AMLIGHT
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 1,140
- 843
Templer[emoji1][emoji1], usiyemtaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]broker gani crypto zinatembea weekend???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Templer[emoji1][emoji1], usiyemtaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]broker gani crypto zinatembea weekend???
siyo wote... pepperstone hamna hicho kituwote
[emoji3][emoji3][emoji3].... demo halina shidaTempler[emoji1][emoji1], usiyemtaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana, yeye alikuwa anaongelea stop out. Nawe ukawa wasemea kutake partials.Tunaongelea kitu kimoja kabisa na hiyo partial ndio huyu ndugu yako anasema haiwezekani
It works😂😂 shukran mkuu
hii itakuwa ni wote nimejaribu Exnesssiyo wote... pepperstone hamna hicho kitu
Hivi kwenye demo kuna Cryptos eeh?j3 mbali log in demo account yako nenda kwenye cryptos ujaribu naenda kujaribu
Ameniuliza pale juu namna ya kufunga position kubwa kidogo kidogo boss kama ni stop out mbona nilishaongea kwamba haiwezekani tangu post ya kwanza na hata baada ya kumuelekeza hiyo partial bado kakomaa hata hiyo haiwezekani kama angekuwa na maana hiyo si angesema kwamba siongelei hilo?Hapana, yeye alikuwa anaongelea stop out. Nawe ukawa wasemea kutake partials.
Alikuwa anazungumzia faida ya kufungua position nyingi ukilinganisha na moja ya lot kubwa, linapokuja suala la margin call.
Basi basi... Yameisha... Ameelewa... Ngoja akatest ataleta mrejesho.Ameniuliza pale juu namna ya kufunga position kubwa kidogo kidogo boss kama ni stop out mbona nilishaongea kwamba haiwezekani tangu post ya kwanza na hata baada ya kumuelekeza hiyo partial bado kakomaa hata hiyo haiwezekani kama angekuwa na maana hiyo si angesema kwamba siongelei hilo?
saw, kila la kheriHahaha ametushika hapo kwenye withdrawal boss yaani hata sim banking haioni ndani kwa templer
ukifungua app nahisi utaona soko lilikuwajeWakuu nipeni update kuhusu soko. Sjaingia mda kidogo! Nilikuwa bize na mambo mengine.
Mkuu sitaki kuongea sana. Mimi ni mdau wa Forex.Yep
Naikumbuka Hiyo conversation!
Imagine I knew of this stuff way back in 2005/06.
Nikaijaribu mwenyewe nione itakavyokua.
Sikuwa impressed hata kidogo.
Nikaachana nayo na nikaendelea na kubeba boksi tu.
Huko ambako haya mambo yalipoanzia [nasadiki ni Marekani] watu walio wengi hawana time nayo kabisa.
Ingekuwa ni rahisi kutengeneza hizo dollar kama ilivyoainishwa humu, basi karibu kila Mmarekani angekuwa ana trade.
Lakini jaribu tu kutembea mitaani halafu uliza tu random people kama wanajua Forex ni nini uone utapata majibu ya aina gani.
Mkuu sitaki kuongea sana. Mimi ni mdau wa Forex.
Nimekuwekea real account details zangu. Niseme tu Forex sio easy kama watu wanavyoaminishwa. Ufanisi wako ktk Forex unaanza tangu siku ya kwanza kuijua au ulipoisikia. Kama ulisikia Forex ni easy na Fast Get Rich Scheme lazima itakuathiri mbeleni.
Siri kubwa ktk Forex ni kujifunza kila siku + Patience. Na si kila mzungu anajua Forex. Mimi kuna mmarekani mzungu nimewahi kumpa "abc" za Forex. So kitu kama mzungu haijui doesn't means hakiexist. Forex ipo. Ni kichaa ndio anaweza kataa kutokuwepo kwa hii Mega bissiness.
Bado sijafanikiwa ktk Forex I'm still learning kwa sana. Hiyo account ya dola 19 nataka niifikishe dola ,500 before mpaka January. Kwa sasa nimehold position na ipo kwenye profit ya dola 1.70. Ninaexpect hiyo single position itaenda mpaka dola 100+. Na kuna analysis nazifanya Leo nitascalp jNNE,tano na alhamis kwenye weekly reversal.
Hiyo account ya USD 2000+ nilidepost dola 400 one month ago. So within one month nikapata 1600 USD profit. Please Sio rahisi kuna turbulences nyingi mno, japo ukizichukua in positive way kuna zinakutengeneza kuwa strong.
NB: Si kwamba sipati hasara. I get. But mwisho wa siku faida inakuwa kubwa kuliko hasara.
Natamani saaaana vijana wangejua si Forex tu Bali all Financial Markets business kama stock, indices, commodities n.k. View attachment 961146View attachment 961147
Namtumia TempleR for my OWN RISK.Templer ni mtata sana japo unaweza kumake profit lakini huyu broker kwa kweli nimemlinganisha na wengine nikaona ana aina fulani hivi ya manipulation anaifanya in the background! Hivyo nimeamua kuachana naye maana ni shiiiiiida! SIJASEMA HUWEZI PATA PROFIT KWA TEMPLER ILA KUNA VITU ANAFANYA SIVYO KAMA UKIMCOMPARE NA BROKERS WENGINE UTAKGUNDUA HILO! FANYA UTAFITI WAKO WEWE MWENYEWE!
Ndio maana nikasema kuna mmarekani mzungu.Correction: Marekani ni taifa lililo na anuai ya watu.
Hivyo, si kila Mmarekani ni Mzungu.
Ndio maana nikasema kuna mmarekani mzungu.
Bro Americans wengi wana trade forex ..labda wee ujui tu!Correction: Marekani ni taifa lililo na anuai ya watu.
Hivyo, si kila Mmarekani ni Mzungu.
Bro Americans wengi wana trade forex ..labda wee ujui tu!
Mkuu hii KWD ni sarafu ya nchi gani? Tujuze mkuu.Namtumia TempleR for my OWN RISK.
Soon nitahamia exness moja ya broker bora kabisa duniani. Exness ndio broker anaongoza kwa kuwa na currency nyingi.
Nitakuwa na KWD account.
Mind you wakati 1 USD = 1300 tsh
1KWD = 7000 tsh