AMLIGHT
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 1,140
- 843
Yes. Mimi kwa mfano, natumia MPesa pekee, so hvyo vngne cjaverifySwali langu namaanisha unaweza kuchagua kutumia M-PESA tu na hayo madude mengine ukaachana nayo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes. Mimi kwa mfano, natumia MPesa pekee, so hvyo vngne cjaverifySwali langu namaanisha unaweza kuchagua kutumia M-PESA tu na hayo madude mengine ukaachana nayo?
SawaaYes. Mimi kwa mfano, natumia MPesa pekee, so hvyo vngne cjaverify
Nenda you tube search Forex Videos, na pia kuna groups telegram za traders, unaweza zisearch.Nimeisoma news yooote, kama kuna video YouTube nielekeze, also naona mtaji ni mkubwa kwa mie DIT student ,labda nambie minimum capital,au kama its possible include me in free membership please!
Sandile namsomaaaa! The muffins producer in SA
rimras444@gmail.com
Jinsi ya Kudeposit Hela yako kwa Broker Templer FX Trader Kwa njia ya M-pesa
Maelezo kwa njia ya picha
1.Baada ya kufungua akaunti yako, Ingia dashboard bonyeza palipozungushiwa alama ya blue
![]()
2.Bonyeza Finance>>Deposits
![]()
3.Chagua akaunti unayotaka kuweka Pesa yako, kama ni cent basi utachagua cent , na kama ni universal akaunti utachagua universal acc. Angalia picha hapo chini
![]()
![]()
4.Chagua mfumo Wa kulipia , (payment system) Chagua Ipay Africa
![]()
![]()
5.Chagua njia ya kulipia (Method of payment) Chagua M-pesa Tanzania
![]()
![]()
6.Ingiza kiasi cha hela katika Dollar (minimum Deposit ni $1)
![]()
Hapo utaweka kiasi chako , kwa mfano hapo pichani chini kwenye amount tumeweka $20, system itakusaidia kukujulisha $20 ni sawa na amount ya shilling ngapi za kitanzania, ukiangalia hapo kwenye Deposit unaona wamekuandikia 45,060TZS , hicho ndo kiasi ambacho inabidi udeposit ili kwenye MT4 yako ikaonekane $20.
![]()
7.Bonyeza Deposit
![]()
Baada ya kubonyeza Deposits , utaletewa maelezo jinsi ya kulipia kwa njia ya M-pesa kama yanavyoonekana pichani hapo chini, Kumbuka kufwata maelezo utayoletewa.
![]()
Hapo kuna Namba ya kampuni (Business number) ambayo ni 261144 , pia kuna Namba ya kumbukumbu (Reference number), Hakikisha unaziandika sehemu maalumu . Baada ya hapo utabonyeza Complete.
Then utaenda kwenye Menyu Ya M-pesa
>Chagua 4 LIPA KWA MPESA.
>Ingiza namba ya kampuni ambayo ni 261144
>Ingiza namba ya kumbukumbu uliyopewa .
>Ingiza kiasi cha Pesa (ile uliyoandikiwa kwenye Deposit)
>Ingiza namba ya siri.
>Thibitisha.
Utapokea ujumbe kutoka elipa kuthibitisha malipo yako yameshapokelewa. Then subiri Baada ya Nusu SAA Washa MT4 uone kama mkwanja umesoma[emoji3][emoji3].
Kwa wale ambao bado hawajafungua akaunti TemplerFx unaweza kufungua sasa kwa kuingia kwenye website yao hii Templer FX Trader uliza chochote nitakujibu hapa Au njoo PM nitakusaidia . Maisha ni murua na TemplerFx[emoji3]
we ndo chongo kabisa ila neno lako la mwisho ndo liko poa tu kwa wengine ila forex ni biashara halali kabisa ila mpaka uwe mwelewa vizurimtajiunga sana vijana na mtaliwa sana na mtapoteza hela nyingi.
sijui kwanini watamzania ni wajinga kiasi hiki ndomana muda mwingine Mh Raisi aongoze nchi hata milele tu maana sio kwa kuendekeza huu ujinga.
Biashara za ku unga unga watu ni za kuibia watu maana ww mjinga unatoa hela kufaidisha wachache ambao wako juu ya chain. ila bado mijitu inang'ang'ania tu.
mtu hata kuwasha na kuzima computer huwezi halafu unajidanganya utaelewa biashara za Fedha.
ni ndoto hizo.
the companies to trade for you and all the bullshit. hamna mtu ana trade badala yako ni wewe mwenye jomba vipi hii kichwa yako ina mavi auni same thing as ponzi schemes just a different version.
because lazima mtu ajiunge somewhere or na organization flani afungue akaunti na kampuni flani deposit some amount.
or the companies to trade for you and all the bullshit.
kama ni swala la kupata pesa and its not a ponzi sheme kwanini wewe usiwekeze hela zako upate faida then uwekeze tena ndani ya muda basi na wewe uwe kama Bakhresa.
tuone mafanikio yako uliopata kwa hela yako mwenyewe na sio mpk utafute watu wa kuwaunga.
Asante mkuu nimeionaNimeshakupm mkuu, check box
Mwalimu binafsi anaitwa Mentor. Head to telegram. And find one:Msaada nikitaka Darasa binafsi naweza pata mwalimu wa hii kitu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]the companies to trade for you and all the bullshit. hamna mtu ana trade badala yako ni wewe mwenye jomba vipi hii kichwa yako ina mavi au
huyo jamaa wa ghana anaitwa nani. nataka nisome story yake kidogoFor the true fact of Market unpredictability and volatility then scalper wako kwenye hatari kubwa ya kuburn account kuliko swinger.
Kuna yule jamaa wa Ghana alikuwa professional scalper akaaminiwa hadi na mabenki na kupewa Kazi ya kutrade kwa niaba yao kwa techniques zake matata za kuscalp mbona alichoma mapema tu mabilion ya pesa za Benki ya uswisi wakamfunga na kumfunga jela. This implies to us also market is unpredictable na hivyo ukiwa scalper huko mmagumu. Imagine professional anachoma mabilioni je wewe mwenye miezi mitano?
But swinger anaweza kuplace trade na kuja kuangalia hata mwaka ujao akajikita in profit. Na hii ndio siri ya Forex..chukua kidogo kidogo in a long run uwe consistency profitable but sio kwa mkupuo..no huwezi utakuwa market donor tu.
15M hapana nimejaribu nime unguza account nimebakiwa na dollar 3 mpka saizi hapa sasa sijui nitaikuzaa au ndo kwa heri hiyoooOooopsiii! Hatimea umeelewa sasa mzawa.
Eti mtu anatrade 15M chart na proudly anajiita scalper..wewe hata market maker hana hiyo jeuri.
Kweku Adoboli - Wikipediahuyo jamaa wa ghana anaitwa nani. nataka nisome story yake kidogo
Basi kwa zile stori nlijuaga kweli jamaa alikuwa scalper, sasa nlipoona sentens "he failed to hedge his trades against risk" nkajua huyu hakuwa scalper, SCALPERS DON'T HEDGE AT ALL. Plus, hakuna mahali wamesema alikuwa anatumia scalping method of trading...Kweku Adoboli - Wikipedia
Wa bank ya UBS ya Switzerland
Huyu jamaa alikuwa anafanya unauthorized trading ambapo kila trader wa bank hiyo hakutakiwa kuzidisha $100mil lakini huyo alikuwa anazidisha na kusababisha hasara ya mabilionBasi kwa zile stori nlijuaga kweli jamaa alikuwa scalper, sasa nlipoona sentens "he failed to hedge his trades against risk" nkajua huyu hakuwa scalper, SCALPERS DON'T HEDGE AT ALL. Plus, hakuna mahali wamesema alikuwa anatumia scalping method of trading...
[HASHTAG]#TradeTheWayYouWant[/HASHTAG].
Kuna account ambayo inaruhusu minimum deposit $10? ila isiwe cent accountJinsi ya Kudeposit Hela yako kwa Broker Templer FX Trader Kwa njia ya M-pesa
Maelezo kwa njia ya picha
1.Baada ya kufungua akaunti yako, Ingia dashboard bonyeza palipozungushiwa alama ya blue
![]()
2.Bonyeza Finance>>Deposits
![]()
3.Chagua akaunti unayotaka kuweka Pesa yako, kama ni cent basi utachagua cent , na kama ni universal akaunti utachagua universal acc. Angalia picha hapo chini
![]()
![]()
4.Chagua mfumo Wa kulipia , (payment system) Chagua Ipay Africa
![]()
![]()
5.Chagua njia ya kulipia (Method of payment) Chagua M-pesa Tanzania
![]()
![]()
6.Ingiza kiasi cha hela katika Dollar (minimum Deposit ni $1)
![]()
Hapo utaweka kiasi chako , kwa mfano hapo pichani chini kwenye amount tumeweka $20, system itakusaidia kukujulisha $20 ni sawa na amount ya shilling ngapi za kitanzania, ukiangalia hapo kwenye Deposit unaona wamekuandikia 45,060TZS , hicho ndo kiasi ambacho inabidi udeposit ili kwenye MT4 yako ikaonekane $20.
![]()
7.Bonyeza Deposit
![]()
Baada ya kubonyeza Deposits , utaletewa maelezo jinsi ya kulipia kwa njia ya M-pesa kama yanavyoonekana pichani hapo chini, Kumbuka kufwata maelezo utayoletewa.
![]()
Hapo kuna Namba ya kampuni (Business number) ambayo ni 261144 , pia kuna Namba ya kumbukumbu (Reference number), Hakikisha unaziandika sehemu maalumu . Baada ya hapo utabonyeza Complete.
Then utaenda kwenye Menyu Ya M-pesa
>Chagua 4 LIPA KWA MPESA.
>Ingiza namba ya kampuni ambayo ni 261144
>Ingiza namba ya kumbukumbu uliyopewa .
>Ingiza kiasi cha Pesa (ile uliyoandikiwa kwenye Deposit)
>Ingiza namba ya siri.
>Thibitisha.
Utapokea ujumbe kutoka elipa kuthibitisha malipo yako yameshapokelewa. Then subiri Baada ya Nusu SAA Washa MT4 uone kama mkwanja umesoma[emoji3][emoji3].
Kwa wale ambao bado hawajafungua akaunti TemplerFx unaweza kufungua sasa kwa kuingia kwenye website yao hii Templer FX Trader uliza chochote nitakujibu hapa Au njoo PM nitakusaidia . Maisha ni murua na TemplerFx[emoji3]
Yes. Ipo ya Templer FX Trader , inaitwa Live UniversalFX.Kuna account ambayo inaruhusu minimum deposit $10? ila isiwe cent account
asante mkuuYes. Ipo ya Templer FX Trader , inaitwa Live UniversalFX.
Japo wao hupenda uanze na walau $25. Ila unaweza anza hadi na $5 tu.