Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nimeisoma news yooote, kama kuna video YouTube nielekeze, also naona mtaji ni mkubwa kwa mie DIT student ,labda nambie minimum capital,au kama its possible include me in free membership please!

Sandile namsomaaaa! The muffins producer in SA
rimras444@gmail.com
Nenda you tube search Forex Videos, na pia kuna groups telegram za traders, unaweza zisearch.

Kwa capital Templer FX hahitaji capital kubwa, unaweza anza hata na $10 kwa standard account, au $1 kwa cent account.Na waweza fund kwa MPesa.

Wengine kama Pepperstone wanahitaji walau $25. Na huwezi kufund kwa Mpesa.
 
Jinsi ya Kudeposit Hela yako kwa Broker Templer FX Trader Kwa njia ya M-pesa

Maelezo kwa njia ya picha

1.Baada ya kufungua akaunti yako, Ingia dashboard bonyeza palipozungushiwa alama ya blue

1689f237205c604ca695b0c1d778155b.jpg

2.Bonyeza Finance>>Deposits
dbb62af7dac00bf1b52fc38a68a3b6c5.jpg

3.Chagua akaunti unayotaka kuweka Pesa yako, kama ni cent basi utachagua cent , na kama ni universal akaunti utachagua universal acc. Angalia picha hapo chini
a9c1b0be0b7dff51091bb107ec55f13b.jpg

9f3f682a65464e94e3958af3d69e2198.jpg

4.Chagua mfumo Wa kulipia , (payment system) Chagua Ipay Africa
f45177e9e63028259732adb338d58e4f.jpg

de6f89f8b040668f449f82e0da9f9a36.jpg

5.Chagua njia ya kulipia (Method of payment) Chagua M-pesa Tanzania
c480ff8d1dbb6942dde8edf3eccae2e3.jpg

2377b0b9ecfa088def76ed6b35335a98.jpg

6.Ingiza kiasi cha hela katika Dollar (minimum Deposit ni $1)
63c5392cc6c24853ef9b55b402fc261f.jpg

Hapo utaweka kiasi chako , kwa mfano hapo pichani chini kwenye amount tumeweka $20, system itakusaidia kukujulisha $20 ni sawa na amount ya shilling ngapi za kitanzania, ukiangalia hapo kwenye Deposit unaona wamekuandikia 45,060TZS , hicho ndo kiasi ambacho inabidi udeposit ili kwenye MT4 yako ikaonekane $20.
20ff05672762da33c0cab1dfe72506e0.jpg

7.Bonyeza Deposit
6630a95a75d389e264b9fac066fdee95.jpg

Baada ya kubonyeza Deposits , utaletewa maelezo jinsi ya kulipia kwa njia ya M-pesa kama yanavyoonekana pichani hapo chini, Kumbuka kufwata maelezo utayoletewa.
fc088dc74e0ff4b995183f0163fba06f.jpg

Hapo kuna Namba ya kampuni (Business number) ambayo ni 261144 , pia kuna Namba ya kumbukumbu (Reference number), Hakikisha unaziandika sehemu maalumu . Baada ya hapo utabonyeza Complete.

Then utaenda kwenye Menyu Ya M-pesa
>Chagua 4 LIPA KWA MPESA.
>Ingiza namba ya kampuni ambayo ni 261144
>Ingiza namba ya kumbukumbu uliyopewa .
>Ingiza kiasi cha Pesa (ile uliyoandikiwa kwenye Deposit)
>Ingiza namba ya siri.
>Thibitisha.

Utapokea ujumbe kutoka elipa kuthibitisha malipo yako yameshapokelewa. Then subiri Baada ya Nusu SAA Washa MT4 uone kama mkwanja umesoma[emoji3][emoji3].

Kwa wale ambao bado hawajafungua akaunti TemplerFx unaweza kufungua sasa kwa kuingia kwenye website yao hii Templer FX Trader uliza chochote nitakujibu hapa Au njoo PM nitakusaidia . Maisha ni murua na TemplerFx[emoji3]

Mkuu jaribu kukufwata pm lakini sipati mwelekeo, naomba unipm km itawezekana, nahitaji msaada wako
 
mtajiunga sana vijana na mtaliwa sana na mtapoteza hela nyingi.
sijui kwanini watamzania ni wajinga kiasi hiki ndomana muda mwingine Mh Raisi aongoze nchi hata milele tu maana sio kwa kuendekeza huu ujinga.
Biashara za ku unga unga watu ni za kuibia watu maana ww mjinga unatoa hela kufaidisha wachache ambao wako juu ya chain. ila bado mijitu inang'ang'ania tu.
mtu hata kuwasha na kuzima computer huwezi halafu unajidanganya utaelewa biashara za Fedha.
ni ndoto hizo.
we ndo chongo kabisa ila neno lako la mwisho ndo liko poa tu kwa wengine ila forex ni biashara halali kabisa ila mpaka uwe mwelewa vizuri
 
ni same thing as ponzi schemes just a different version.
because lazima mtu ajiunge somewhere or na organization flani afungue akaunti na kampuni flani deposit some amount.
or the companies to trade for you and all the bullshit.
kama ni swala la kupata pesa and its not a ponzi sheme kwanini wewe usiwekeze hela zako upate faida then uwekeze tena ndani ya muda basi na wewe uwe kama Bakhresa.
tuone mafanikio yako uliopata kwa hela yako mwenyewe na sio mpk utafute watu wa kuwaunga.
the companies to trade for you and all the bullshit. hamna mtu ana trade badala yako ni wewe mwenye jomba vipi hii kichwa yako ina mavi au
 
the companies to trade for you and all the bullshit. hamna mtu ana trade badala yako ni wewe mwenye jomba vipi hii kichwa yako ina mavi au
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
For the true fact of Market unpredictability and volatility then scalper wako kwenye hatari kubwa ya kuburn account kuliko swinger.

Kuna yule jamaa wa Ghana alikuwa professional scalper akaaminiwa hadi na mabenki na kupewa Kazi ya kutrade kwa niaba yao kwa techniques zake matata za kuscalp mbona alichoma mapema tu mabilion ya pesa za Benki ya uswisi wakamfunga na kumfunga jela. This implies to us also market is unpredictable na hivyo ukiwa scalper huko mmagumu. Imagine professional anachoma mabilioni je wewe mwenye miezi mitano?

But swinger anaweza kuplace trade na kuja kuangalia hata mwaka ujao akajikita in profit. Na hii ndio siri ya Forex..chukua kidogo kidogo in a long run uwe consistency profitable but sio kwa mkupuo..no huwezi utakuwa market donor tu.
huyo jamaa wa ghana anaitwa nani. nataka nisome story yake kidogo
 
Oooopsiii! Hatimea umeelewa sasa mzawa.

Eti mtu anatrade 15M chart na proudly anajiita scalper..wewe hata market maker hana hiyo jeuri.
15M hapana nimejaribu nime unguza account nimebakiwa na dollar 3 mpka saizi hapa sasa sijui nitaikuzaa au ndo kwa heri hiyooo
 
Kweku Adoboli - Wikipedia
Wa bank ya UBS ya Switzerland
Basi kwa zile stori nlijuaga kweli jamaa alikuwa scalper, sasa nlipoona sentens "he failed to hedge his trades against risk" nkajua huyu hakuwa scalper, SCALPERS DON'T HEDGE AT ALL. Plus, hakuna mahali wamesema alikuwa anatumia scalping method of trading...

[HASHTAG]#TradeTheWayYouWant[/HASHTAG].
 
Huyu jamaa alikuwa anafanya unauthorized trading ambapo kila trader wa bank hiyo hakutakiwa kuzidisha $100mil lakini huyo alikuwa anazidisha na kusababisha hasara ya mabilion
 
Jinsi ya Kudeposit Hela yako kwa Broker Templer FX Trader Kwa njia ya M-pesa

Maelezo kwa njia ya picha

1.Baada ya kufungua akaunti yako, Ingia dashboard bonyeza palipozungushiwa alama ya blue

1689f237205c604ca695b0c1d778155b.jpg

2.Bonyeza Finance>>Deposits
dbb62af7dac00bf1b52fc38a68a3b6c5.jpg

3.Chagua akaunti unayotaka kuweka Pesa yako, kama ni cent basi utachagua cent , na kama ni universal akaunti utachagua universal acc. Angalia picha hapo chini
a9c1b0be0b7dff51091bb107ec55f13b.jpg

9f3f682a65464e94e3958af3d69e2198.jpg

4.Chagua mfumo Wa kulipia , (payment system) Chagua Ipay Africa
f45177e9e63028259732adb338d58e4f.jpg

de6f89f8b040668f449f82e0da9f9a36.jpg

5.Chagua njia ya kulipia (Method of payment) Chagua M-pesa Tanzania
c480ff8d1dbb6942dde8edf3eccae2e3.jpg

2377b0b9ecfa088def76ed6b35335a98.jpg

6.Ingiza kiasi cha hela katika Dollar (minimum Deposit ni $1)
63c5392cc6c24853ef9b55b402fc261f.jpg

Hapo utaweka kiasi chako , kwa mfano hapo pichani chini kwenye amount tumeweka $20, system itakusaidia kukujulisha $20 ni sawa na amount ya shilling ngapi za kitanzania, ukiangalia hapo kwenye Deposit unaona wamekuandikia 45,060TZS , hicho ndo kiasi ambacho inabidi udeposit ili kwenye MT4 yako ikaonekane $20.
20ff05672762da33c0cab1dfe72506e0.jpg

7.Bonyeza Deposit
6630a95a75d389e264b9fac066fdee95.jpg

Baada ya kubonyeza Deposits , utaletewa maelezo jinsi ya kulipia kwa njia ya M-pesa kama yanavyoonekana pichani hapo chini, Kumbuka kufwata maelezo utayoletewa.
fc088dc74e0ff4b995183f0163fba06f.jpg

Hapo kuna Namba ya kampuni (Business number) ambayo ni 261144 , pia kuna Namba ya kumbukumbu (Reference number), Hakikisha unaziandika sehemu maalumu . Baada ya hapo utabonyeza Complete.

Then utaenda kwenye Menyu Ya M-pesa
>Chagua 4 LIPA KWA MPESA.
>Ingiza namba ya kampuni ambayo ni 261144
>Ingiza namba ya kumbukumbu uliyopewa .
>Ingiza kiasi cha Pesa (ile uliyoandikiwa kwenye Deposit)
>Ingiza namba ya siri.
>Thibitisha.

Utapokea ujumbe kutoka elipa kuthibitisha malipo yako yameshapokelewa. Then subiri Baada ya Nusu SAA Washa MT4 uone kama mkwanja umesoma[emoji3][emoji3].

Kwa wale ambao bado hawajafungua akaunti TemplerFx unaweza kufungua sasa kwa kuingia kwenye website yao hii Templer FX Trader uliza chochote nitakujibu hapa Au njoo PM nitakusaidia . Maisha ni murua na TemplerFx[emoji3]
Kuna account ambayo inaruhusu minimum deposit $10? ila isiwe cent account
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom