*WAKANDA CAPITAL FOREX ACCOUNT MANAGEMENT*
Hii ni huduma mpya inayotolewa na *Wakanda Capital.*
Huduma hii ni mahususi kwa wale watu wenye uelewa na forex au wale wanaotrade ila hawana muda kutokana na majukumu ya kimaisha hivyo kupelekea kukosa muda wa kutrade kwa ufasaha. Hivyo, lengo la huduma hii ni kuweza kuwasaidia kumanage acc zao za Forex huku wao wakipata faida bila kufanya kazi yoyote.
*Je, ni nini kinahitajika ili kupata huduma?*
-Live Forex Account
-Templerfx kama broker
-Minimum Deposit ya $200
*Je, pesa ya kutrade ninaweka wapi?*
Pesa itawekwa kwenye acc yako. Kama huna acc ya Templer, unaweza kutumia link hii kufungua acc
Templer FX Trader na ukimaliza utafanya usajili na kufungua live acc, baada ya hapo utadeposit kiasi husika. Kama ukikwama tupo hapa kukusaidia kwa kila step.
*Je, ninaweza kutoa faida inayopatikana?*
Acc ambayo itakuwa chini ya uangalizi wa *WAKANDA CAPITAL* inaruhusiwa kutoa pesa mara moja kwa mwezi, na faida ya mwezi husika itagawanywa 70% kwa 30%, ikiwa 70% itaenda kwa mwenye acc.
*Je, kama nina maswali zaidi nitawapata vipi*
Kwa maswali zaidi mnaweza kuwasiliana na (CEO) kupitia 0744839127 au (CFO) kupitia 0756684172.
*Wakanda Capital*
Sent using
Jamii Forums mobile app