Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu ni ushauri tu achana na kutrade demo fungua cent ankaunt kwa huyu broker Templer FX Trader halafu Fanya deposit ya $1 sawa na shillingi 2250, hafu kwenye mt4 itatokea $100 anza kutrade ,, Cent akaunt ni live akaunt ya kujifunzia ambapo kiasi unachodeposit huzidishwa Mara 100 .. Mfano ukaweka $5 , hii itazidishwa Mara 100 kwenye mt4 itatokea $500..

Ukipata faida utaweza kuwithdraw pesa yako kama kawaida ,, katika kuwithdraw ipo hivi kiasi kilichopo kwenye mt4 yako kitagawanywa kwa 100 jibu utakalopata ndo hela utakayopokea mkononi.. Mfano kwenye mt4 inasoma $1000 ukigawa kwa 100 unapata $10 .. So $10 ndo pesa halisi utakayoipokea ...
Uzuri wake process zote za kudeposit na withdraw zinafanywa kwa njia rahisi ya Mpesa.. Sio lazima uingie bank..

Baada ya kuona umeiva utaamia katka akaunti nyingine iitwayo Universal.. Huku ndo utatia mpunga wako Wa maana..

Kujifunzia demo umakin unapungua kwa sababu hupotez wala hupat chochote
Maximum withdrawal ya cent account ni ngapi, je naweza kutumia mpesa bila bank account
 
mimi nataka nitumie kadi ya Bank (VISA) ya crdb ila haina jina langu,namaanisha kadi haina jina la cardholder alafu nimeona hicho kigezo je, nifanyeje??
Jina halina issue sehemu itakayohitaji jina utaandika tu majina yako. cha muhimu ni hizo namba za kadi na zile TATU za mwisho kule nyuma
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

TemplerFX | Promo
 
we jamaa fala sana
 
Candlestick ni kitu rahisi sana kuelewa in a matter of a week unajua kila kitu.. In short hii ni siku ya nne nasoma candlestick naona mwanga taratibu nikimaliza hii naingia course nyingine nahisi itakua rahisi pia kama nilimaster company na hire purchase in a matter of one month najiahidi after four months naanza kuingia sokoni kudownload pesa.
Hahaha forex is simple but is not easy

Kusoma candles na kuzielewa ni simple sana.

In real life mambo hayako ivyo.

Itakuhitaji miezi/miaka kadhaa kuzielewa izi vitu ...

Jitaidi sana ..
 
Tatizo likokwenye real application ya hicho unachokisoma

Tatizo liko kwenye entry na exit

Tatizo liko kwenye market timming.

Tatizo liko kwa martket maker

Sio rahisi kihivyo unavyo zungumzia.
Mkuu hapo kwenye entry na exit pamoja na timing daah ...pananipa wakati mgumu sana aise.

ila najitahid soon nitapa master.
 
Mkuu hapo kwenye entry na exit pamoja na timing daah ...pananipa wakati mgumu sana aise
Jiunge na telegramChannel yangu uweze kuona jinsi Timming ya Entry na Exit inavyofanyika.

Fungua App yako ya telegram kisha search neno @DTTfx ,nautaweza kujiunga

Karibu
#DayTradersTz #DTTfx
 
Kwa wale wasiopenda hii kitu mkae pembeni.

41gA4cf7
 
Sawa mkuu ila hapo jangid plaza kuna ofisi ya sirjeff Denis na nnajua ni rafiki yako kwa hiyo utashirikiana nae? ONTARIO
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom