Dah ndo kwanza nna 6$ profit then niigawe kwa 100 safari ndefu sana.Kama bado hujafanikiwa.
Njoo inbox.
Uniambie ni dola ngapi unataka kutoa
Sijakuelewa hapa, Au ulitaka ku_quote mtu mwingine??Dah ndo kwanza nna 6$ profit then niigawe kwa 100 safari ndefu sana.
Nine quote makusudi kabisa, yaan ulivyomuuliza huyo jamaa anatoka kutoa dollar ngapi ndo nika compare na situation yangu.Sijakuelewa hapa, Au ulitaka ku_quote mtu mwingine??
Maximum withdrawal ya cent account ni ngapi, je naweza kutumia mpesa bila bank accountMkuu ni ushauri tu achana na kutrade demo fungua cent ankaunt kwa huyu broker Templer FX Trader halafu Fanya deposit ya $1 sawa na shillingi 2250, hafu kwenye mt4 itatokea $100 anza kutrade ,, Cent akaunt ni live akaunt ya kujifunzia ambapo kiasi unachodeposit huzidishwa Mara 100 .. Mfano ukaweka $5 , hii itazidishwa Mara 100 kwenye mt4 itatokea $500..
Ukipata faida utaweza kuwithdraw pesa yako kama kawaida ,, katika kuwithdraw ipo hivi kiasi kilichopo kwenye mt4 yako kitagawanywa kwa 100 jibu utakalopata ndo hela utakayopokea mkononi.. Mfano kwenye mt4 inasoma $1000 ukigawa kwa 100 unapata $10 .. So $10 ndo pesa halisi utakayoipokea ...
Uzuri wake process zote za kudeposit na withdraw zinafanywa kwa njia rahisi ya Mpesa.. Sio lazima uingie bank..
Baada ya kuona umeiva utaamia katka akaunti nyingine iitwayo Universal.. Huku ndo utatia mpunga wako Wa maana..
Kujifunzia demo umakin unapungua kwa sababu hupotez wala hupat chochote
Jina halina issue sehemu itakayohitaji jina utaandika tu majina yako. cha muhimu ni hizo namba za kadi na zile TATU za mwisho kule nyumamimi nataka nitumie kadi ya Bank (VISA) ya crdb ila haina jina langu,namaanisha kadi haina jina la cardholder alafu nimeona hicho kigezo je, nifanyeje??
Yes, Uberito aje aeleze kulikoni kwenye hiyo linkMbona inagoma kaka
we jamaa fala sanaKwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.
Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.
Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.
Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.
BAADA YA KUJISAJILI
Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.
JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.
TemplerFX | Promo
Dahhh, Sawa mkuu, nashukuruwe jamaa fala sana
SafiDahhh, Sawa mkuu, nashukuru
Pamoja mkuuSafi
Hana adabu huyoYes, Uberito aje aeleze kulikoni kwenye hiyo link
Hahaha forex is simple but is not easyCandlestick ni kitu rahisi sana kuelewa in a matter of a week unajua kila kitu.. In short hii ni siku ya nne nasoma candlestick naona mwanga taratibu nikimaliza hii naingia course nyingine nahisi itakua rahisi pia kama nilimaster company na hire purchase in a matter of one month najiahidi after four months naanza kuingia sokoni kudownload pesa.
Mkuu hapo kwenye entry na exit pamoja na timing daah ...pananipa wakati mgumu sana aise.Tatizo likokwenye real application ya hicho unachokisoma
Tatizo liko kwenye entry na exit
Tatizo liko kwenye market timming.
Tatizo liko kwa martket maker
Sio rahisi kihivyo unavyo zungumzia.
Dha hii point sanamatitizo ndo fursa ya kupunguza watu ili wachache wapige pesa
Jiunge na telegramChannel yangu uweze kuona jinsi Timming ya Entry na Exit inavyofanyika.Mkuu hapo kwenye entry na exit pamoja na timing daah ...pananipa wakati mgumu sana aise