Jinsi ya Kudeposit Hela yako kwa Broker
Templer FX Trader Kwa njia ya M-pesa
Maelezo kwa njia ya picha
1.Baada ya kufungua akaunti yako, Ingia dashboard bonyeza palipozungushiwa alama ya blue
2.Bonyeza Finance>>Deposits
3.Chagua akaunti unayotaka kuweka Pesa yako, kama ni cent basi utachagua cent , na kama ni universal akaunti utachagua universal acc. Angalia picha hapo chini
4.Chagua mfumo Wa kulipia , (payment system) Chagua Ipay Africa
5.Chagua njia ya kulipia (Method of payment) Chagua M-pesa Tanzania
6.Ingiza kiasi cha hela katika Dollar (minimum Deposit ni $1)
Hapo utaweka kiasi chako , kwa mfano hapo pichani chini kwenye amount tumeweka $20, system itakusaidia kukujulisha $20 ni sawa na amount ya shilling ngapi za kitanzania, ukiangalia hapo kwenye Deposit unaona wamekuandikia 45,060TZS , hicho ndo kiasi ambacho inabidi udeposit ili kwenye MT4 yako ikaonekane $20.
7.Bonyeza Deposit
Baada ya kubonyeza Deposits , utaletewa maelezo jinsi ya kulipia kwa njia ya M-pesa kama yanavyoonekana pichani hapo chini, Kumbuka kufwata maelezo utayoletewa.
Hapo kuna Namba ya kampuni (Business number) ambayo ni 261144 , pia kuna Namba ya kumbukumbu (Reference number), Hakikisha unaziandika sehemu maalumu . Baada ya hapo utabonyeza Complete.
Then utaenda kwenye Menyu Ya M-pesa
>Chagua 4 LIPA KWA MPESA.
>Ingiza namba ya kampuni ambayo ni 261144
>Ingiza namba ya kumbukumbu uliyopewa .
>Ingiza kiasi cha Pesa (ile uliyoandikiwa kwenye Deposit)
>Ingiza namba ya siri.
>Thibitisha.
Utapokea ujumbe kutoka elipa kuthibitisha malipo yako yameshapokelewa. Then subiri Baada ya Nusu SAA Washa MT4 uone kama mkwanja umesoma[emoji3][emoji3].
Kwa wale ambao bado hawajafungua akaunti TemplerFx unaweza kufungua sasa kwa kuingia kwenye website yao hii
Templer FX Trader uliza chochote nitakujibu hapa Au njoo PM nitakusaidia . Maisha ni murua na TemplerFx[emoji3]