandika hapo na upya
Sawa boss... Unatrade? Mana me bado newbie, huenda cjajua mambo haya
 
Sawa boss... Unatrade? Mana me bado newbie, huenda cjajua mambo haya

ndio ninatrade boss... ipo hivi Unapotumia 0.01 kwa 5 trades na mwingine akatumia 0.05 kwa single trade, wote mnakuwa na margin sawa(I have proven it). Kinachodetermine maximum number of trades ambazo unaweza kuopen ni margin level %. na margin level inapokuwa imefika 100%(Equity iko sawa na margin and free margin is 0) ndio point ambayo mtu hawezi kuopen more trades.

Pia lot size ya 0.05 kwa single trade siyo advisable ukicompare na 0.01 kwa 5 trades. Kwa sababu 0.05 kwa single trade ni concentrated risk, once mambo yakienda against you cut a bigger loss tofauti na mwenye 0.01 5 trades anaweza tu kupunguza baadhi ya trades zake... As you said
 
nashukuru wame nisikiliza na kurejesha kiasi husika... ila bado nataka kudeposit ktk a/c yangu ya templerfx kupitia mpesa... nifanyeje, au kuna mahali nakosea....?

msaada tafadhari...
 
Yani ulichokiandika ni tofauti na nlichokiandika... Ila tena hapo mwishoni umeandika kama mimi tena...
 
Yani ulichokiandika ni tofauti na nlichokiandika... Ila tena hapo mwishoni umeandika kama mimi tena...

ndo maana hapo mwisho nmemalizia "as you said" ila point yangu ilikuwa yale maandhishi niliyohighlight na rangi nyekundu pale juu
 
ndo maana hapo mwisho nmemalizia "as you said" ila point yangu ilikuwa yale maandhishi niliyohighlight na rangi nyekundu pale juu
Hujawahg pata "not enough money" error? Hujawah kujaribu kutrade BTCUSD wikiend na akaunt ya $20?
 
nashukuru wame nisikiliza na kurejesha kiasi husika... ila bado nataka kudeposit ktk a/c yangu ya templerfx kupitia mpesa... nifanyeje, au kuna mahali nakosea....?

msaada tafadhari...
ukishafuata process zote kikamilifu hakikisha namba unayo deposit ndo hiyo hiyo inayotambulika na temper na pale wanapokupa reference namba ya kulipia hakikisha unamalizia Ku click complete alafu ukishapata SMS ya uthibitisho kutoka I pay pigs screenshot alafu watumie templer waharakishe mi ndo ninavyo fanya
 
Nlikuwa naongelea $30 na position ya lot 0.05. Na ukiwa na standard leverage ya 1:200
inakataa ongeza levarage walau miatano kama unaogopa bas lot kubwa utaziona kwa wengine ila 0.01 unafungulia kafhaa levarage inapokuwa kubwa unatembea na lot kubwa katika akaunt ndogo but hatar
 
inakataa ongeza levarage walau miatano kama unaogopa bas lot kubwa utaziona kwa wengine ila 0.01 unafungulia kafhaa levarage inapokuwa kubwa unatembea na lot kubwa katika akaunt ndogo but hatar
Nlikuwa namwambia yule jamaa tofauti ya kutumia lot 0.05 na kufungua position 5 za lot 0.01. Mimi binafsi cpend kutrade BTCUSD, mana inakuwaga na spread kubwa hatari
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…