starboy09
JF-Expert Member
- Apr 20, 2017
- 284
- 182
Nashukuru sana mkuu.,UbarikiweHukutakiwa usubirimuda wote huo upite.
Kimsingi inatakiwa usubirie kwa siku 3 hadi 5
Iwapo fedha yako haijasoma, unawasilina na account manager wako wa pepperstone ili akupe ducument za uthitisho kuwa ametuma fedha, then unaenda bank physicall kudai chako
Sahihi, Nijukumu lako kufuatilia, Rejea maelezo hayo ya awali
Ungeomba kuonana na branch manager, hakika swala lako lingepewa kipaumbele, Maranyingi watu wa customer care wakati mwingine huwa hawajui nini wafanye kuhusu request zetu, Yaani unakuwa unamweleza maswala ambayo yako nje ya ufahamu wake, Hapo lazima uzungushwe.
Kwa bank zingine hakuna huo usumbufu.
Fedha yako direct inasoma kwenye account yako ndani ya siku 3 hadi 5 bila ya wewe kuhangaika na chochote
JE NINI CHA KUFANYA
- Fungua account kwenye moja ya hizi bank: BANCABC au EQUITYBANK au bank nyingine yeyote ambayo ni international kama Barclays au standard C.
- Pili fungua account SKRILL ambapo utaratibu utakuwa ni huu BANK to SKRILL then to BROKER, wakati wa kutoa itakuwa BROKER >> SKRILL >> BANK : Fedha yako unaipata ndani ya saa 48 bila usumbufu wowote.
Sent using Jamii Forums mobile app