Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Wakuu, habari!!

Naomba niende direct kwenye mada. Nipo kwenye kujifunza hii biashara ya Forex. Nimekuwa nikitumia demo acount kwa brocker templerfx. Now nahitaji nifungue cent account. Hapo ndipo ninapochemka. Mbona nikienda kwenye kujisajili inakuja option nichague Demo cent account au Demo account . Nimejisajili kwa Demo cent account. Nilipokwenda kuingia kwenye MT4 naona account inaonyesha kwamba ni DEMO. Nimerudi kwenye site ya templer nimetafuta mno mahala pa kufungulia account ya halisi ya cent account hadi nimechoka sijapaona. Msaada jamani, hii cent account ya templer ambayo ni real unafungua vipi.

Mkuu huwezi kufungua account ya live kama hujaverify Unafaa kuwa ushatuma kitambulisho yako kwao then wataverify account yako ndo utapata kuona option ya kuopen LIVE account. kama picha inavyoonesha.

Capture.JPG
 
kwa nini watu mnaofanya forex mkiambiwa kuwa hii ni gambling huwa mnakuja juu lakini mnashindwa kufafanua utofauti wa forex na kamali mnaishia kutukana tu?
Ulishaambiwa mara nyingi sana humu ndani ya jukwaa kwamba kama wewe unaona forex ni gambling na imani yako haikuruhusu kufanya gambling achana nayo. Usitake watu wengine wafanye kama wewe unavyopenda! Na kamwe hutufanikiwa katika juhudi zako hizo! Halafu inaoneka wewe ndio dizaini zile za watu wanaokariri mambo maishani na hawataki kubadilika!
 
MKUU pole sana usipoteze muda wako kujiba hawa watu coz wanataka kuelewa lkn kulinga na vichwa vyao ni vidogo wanaishia kubwabwaja tu. kununua nafaka wakati wa mavuno na kuuza wakati wa kiangazi nayo ni GAMBLING.
 
Kwa wale wanaohitaji bonus ya bure kabisa ya dollar 30 kuanza kutrade nayo n kuitoa faida unayoipata nicheck
 
kwa nini watu mnaofanya forex mkiambiwa kuwa hii ni gambling huwa mnakuja juu lakini mnashindwa kufafanua utofauti wa forex na kamali mnaishia kutukana tu?
Nani kaja juu? Hayo ni maelezo ya kawaida ila yako juu ya uelewa wako ndio maana unaona nimekuja juu
 
LEO hili bandiko limetimiza mwaka mmoja.

Siku kama ya leo, moto wa kujifunza FX uliwashwa rasmi kwa vijana walio wengi.
  • Kuna ambao wamenufaika na kusonga mbele.
  • Na kuna ambao wameshindwa kabisa na kukata tamaa kuhusiana na FX
Je wewe uko upande gani??
Hahah ***** mkuu umetisha
 
Wakuu, habari!!

Naomba niende direct kwenye mada. Nipo kwenye kujifunza hii biashara ya Forex. Nimekuwa nikitumia demo acount kwa brocker templerfx. Now nahitaji nifungue cent account. Hapo ndipo ninapochemka. Mbona nikienda kwenye kujisajili inakuja option nichague Demo cent account au Demo account . Nimejisajili kwa Demo cent account. Nilipokwenda kuingia kwenye MT4 naona account inaonyesha kwamba ni DEMO. Nimerudi kwenye site ya templer nimetafuta mno mahala pa kufungulia account ya halisi ya cent account hadi nimechoka sijapaona. Msaada jamani, hii cent account ya templer ambayo ni real unafungua vipi.
Login kwenye members area
 
Kweli maisha yako kasi sana...Mwaka jana mida kama hii Ontario na The bold walikuwa wanaheshimika mno yaani ukitofautiana nao kidogo members wanakushukia kama kibaka...leo hii hakuna anaewaheshimu wanatukanwa hakuna wa kuwatetea...hahahaha heshima yote kwisha kabisa JF wanaiona kama kituo cha polisi teh teh
 
Mkuu million ni pesa vipi bado unafanya hii mambo au ushaacha?
 
Kweli maisha yako kasi sana...Mwaka jana mida kama hii Ontario na The bold walikuwa wanaheshimika mno yaani ukitofautiana nao kidogo members wanakushukia kama kibaka...leo hii hakuna anaewaheshimu wanatukanwa hakuna wa kuwatetea...hahahaha heshima yote kwisha kabisa JF wanaiona kama kituo cha polisi teh teh
Jamaa alianza kuchota watu akili mbali sana. Alianzia hapa: Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8
 
Akamatwe afungwe jiwe shingoni atupwe baharini pamoja na Bavaria..
Tapeli mwenzao the bold nae alikuwa anawalipisha watu pesa kusoma vihadithi vyake vya kukopy na kupaste mitandaoni.....hahaha toka watu wamewashtukia wamekimbia mazima haha
 
Huyu laki si pesa amekopa benki akaenda forex ikamezwa yote, now he is disgruntled and making a fuss like its gonna come back, just nenda kakope tena maybe upepo utaangukia kwako keep betting, i mean keep gambling
 
Ninaomba kujua kwanini uite forex kamari... Najua kamari, na sichezi kamari, kama kweli ukifanikiwa kuniconvice kwamba forex ni kamari, haki ntaiacha
Forex sio kamari, nimeisoma chuo mwaka wa tatu Kama sehemu ya Aina za biashara,Tena biashara Kubwa zaidi ya masuala ya fedha. It's a legal business Kama zilivyozingine. Ukosefu wa elimu sahihi na mabadiliko ya fedha ndio yanawafanya baadhi ya watu kuhusi ni kamari but it's not. Jifunze tu ukiiva utabadilisha msemo na kutambua Kama biashara rasmi
 
Wadau naomba link ya lile group kubwa la telegram na lile la vitabu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom