Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Ila hiyo picha ,ndio aliipost yeye japo sio ya kwake.
 
Jmani msaada wenu!! nimefungua demo account nilikuwa natrade vizuri tu lakini kuanzia jana nikitaka kuclose na kuopen trade inagoma pia hata chart haionyeshe price movement kuwa wanaocontrol market ni seller au buyer? nashindwa kujua nifanyeje
Kuna baadhi ya brokers sever zilistuck ijumaa probably ndo tatizo.
 
habari kuna mfanyakazi mwenzangu anafanya iyo folex ila mie sielewi hata kidogo but nataka kujua na kujaribu . plz nipe mwongozo
 
habari kuna mfanyakazi mwenzangu anafanya iyo folex ila mie sielewi hata kidogo but nataka kujua na kujaribu . plz nipe mwongozo
Habari?

Soma hapa taratibu...


Learn Forex Trading at School of Pipsology - BabyPips.com

Wana kitu wanaita Pips School, na ukipata shida waweza kuuliza kwa huyo mfanyakazi mwenzako, au hapa...

Then waweza kuja hapa
https://templerfx.com ambapo utajisajili na kufungua akaunt ya live Centforex ambayo utaitumia kama demo baada ya kuifund na $1 tu (kama 2280 hv).

All the best!
 
wataalaamu nisaddiieen namna ya kuchora pivot point kwa pcccc AMLIGHT mwl RCT
Kuna njia mbili
-1. Manual na
- 2. Kwa kutumia indicator

Manual
- Chagua pair husika, kisha nakili pivot points na weka mistari yake kwenye charti yako: Forex Pivot Points

Auto
- Download hii indiacator

1. Download

2. Extract zip file

3. Copy .ex4 file na liweke hapa: FILE > OPEN DATA FOLDER > MQL4 > INDICATORS ( Paste hapo )

4. Restart MT4 yako, kisha angalia kushoto mwa MT4 ( kwenye Navigator) utaona hiyo indicato.

5. Drag na iangushie kwenye Chart husika

KWA WATUMIAJI WA ANDROID FUATA HUU MWONGOZO HAPA CHINI
 

Attachments

Naweza kuanza kutrade na US 5$ nimechoka kufanya DEMO.
 
Ila isiwe cent maana cent naona kama ni ku fake flani hivi.
Ongeza mtaji, Angalau dola 30. Kwa broker mwenuye ECN account(spread ndogo) atakayekupa leverage 1:500, $30 ni mtaji tosha kabisa kwa Lot size ndogo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…