Tigo pesa haipo huyo jamaa kachanganya.......Tigo pesa ilikuwa na Tickmill sema walisitisha ila kuanzia kesho wanaweza kuanzaTigo pesa... hapo safi, sikua najua kama tigo pesa anakubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tigo pesa haipo huyo jamaa kachanganya.......Tigo pesa ilikuwa na Tickmill sema walisitisha ila kuanzia kesho wanaweza kuanzaTigo pesa... hapo safi, sikua najua kama tigo pesa anakubali
Mkuu mimi hii option siipati ,nifanyaje ili niipate??maana niko kwenye live trading/universalfx na ninafaidi bonus.Angalia hapo kama kuna Tigo pesaView attachment 718189
Ongeza acc nyingine ya Universalfx baada ya hapo utaona hizo optionsMkuu mimi hii option siipati ,nifanyaje ili niipate??maana niko kwenye live trading/universalfx na ninafaidi bonus.
Naingia hadi kwenye finance ≥deposit na kuna hakuna mifumo ya ulipaji pako empty kabsaa..
Hawana tigo pesa tanzania, au airtel moneyTigo pesa... hapo safi, sikua najua kama tigo pesa anakubali
mbona mimi nimejisajili kwa airtel money na imekubaliHawana tigo pesa tanzania, au airtel money
Unajisajili inakubali, ishu itakuja wakati wa kuwithdraw pesambona mimi nimejisajili kwa airtel money na imekubali
Familia ipi hiyo mkuuYaani ulichokielezea ndo ukwer mtupu,big up sana kwa kutumegea,nimekuwa nikisikia wasiifu wa hii familia maalufu duniani
Mkuu unaniambiaje sasa, nibadili namba niweke ya voda au ?Unajisajili inakubali, ishu itakuja wakati wa kuwithdraw pesa
Hellow wakuu!!
Kwa wale wageni kwenye Forex (newbies/beginners) naamini mnaendelea kusoma vitabu vya Forex na kufanya majaribio kwenye demo ,
Nawashauri msitumie demo Bali fungueni live cent account kwa broker anayeitwa Templer FX Trader , cent akaunt ni live Akaunti ambayo ukideposit $1(Tsh 2,250/=) kwenye Mt4 itasoma $100 ,, inamaana kila $1 unayodeposit inazidishwa Mara 100, ni akaunti nzuri kwa kujifunzia kuliko kutumia demo kwa sababu demo ni hela ya kufikirika hata ukiikuza huwezi kutoa na hata ukiunguza hudaiwi na MTU. Demo inapunguza ule userious Wa MTU kujifunza Forex, ila ukitumia cent akaunti ni nzuri zaidi kwa kujifunzia kwa sababu ni pesa halisi ambayo unaweza kuitoa km kawaida , unanua vocha na mahitaji mengine kama Sabuni, pia inaongeza userious Wa kujifunza na kugundua wapi umekosea,, Cent akaunti itakuongezea umakini na kukupa ujasiri zaidi katika kujifunza..
Uzuri mwingine hiyo $1 utadeposit kwa njia ya mpesa huyu broker anakubali mihamala kwa njia ya Mpesa huhitaji kwenda hadi Bank, ,, ukishaiva vizur utafungua Universal live akaunti. Hii ndyo akaunti rasmi ya kutrade na kupata hela ya kuendesha maisha. Cent akaunti ni kwa ajili ya kujifunzia pamoja na kupata hela ya vocha[emoji16]
Fungua Cent akaunti Leo achana na Demo ingia kwenye website yao hii Templer FX Trader
Verification ni masaa24 tu unakuwa ushapata akaunti. Unachotakiwa kuwa nacho ni ID mojawapo kati ya kupigia kura,lessen passport, au cha uraia
Nijuze ukikwama au km kuna sehemu hujaelewa jisikie huru kuuliza.
interestingHellow wakuu!!

hata wewe unaweza kuandika kitabu ni mtazamo wa jamaa forex inahitaji mda mwingi na uwe huru sasa huyo jama alie andika sijui ni nani
Kwani umeelewa nini kwa nilichokiandika,hata wewe unaweza kuandika kitabu ni mtazamo wa jamaa forex inahitaji mda mwingi na uwe huru sasa huyo jama alie andika sijui ni nani
Ndio. Inawezekana... And it's better.Mkuu unaniambiaje sasa, nibadili namba niweke ya voda au ?
easy way to make money sahau kuhusu ONTARIO
View attachment 721369 View attachment 721370 View attachment 721371