Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
 
💙DayTradersTz💙
August 27, PIPs Summary

1. GBPCAD = 54
2. EURNZD = 56
3. GBPNZD =92
4. NZDJPY= 27
5. GBPAUD = 46
6. AUDJPY = 23
7. XAUUSD = - 25🔴 Loss
8. AUDCHF = 5

TOTAL BLUE PIPS = +303🔵
TOTAL RED PIPS = -25🔴

NET PROFIT = 278 PIPS🔵🔵

HAKIKA LEO ILIKUWA NI BLUE MONDAY

Video: BAADHI YA TRADES ASUBUHI YALEO




- Waweza kujiunga na telegram channel DayTradersTZ kupitia hii link: DayTradersTZ au Ingia kwenye telegram yako pale kwenye search box andika @DTTfx , Na utaweza kuona ENTRY / EXIT kwa trades zote za leo.
 
TEMPLER
with as minimun as $1 deposit and withdraw, via mpesa, skrill. Huenda ndo broker rahisi zaidi kumtumia, simple deposit and withdraw method, pia easier registration processes.
( https://templerfx.com )

PEPPERSTONE
minimum deposit of $25, no M Pesa. Available is skrill , netteller, direct bank and other ways...
( https://secure.pepperstone.com )

TICKMILL
minimum deposit $25. wako katika majaribio ya Mpesa, na wengine tulishajaribu kudeposit kwa mpesa na ikawa poa. japo ilisitishwa kwa muda. other deposit ways available includes skrill and visa.
NOTE: ukitaka kujisajili hapa hakikisha unatumia Tickmill Seychelles, huko ndipo Tanzania ipo, Haipo katika Tickmill UK.

( http://tickmill.com/seychelles )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anglia vizuri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuangalia vizuri nitaumiza kichwa coz am beginner and learning independently,anyway naona stop loss pia naona breakout kwenye trendline from up to down trend,pia naona a lot of bearish candles means ulienda short (sell) na kukusanya pips nyingi sana but a big bullish candle ikatokea na kuminimize pips zako na kama siyo kumaliza kabisa then bearish force ikaanza tena,je niko sahihi au ndo nisome sana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma sana[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu, naomba kufahamishwa. Ni muda upi TemplerFx anakua na spread chache na zinashuka mpaka ngapi? Nataka ku-compare na AmegaFx
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…