MR LINKO
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,034
- 3,526
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Punguza njaa wewe
Mkuu kwenye suala la strategy ndo bado nachanganya ..mfano last kiss, big shadow, trendlines, chart pattern, reverses, candlestick patterns, kangaroo tails, ..hizi ndo strategies/ systems za ku trade or?ANZA NA MTAJI WA BURE WA $30 [NO DEPOSIT BONUS] YA TEMPLER.
[TERMS AND CONDITIONS LINKED]
Huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine, kama mimi, tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....
Ikumbukwe kwamba, Templer pia atakupa uwezo wa kufund na kuwithdraw pesa zako kupitia Mpesa, kama utachagua kuendelea kumtumia, hata baada ya kupoteza hyo $30.
(Don't Worry, Hautodaiwa kama ukiiunguza)
ANGALIZO:
Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.
HATUA ZA KUFUATA:
1. Fungua akaunti mpya hapa:
Templer FX | Start with $30 No deposit Bonus
2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.
Menu > MyTemplerFX> Verifications
3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok
4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:
NDB30JN42017
Then submit.
5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.
6. Kama huna MT4 for Android ,download hapa:
MetaTrader 4 – Applications for Android - Google Play
Start Trading!!
TRADE SAFELY!
Ukihitaji msaada wowote kuhusu kuipata hii bonus, nicheck inbox
Terms And Conditions hapa:
TemplerFX No Deposit Bonus Agreements
[emoji1]linko ni tapeli mkubwa
Akija tena kurudia ujinga wake nitamwaga meseji zake zote hapa za utapeli alizokuwa akichati na mimi😀😀😀 eti LINKO ni mweupe kichwan kama unga wasembe in short ni kilaza mkimbien huyu tapeli
niulize mkuu nikujibu[emoji1]
Huyo jamaa ni tapeli mkubwa saaaana inbox aliniambia nimtumie visenti ili aniuzie hizo indicators, Nikamwambia anioneshe sample ya hizo indicators, '......"lahaula lakwata" hizo indicators ziko 100% similar na parabolic, nikamuuliza why hii ni parabolic hakunijibu kitu... aiseeeh huyu mtu muogopeni kama ukoma.
Kwa bahati mbaya haijui forex kabisa kuna maswali nilikuwa namuuliza kumpima uelewa wake kichwani kuhusu forex yani ni mweupe kama unga wa sembe
we tapeli bado uponiulize mkuu nikujibu
LETe KAMA WW NI WAKIUMEAkija tena kurudia ujinga wake nitamwaga meseji zake zote hapa za utapeli alizokuwa akichati na mimi
ontario member[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ndio kitu gani hicho??ontario member
mkuu cha bure hakina mashiko ni sawa ukupa account ya demo ucheze nayo uki make hasara uki make faida is like nothing dry crops in the farm, mpe mtu challengy ya kufikiri ndo maaa kukawa na quiz mean chemsha bongo , chukua hata pesa yake weka pembeni akija msaidie nayo hiyo hiyo. ila usimwambie bure atajiachia sanaaandio kitu gani hicho??
Kwamba ninafanya kazi na Ontario? au ulimaanisha mwanafunz?
Sijawah soma kwa mtu yeyote kuhusu forex wala sina mpango huo, pia msuli wangu private sasa napigana na soko sihangaik na pesa za kina Mwajuma kama wewe, Mwajuma akija kwangu anapata knowledge bure nae akapambane na soko
like wise son, sio kama ontario anakaa kimya mi ni livepeleka ujinga wako huko, alafu usini quote kwenye huu upuuz wako
sasa ontario na yeye je? anakusanya pesa za nani? na anaa chaji pesa ngapi. na train ni kwa mda gani? na mentor is how much flluff. hiyo nguvu ungeweka kwake na ku support watu walio choma account ungekuwa wa maana! NA SIJUI RESON YAWEW KUNI PONDA MIMI KUWALETEA WATU KITU SAFI NA KUWA FUNGUA MACHOndio kitu gani hicho??
Kwamba ninafanya kazi na Ontario? au ulimaanisha mwanafunz?
Sijawah soma kwa mtu yeyote kuhusu forex wala sina mpango huo, pia msuli wangu private sasa napigana na soko sihangaik na pesa za kina Mwajuma kama wewe, Mwajuma akija kwangu anapata knowledge bure nae akapambane na soko
wewe umetengeneza sh ngapi leo
mkuu fungua mi nita onyesha trascntcnt live how much i make per day na wewe uonyeshe ndo ita concernerHilo jamas tapeli sana ngoja this week nilifungulie uzi wake, kenge hilo limejaa njaa kila sehemu