Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Punguza njaa wewe

mkuu sina njaa hata kidogo. niko radhiii kila mtu a trade na mimi free atengeneze profit kama miimi coz nime safa sana since hadi leo thank god, sipendi nisikie mtu kachoma account kizembe huwa ina niuma sana. walio kutana na mimi wanajua na watu wa karibu wanafahamu acount inasoma ngapi. R.I.P Daud1990
 
Mkuu kwenye suala la strategy ndo bado nachanganya ..mfano last kiss, big shadow, trendlines, chart pattern, reverses, candlestick patterns, kangaroo tails, ..hizi ndo strategies/ systems za ku trade or?
 
linko ni tapeli mkubwa
[emoji1]

Huyo jamaa ni tapeli mkubwa saaaana inbox aliniambia nimtumie visenti ili aniuzie hizo indicators, Nikamwambia anioneshe sample ya hizo indicators, '......"lahaula lakwata" hizo indicators ziko 100% similar na parabolic, nikamuuliza why hii ni parabolic hakunijibu kitu... aiseeeh huyu mtu muogopeni kama ukoma.



Kwa bahati mbaya haijui forex kabisa kuna maswali nilikuwa namuuliza kumpima uelewa wake kichwani kuhusu forex yani ni mweupe kama unga wa sembe
 
😀😀😀 eti LINKO ni mweupe kichwan kama unga wasembe in short ni kilaza mkimbien huyu tapeli
 
😀😀😀 eti LINKO ni mweupe kichwan kama unga wasembe in short ni kilaza mkimbien huyu tapeli
Akija tena kurudia ujinga wake nitamwaga meseji zake zote hapa za utapeli alizokuwa akichati na mimi
 
niulize mkuu nikujibu
 
jua kufanya technical analysis+fundamental analysis hizo ndio principles za kuwa successful trader dunian kokote pale.....

WE JAMAA UNAJICHANGANYA SANA SANA NA HUJUI NYUMA YA PAZIA KUHUSU FOREX NA SIO KIDOGO AMINI NAKUAMBIA ZUNGUKA KOTE CHORA MPAKA UFEE ILA HUTAKAA UPATE MAFANIKIO KAMA YANGU DAIMA, technical analysis+fundamental analysis NIKO RADHI NIKUONYESHE ACCCOUNT YANGU INA USD NGAPI ILI UFUNGE MDOMO MAANA INDICATOR ZANGU SIO ZA BURE NA 30% KAMA ZENU ZANGU NI 100% NA KAMA UKISHINDWA KUTENGENEZA MILLION PER WEEK WE NI FALA. MI HAD SOUTH NIKO NA CLASS. GIVE ME TIME NGOJA NIMALIZE WEBSITE NAJUA UTAJIUNGA BODA BODA WEWE. kama hauna cash sikupi chochote

LIKE OR HATE SON AM STILL MAKE IT

technical analysis my best tool ndo maana na share idea
 
ontario member
ndio kitu gani hicho??

Kwamba ninafanya kazi na Ontario? au ulimaanisha mwanafunz?

Sijawah soma kwa mtu yeyote kuhusu forex wala sina mpango huo, pia msuli wangu private sasa napigana na soko sihangaik na pesa za kina Mwajuma kama wewe, Mwajuma akija kwangu anapata knowledge bure nae akapambane na soko
 
mkuu cha bure hakina mashiko ni sawa ukupa account ya demo ucheze nayo uki make hasara uki make faida is like nothing dry crops in the farm, mpe mtu challengy ya kufikiri ndo maaa kukawa na quiz mean chemsha bongo , chukua hata pesa yake weka pembeni akija msaidie nayo hiyo hiyo. ila usimwambie bure atajiachia sanaaa
 
sasa ontario na yeye je? anakusanya pesa za nani? na anaa chaji pesa ngapi. na train ni kwa mda gani? na mentor is how much flluff. hiyo nguvu ungeweka kwake na ku support watu walio choma account ungekuwa wa maana! NA SIJUI RESON YAWEW KUNI PONDA MIMI KUWALETEA WATU KITU SAFI NA KUWA FUNGUA MACHO
 
Hilo jamas tapeli sana ngoja this week nilifungulie uzi wake, kenge hilo limejaa njaa kila sehemu
mkuu fungua mi nita onyesha trascntcnt live how much i make per day na wewe uonyeshe ndo ita concerner
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…