Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huwez loose $30 kwa sasa, the tumia tu cent account ya templer,Duh 30USD I can't afford to lose that amount for near future maybe 10USD.
Ukiacha indicator ambayo Mwl. RCT amekupa, ambayo ni ya PC, unaweza pia kuchora manual na kutrade pivots kwa simu.
Tumia muda kusoma hii thread kuanzia posti ya kwanza hadi hapa ilipofikia.Hii inafanyaje kazi naisikia tu ha sielewi anayeielewa please ani PM kunielekeza
Mwk. unatumia naked au indicator?Tumia muda kusoma hii thread kuanzia posti ya kwanza hadi hapa ilipofikia.
Hakika utapata mwanga mkubwa zaidi. https://bit.ly/2MzInU3
Both.Mwk. unatumia naked au indicator?
OkBoth.
Kuna baadhi ya technical indicator ni muhimu
Mfano:
SR indicator inatuma alert kwenye simu yako kila price inapogusa trendline, au kila price inapogusa H4 / D1 resistance.
Hiyo naitaka aseeBoth.
Kuna baadhi ya technical indicator ni muhimu
Mfano:
SR indicator inatuma alert kwenye simu yako kila price inapogusa trendline, au kila price inapogusa H4 / D1 resistance.
Haya bro kalia kubeba mabox kama robot
Duh 30USD I can't afford to lose that amount for near future maybe 10USD.
SR indicator inatuma alert kwenye simu yako kila price inapogusa trendline, au kila price inapogusa H4 / D1 resistance.
Uelewa unaruhusuweka uliwe,
Uelewa unaruhusu
Hahahah time will tellHahahaaaaa, kwa GPA 32
Bro naomba unitumie Three dimensional approach kama unacho.
Three dimensional approach
1. Login in kwenye account yako:Guys naombeni nisaidieni nimefungua akaunti Papperstone iko verified lakin nimeshindwa kudeposit