MC RAS PAROKO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 623
- 606
Wakuu, habari!!
Naomba niende direct kwenye mada. Nipo kwenye kujifunza hii biashara ya Forex. Nimekuwa nikitumia demo acount kwa brocker templerfx. Now nahitaji nifungue cent account. Hapo ndipo ninapochemka. Mbona nikienda kwenye kujisajili inakuja option nichague Demo cent account au Demo account . Nimejisajili kwa Demo cent account. Nilipokwenda kuingia kwenye MT4 naona account inaonyesha kwamba ni DEMO. Nimerudi kwenye site ya templer nimetafuta mno mahala pa kufungulia account ya halisi ya cent account hadi nimechoka sijapaona. Msaada jamani, hii cent account ya templer ambayo ni real unafungua vipi.
Mkuu huwezi kufungua account ya live kama hujaverify Unafaa kuwa ushatuma kitambulisho yako kwao then wataverify account yako ndo utapata kuona option ya kuopen LIVE account. kama picha inavyoonesha.