Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hivi haiwezekani kuwithdwar au kudepost kwa kutumia bank ????



Maana Mimi MTU mweusi huwa simuamini kabisa
Kuna options nyng, option rahc ambayo naitumia kwa broker wasio na mpesa ni skrill.
 
Unawezekana kabisa mkuu sema shida mifumo ya kibank haijazoeleka sana Tz! Yaani nilipoambiwa templerfx mtu anaweza kuwithdraw kwa mpesa moja kwa moja nikajua wanaojihusisha humo ni watu cheap sana....
Ishu co ucheap wa tunaotumia mpesa. Ishu ni kwamba kwa tz bado sana banks kuweka mifumo rahc ya kibank ya kulipia huduma mitandaoni. Na bank nyngne hazina hata online banking kabisa, hafu pia kuna urahc wa kudeposit na kuipata cash yako, imagine uko kantalamba, hata ukiwithdraw kwenda bank utahtaji ufike bank kudraw, na hyo ATM kuipata ndo sio karibu kama ukiwa huko Dar ujue...

Ushawahi hesabu kuna vibanda vingapi vya mpesa, na kuna ATM ngapi katika mji mmoja? There comes the "why we choose mpesa"...
 
JF anzeni kuchukua chenu kwa matangazo ya biashara ya watu wanaouza strategy au signal!
 
0a095e020c1cfe3ef0118deb247d4637.jpg


Join the Best Entire Winning Squad in Tanzania
Hii sio biashara! @Almight
 
[emoji23] [emoji23] you can relax babe nikiangukia pua wewe si upo?
Easy bae....
But try something if possible, ask one of the Forex winer to dread for you, the you will take 50% each once you make a profit....
And, don't forget to mark my word...[emoji12] [emoji12]
 
Easy bae....
But try something if possible, ask one of the Forex winer to dread for you, the you will take 50% each once you make a profit....
And, don't forget to mark my word...[emoji12] [emoji12]
Siamini kama hata wewe huniamini...nani ataniamini sasa? Halafu umesahau practice makes perfect, mimi nitajua lini sasa?
 
Siamini kama hata wewe huniamini...nani ataniamini sasa? Halafu umesahau practice makes perfect, mimi nitajua lini sasa?
Nakuamini babe.....
Keep on pushing and pull up yo sox...[emoji12] [emoji12]
 
Jinsi ya Kudeposit Hela yako kwa Broker Templer FX Trader Kwa njia ya M-pesa

Maelezo kwa njia ya picha

1.Baada ya kufungua akaunti yako, Ingia dashboard bonyeza palipozungushiwa alama ya blue

1689f237205c604ca695b0c1d778155b.jpg


2.Bonyeza Finance>>Deposits
dbb62af7dac00bf1b52fc38a68a3b6c5.jpg


3.Chagua akaunti unayotaka kuweka Pesa yako, kama ni cent basi utachagua cent , na kama ni universal akaunti utachagua universal acc. Angalia picha hapo chini
a9c1b0be0b7dff51091bb107ec55f13b.jpg


9f3f682a65464e94e3958af3d69e2198.jpg


4.Chagua mfumo Wa kulipia , (payment system) Chagua Ipay Africa
f45177e9e63028259732adb338d58e4f.jpg


de6f89f8b040668f449f82e0da9f9a36.jpg


5.Chagua njia ya kulipia (Method of payment) Chagua M-pesa Tanzania
c480ff8d1dbb6942dde8edf3eccae2e3.jpg


2377b0b9ecfa088def76ed6b35335a98.jpg


6.Ingiza kiasi cha hela katika Dollar (minimum Deposit ni $1)
63c5392cc6c24853ef9b55b402fc261f.jpg


Hapo utaweka kiasi chako , kwa mfano hapo pichani chini kwenye amount tumeweka $20, system itakusaidia kukujulisha $20 ni sawa na amount ya shilling ngapi za kitanzania, ukiangalia hapo kwenye Deposit unaona wamekuandikia 45,060TZS , hicho ndo kiasi ambacho inabidi udeposit ili kwenye MT4 yako ikaonekane $20.
20ff05672762da33c0cab1dfe72506e0.jpg


7.Bonyeza Deposit
6630a95a75d389e264b9fac066fdee95.jpg


Baada ya kubonyeza Deposits , utaletewa maelezo jinsi ya kulipia kwa njia ya M-pesa kama yanavyoonekana pichani hapo chini, Kumbuka kufwata maelezo utayoletewa.
fc088dc74e0ff4b995183f0163fba06f.jpg

Hapo kuna Namba ya kampuni (Business number) ambayo ni 261144 , pia kuna Namba ya kumbukumbu (Reference number), Hakikisha unaziandika sehemu maalumu . Baada ya hapo utabonyeza Complete.

Then utaenda kwenye Menyu Ya M-pesa
>Chagua 4 LIPA KWA MPESA.
>Ingiza namba ya kampuni ambayo ni 261144
>Ingiza namba ya kumbukumbu uliyopewa .
>Ingiza kiasi cha Pesa (ile uliyoandikiwa kwenye Deposit)
>Ingiza namba ya siri.
>Thibitisha.

Utapokea ujumbe kutoka elipa kuthibitisha malipo yako yameshapokelewa. Then subiri Baada ya Nusu SAA Washa MT4 uone kama mkwanja umesoma[emoji3][emoji3].

Kwa wale ambao bado hawajafungua akaunti TemplerFx unaweza kufungua sasa kwa kuingia kwenye website yao hii Templer FX Trader uliza chochote nitakujibu hapa Au njoo PM nitakusaidia . Maisha ni murua na TemplerFx[emoji3]
Daah barikiwa sana mkuu
 
Universal account ni akaunt ya kawaida ambayo ukiweka $10 kwenye Mt4 itasoma $10 , na ukitrade ukapata profit ya $5 basi ukitoa/withdraw utapata $5 kama ilivyo. Kifupi ni akaunt ambayo ukitrade utapewa kile ambacho umetrade.

Cent akaunt hii ni ambayo kiasi utakachoweka kinazidishwa Mara $100 ndo hela itakayoonekana kwenye MT4, mfano ukadeposit $1 kwenye Mt4 itasoma $100,hyo $100 utaweza kuopen positions zenye uwezo $100 , hata lot tembo we unatupia tu[emoji16]
, pia ukiweka $10 itazidishwa Mara 100 utapata $1000 kias kitakachosoma kwenye mt4[emoji16] na utaweza kufungua positions utakazo ww zenye kuhimili $1000.

Pia katika kuwithdraw kiasi utakachokiona kwenye mt4 itabid ukigawe kwa $100 ndo Pesa yako halisi , mfano kwenye mt4 ukawa na $500 itabidi ugawe kwa $100 jibu unapata $5 hiyo ndo hela utakayoipata wakati Wa kuwithdraw,

Kifupi ni akaunt nzuri kwa kujifunzia na kufanyia backtest strategies mbalimbali kuliko kutumia demo!

Kuwa huru kuuliza wapi hujaelewa boss!

Kwa wale wanahitaji kumfahamu zaidi broker huyu wanaweza kuingia
Templer FX Trader pamoja na kufungua akaunt uipendayo.

Asante sana mkuu, nimekuelewa bila chenga
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom