Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hellow wakuu!
Kwa wale wanaoumizwa na makato ya benk pale unapoweka hela na kutoa kutoka kwa broker , nawashauri wamtumie huyu broker Templer FX Trader , yeye anakubali transactions kwa njia ya M-PESA means unadeposit na kuwithdraw kwa M-pesa bila kupitia Bank, hafu no makato ... Ukiwa na $50 kwa broker unahitaji kuzitoa utapokea kwa kila dola 1 thamani ya Tsh 2,230/= so piga hesabu $50 zidisha kwa 2230 utapokea Tsh 111,500/= .. Tofauti na ukipitia bank , ,, mfano bank ya FNB Ukihitaji uweke kwa broker isome $100 inabidi udeposit maxmum $125 , hapo kwa mt4 yako itaonekana $100,,, hyo inayobaki ni makato pamoja na exchange rate yao kwa siku hyo,,

Bank ya equity wanakata km Tsh 18,000/= ($8.1) kwa transaction yoyote utakayoifanya kwenda na kutoka kwa broker,,

Haya makato unaweza kuyakwepa kwa kumtumia huyu broker Templer FX Trader ambapo transactions zote utazifanya kwa njia ya M-pesa bila makato yoyote na kwa muda mfupi.
Pia minimum deposit ni $1 pia minimum withdraw ni $1 kwa M-pesa.
Hasumbui kuverify documents zako inachukua around 24hours utakuwa verified . unachohitaji kuwa nacho ni kitambulisho kimojawapo kati ya hivi (cha kura,uraia,passport, au lessen)
Unaweza kumcheck kupitia website yake hii Templer FX Trader then unaingia open account , .. Huyu ni broker mzur kwa wale wanasumbuka na mitaji , pia hata km huna akaunt bank you can trade forex bila matatizo........
 
Mkuu mimi hii option siipati ,nifanyaje ili niipate??maana niko kwenye live trading/universalfx na ninafaidi bonus.
Naingia hadi kwenye finance ≥deposit na kuna hakuna mifumo ya ulipaji pako empty kabsaa..
Ongeza acc nyingine ya Universalfx baada ya hapo utaona hizo options
 
Yaani ulichokielezea ndo ukwer mtupu,big up sana kwa kutumegea,nimekuwa nikisikia wasiifu wa hii familia maalufu duniani
 

SIMPLE NA PIP 345+ SO SIMPLE inbox me
 
interesting
 
Rockcity forex community
Karibuni wadau katika chanell yetu ya ROfCK CITY FOREX.

Hapa tutakiwa tunajifunza vitu mbali mbali kuhusiana na forex, kama terminologies, psychology, profitable trading behaviours, technical na fundamenta analysis outlook and different stratergies that will allow us to get to know the trends and enable us to see opportunities in the market.
Rockcity forex community
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…