Thanks, nikikwama popote nitasema nipate msaada.Hey aker2011! Kufungua akaunt Templer ni just simple sana,na haichukui muda mrefu kuwa na akaunt, unatakiwa uwe na ID mojawapo kati ya passport, ID ya kupiga kura , au ya uraia baada ya kuandaa ID utaingia kwa website yao hii Templer FX Trader
utashusha chin mpaka walipoandika register , ingia pale utajaza taarifa zako km email nk, , then itabd utume picha ya ID yako, ukikwama sehemu utakuja hapa hapa kufunguka , utakuwa umewasaidia na wengine
Sawa.Wap unahtaj msaada boss funguka hapa au nichek pm
Kama ndivyo hivi hii kitu itaniua kwa presha imeshaunguza acc zangu mbili wiki hii moja ipo inapumulia mashine daaah!!! Forex si mchezoKwa kuanza hii hapa ni analysis ya GBPJPY D1, inaonesha prive is moving down toward level 139.500. Hii ni kutoka kwa guru FX technician. Imeshabreak TL na direction ndiyo hiyo. Inaweza fanya pullback kisha safari ikaendelea. Patience.
FXTM mkuu lakin kwenye setup napata shida.Kwa urahc, unadownload mt4 kwa website ya broker wako... Unatumia broker gani?
Shida kivipi mkuu?FXTM mkuu lakin kwenye setup napata shida.
Muda wa kusoma vitabu umeisha mkuu, huu ni muda wa kuchagua strategy moja na kuifanyia backtesting mpaka ukiangalia tu chart unajua usell au ubuy au uiache, hata kama umetoka tu usingizini...Daaah huko telegram kuna vitabu hadi unachanganyikiwa dadeki...kila unachokiona unatamani ndio uanze nacho
Aisee kwa hiyo mkuu wewe umeshafika hatua hiyo...kwa hiyo kuna muda maalum wa kusoma vitabu kumbe? Mimi bado naona mawenge mwenzio inabidi nikaze msuli maana ninakoelekea forex inaelekea kunishinda na sitaki kukubali eti 'forex is not for me' napigana mpaka tone la mwishoMuda wa kusoma vitabu umeisha mkuu, huu ni muda wa kuchagua strategy moja na kuifanyia backtesting mpaka ukiangalia tu chart unajua usell au ubuy au uiache, hata kama umetoka tu usingizini...
Then ndo uitumie kutrade kwa real for profit
Kwani ni nini unachokisoma? Na je ni strategy gani umechagua kuitumia kwa kutrade?Aisee kwa hiyo mkuu wewe umeshafika hatua hiyo...kwa hiyo kuna muda maalum wa kusoma vitabu kumbe? Mimi bado naona mawenge mwenzio inabidi nikaze msuli maana ninakoelekea forex inaelekea kunishinda na sitaki kukubali eti 'forex is not for me' napigana mpaka tone la mwisho
Nasoma kwa ujumla tu kupanua uelewa, nothing specific.. Strategy sijachaguaKwani ni nini unachokisoma? Na je ni strategy gani umechagua kuitumia kwa kutrade?
Ndo tatizo hlo mkuu. Unasoma bila malengo, na unatrade bila kuchagua staili hasa ya kutrade.Nasoma kwa ujumla tu kupanua uelewa, nothing specific.. Strategy sijachagua
Asante kwa ushauri mkuu ila tatizo nikisoma naona kama nimeelewa ila nikija kuapply naona giza...hizo indicator ndio sielewi kabisaaNdo tatizo hlo mkuu. Unasoma bila malengo, na unatrade bila kuchagua staili hasa ya kutrade.
Kama unajua, spread, pip, leverage, bid, ask, support, resistance, demand, supply zones, na mt4, na kuitumia hyo mt4, unajua indicator mbili tatu za mt4 na jinsi ya kuzitafsri, huna haja ya kuendelea kusoma kuzihusu.
Unachagua strategy moja kati ya nyingi umezisoma, na kuamua kutrade kwa staili hyo tu. Na kama unasoma, unakuwa unasoma kuhusu stail yako ya kutrade tu ili kuimaster vizuri.
Forex haina mtihani mkuu... Lakini pia, ukijua mambo mengi utacomplicate sana maisha kiasi ukitaka kutrade utashindwa mana utaona mambo yanapingana...
Hata katika real life,wasomi wengi wanashindwa kuanzisha biashara kuliko wenye elimu za kawaida, kwa sbb wasomi wanakuwaga overcalculative kwa upande wa risk kuliko normal people...
Ndio mana hapo nimekwambia fanyia mazoezi hasa...Asante kwa ushauri mkuu ila tatizo nikisoma naona kama nimeelewa ila nikija kuapply naona giza...hizo indicator ndio sielewi kabisaa
Haha asante mkuu nimekusomaNdio mana hapo nimekwambia fanyia mazoezi hasa...
Hata leseni ya udereva haitolewi kwa kuangalia umesoma vitabu vingapi vya "how to drive a car" bali kwa jinsi utakavyoliendesha!!!
Ingekuwa ukisoma tayari unakuwa unaweza kila kitu, nahisi ningesaka vitabu vya urubani, then niende airport nkaibe ndege!![emoji3] [emoji3] [emoji3]
Anza kwa kusoma, then utachagua broker wamtaka, utajisajili na kuanza kutrade.Naanzaje ama kuna link!?