AMLIGHT
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 1,140
- 843
Kuna options nyng, option rahc ambayo naitumia kwa broker wasio na mpesa ni skrill.Hivi haiwezekani kuwithdwar au kudepost kwa kutumia bank ????
Maana Mimi MTU mweusi huwa simuamini kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna options nyng, option rahc ambayo naitumia kwa broker wasio na mpesa ni skrill.Hivi haiwezekani kuwithdwar au kudepost kwa kutumia bank ????
Maana Mimi MTU mweusi huwa simuamini kabisa
Ishu co ucheap wa tunaotumia mpesa. Ishu ni kwamba kwa tz bado sana banks kuweka mifumo rahc ya kibank ya kulipia huduma mitandaoni. Na bank nyngne hazina hata online banking kabisa, hafu pia kuna urahc wa kudeposit na kuipata cash yako, imagine uko kantalamba, hata ukiwithdraw kwenda bank utahtaji ufike bank kudraw, na hyo ATM kuipata ndo sio karibu kama ukiwa huko Dar ujue...Unawezekana kabisa mkuu sema shida mifumo ya kibank haijazoeleka sana Tz! Yaani nilipoambiwa templerfx mtu anaweza kuwithdraw kwa mpesa moja kwa moja nikajua wanaojihusisha humo ni watu cheap sana....
Ipo kwa post hii, with instructions ukitaka kupata bonus ya templer.Naomba link ya templer
Kuna watu wanauzia signal/strategy jf? Cjawah kuzionaJF anzeni kuchukua chenu kwa matangazo ya biashara ya watu wanaouza strategy au signal!
Mkuu hii ndio link ya Templer? Au ulikuwa unamaanishajeIpo kwa post hii, with instructions ukitaka kupata bonus ya templer.
Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!
Hii sio biashara! @Almight![]()
Join the Best Entire Winning Squad in Tanzania
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Kuna watu wanauzia signal/strategy jf? Cjawah kuziona
Ah, ok.Hii sio biashara! @Almight
Templer FX | Start with $30 No deposit BonusMkuu hii ndio link ya Templer? Au ulikuwa unamaanishaje
Easy bae....[emoji23] [emoji23] you can relax babe nikiangukia pua wewe si upo?
Siamini kama hata wewe huniamini...nani ataniamini sasa? Halafu umesahau practice makes perfect, mimi nitajua lini sasa?Easy bae....
But try something if possible, ask one of the Forex winer to dread for you, the you will take 50% each once you make a profit....
And, don't forget to mark my word...[emoji12] [emoji12]
Nakuamini babe.....Siamini kama hata wewe huniamini...nani ataniamini sasa? Halafu umesahau practice makes perfect, mimi nitajua lini sasa?
Hayo ndio maneno sasa[emoji123] [emoji123]Nakuamini babe.....
Keep on pushing and pull up yo sox...[emoji12] [emoji12]
Alhamdulilahh....[emoji120]Hayo ndio maneno sasa[emoji123] [emoji123]
Daah barikiwa sana mkuuJinsi ya Kudeposit Hela yako kwa Broker Templer FX Trader Kwa njia ya M-pesa
Maelezo kwa njia ya picha
1.Baada ya kufungua akaunti yako, Ingia dashboard bonyeza palipozungushiwa alama ya blue
![]()
2.Bonyeza Finance>>Deposits
![]()
3.Chagua akaunti unayotaka kuweka Pesa yako, kama ni cent basi utachagua cent , na kama ni universal akaunti utachagua universal acc. Angalia picha hapo chini
![]()
![]()
4.Chagua mfumo Wa kulipia , (payment system) Chagua Ipay Africa
![]()
![]()
5.Chagua njia ya kulipia (Method of payment) Chagua M-pesa Tanzania
![]()
![]()
6.Ingiza kiasi cha hela katika Dollar (minimum Deposit ni $1)
![]()
Hapo utaweka kiasi chako , kwa mfano hapo pichani chini kwenye amount tumeweka $20, system itakusaidia kukujulisha $20 ni sawa na amount ya shilling ngapi za kitanzania, ukiangalia hapo kwenye Deposit unaona wamekuandikia 45,060TZS , hicho ndo kiasi ambacho inabidi udeposit ili kwenye MT4 yako ikaonekane $20.
![]()
7.Bonyeza Deposit
![]()
Baada ya kubonyeza Deposits , utaletewa maelezo jinsi ya kulipia kwa njia ya M-pesa kama yanavyoonekana pichani hapo chini, Kumbuka kufwata maelezo utayoletewa.
![]()
Hapo kuna Namba ya kampuni (Business number) ambayo ni 261144 , pia kuna Namba ya kumbukumbu (Reference number), Hakikisha unaziandika sehemu maalumu . Baada ya hapo utabonyeza Complete.
Then utaenda kwenye Menyu Ya M-pesa
>Chagua 4 LIPA KWA MPESA.
>Ingiza namba ya kampuni ambayo ni 261144
>Ingiza namba ya kumbukumbu uliyopewa .
>Ingiza kiasi cha Pesa (ile uliyoandikiwa kwenye Deposit)
>Ingiza namba ya siri.
>Thibitisha.
Utapokea ujumbe kutoka elipa kuthibitisha malipo yako yameshapokelewa. Then subiri Baada ya Nusu SAA Washa MT4 uone kama mkwanja umesoma[emoji3][emoji3].
Kwa wale ambao bado hawajafungua akaunti TemplerFx unaweza kufungua sasa kwa kuingia kwenye website yao hii Templer FX Trader uliza chochote nitakujibu hapa Au njoo PM nitakusaidia . Maisha ni murua na TemplerFx[emoji3]
Asante chief!
Universal account ni akaunt ya kawaida ambayo ukiweka $10 kwenye Mt4 itasoma $10 , na ukitrade ukapata profit ya $5 basi ukitoa/withdraw utapata $5 kama ilivyo. Kifupi ni akaunt ambayo ukitrade utapewa kile ambacho umetrade.
Cent akaunt hii ni ambayo kiasi utakachoweka kinazidishwa Mara $100 ndo hela itakayoonekana kwenye MT4, mfano ukadeposit $1 kwenye Mt4 itasoma $100,hyo $100 utaweza kuopen positions zenye uwezo $100 , hata lot tembo we unatupia tu[emoji16]
, pia ukiweka $10 itazidishwa Mara 100 utapata $1000 kias kitakachosoma kwenye mt4[emoji16] na utaweza kufungua positions utakazo ww zenye kuhimili $1000.
Pia katika kuwithdraw kiasi utakachokiona kwenye mt4 itabid ukigawe kwa $100 ndo Pesa yako halisi , mfano kwenye mt4 ukawa na $500 itabidi ugawe kwa $100 jibu unapata $5 hiyo ndo hela utakayoipata wakati Wa kuwithdraw,
Kifupi ni akaunt nzuri kwa kujifunzia na kufanyia backtest strategies mbalimbali kuliko kutumia demo!
Kuwa huru kuuliza wapi hujaelewa boss!
Kwa wale wanahitaji kumfahamu zaidi broker huyu wanaweza kuingia
Templer FX Trader pamoja na kufungua akaunt uipendayo.