Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Tunaongelea kitu kimoja kabisa na hiyo partial ndio huyu ndugu yako anasema haiwezekani
Hapana, yeye alikuwa anaongelea stop out. Nawe ukawa wasemea kutake partials.

Alikuwa anazungumzia faida ya kufungua position nyingi ukilinganisha na moja ya lot kubwa, linapokuja suala la margin call.
 
Hapana, yeye alikuwa anaongelea stop out. Nawe ukawa wasemea kutake partials.

Alikuwa anazungumzia faida ya kufungua position nyingi ukilinganisha na moja ya lot kubwa, linapokuja suala la margin call.
Ameniuliza pale juu namna ya kufunga position kubwa kidogo kidogo boss kama ni stop out mbona nilishaongea kwamba haiwezekani tangu post ya kwanza na hata baada ya kumuelekeza hiyo partial bado kakomaa hata hiyo haiwezekani kama angekuwa na maana hiyo si angesema kwamba siongelei hilo?
 
Basi basi... Yameisha... Ameelewa... Ngoja akatest ataleta mrejesho.
 
Wakuu nipeni update kuhusu soko. Sjaingia mda kidogo! Nilikuwa bize na mambo mengine.
 
Templer ni mtata sana japo unaweza kumake profit lakini huyu broker kwa kweli nimemlinganisha na wengine nikaona ana aina fulani hivi ya manipulation anaifanya in the background! Hivyo nimeamua kuachana naye maana ni shiiiiiida! SIJASEMA HUWEZI PATA PROFIT KWA TEMPLER ILA KUNA VITU ANAFANYA SIVYO KAMA UKIMCOMPARE NA BROKERS WENGINE UTAKGUNDUA HILO! FANYA UTAFITI WAKO WEWE MWENYEWE!
 
Mkuu sitaki kuongea sana. Mimi ni mdau wa Forex.


Nimekuwekea real account details zangu. Niseme tu Forex sio easy kama watu wanavyoaminishwa. Ufanisi wako ktk Forex unaanza tangu siku ya kwanza kuijua au ulipoisikia. Kama ulisikia Forex ni easy na Fast Get Rich Scheme lazima itakuathiri mbeleni.


Siri kubwa ktk Forex ni kujifunza kila siku + Patience. Na si kila mzungu anajua Forex. Mimi kuna mmarekani mzungu nimewahi kumpa "abc" za Forex. So kitu kama mzungu haijui doesn't means hakiexist. Forex ipo. Ni kichaa ndio anaweza kataa kutokuwepo kwa hii Mega bissiness.


Bado sijafanikiwa ktk Forex I'm still learning kwa sana. Hiyo account ya dola 19 nataka niifikishe dola ,500 before mpaka January. Kwa sasa nimehold position na ipo kwenye profit ya dola 1.70. Ninaexpect hiyo single position itaenda mpaka dola 100+. Na kuna analysis nazifanya Leo nitascalp jNNE,tano na alhamis kwenye weekly reversal.


Hiyo account ya USD 2000+ nilidepost dola 400 one month ago. So within one month nikapata 1600 USD profit. Please Sio rahisi kuna turbulences nyingi mno, japo ukizichukua in positive way kuna zinakutengeneza kuwa strong.


NB: Si kwamba sipati hasara. I get. But mwisho wa siku faida inakuwa kubwa kuliko hasara.


Natamani saaaana vijana wangejua si Forex tu Bali all Financial Markets business kama stock, indices, commodities n.k.
 

Correction: Marekani ni taifa lililo na anuai ya watu.

Hivyo, si kila Mmarekani ni Mzungu.
 
Namtumia TempleR for my OWN RISK.


Soon nitahamia exness moja ya broker bora kabisa duniani. Exness ndio broker anaongoza kwa kuwa na currency nyingi.


Nitakuwa na KWD account.


Mind you wakati 1 USD = 1300 tsh

1KWD = 7000 tsh
 
Namtumia TempleR for my OWN RISK.


Soon nitahamia exness moja ya broker bora kabisa duniani. Exness ndio broker anaongoza kwa kuwa na currency nyingi.


Nitakuwa na KWD account.


Mind you wakati 1 USD = 1300 tsh

1KWD = 7000 tsh
Mkuu hii KWD ni sarafu ya nchi gani? Tujuze mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…