Kwani mimi nimebisha chochote??? .... nilichosema ni kwamba hakuna utofauti wowote katika kumake profits kwa account yenye base currency ya USD na ya KWD. unless by that time currency moja iwe inadepereciate kwa kasi sana kuliko curency nyingine.Acha ubishi wewe..
Dola 1= Tsh 2300
1KWD = Tsh 7000
Kama mpaka hapo hujaona tofauti sina lingine la kusema.
Sawa boss, naheshimu uhuru wako wa kutoa maoni. BarikiwaKwani mimi nimebisha chochote??? .... nilichosema ni kwamba hakuna utofauti wowote katika kumake profits kwa account yenye base currency ya USD na ya KWD. unless by that time currency moja iwe inadepereciate kwa kasi sana kuliko curency nyingine.
tena mwenye account ya USD atakuwa na advantage kwa baadhi ya pairs ambazo usd ni basa currency kama USDCAD, USDCHF, USDJPY n.k. sababu hatakumbana na exchange rate fees.
Kipi kisichoeleweka???
Nimepoteza vitabu .. naomba link ya vitabu for begginersKwa kumtumia vyema google hakika utaweza jua kila kitu unachotaka kujua, Jaribu
Hongera ndugu
FX Trading BooksNimepoteza vitabu .. naomba link ya vitabu for begginers
Mkuu naomba unishauri kwa 100 ni ipi leverage rate nzuri kuweka na ni lot size gani pia nzuri kutumiaNdio maana nikasema kuna mmarekani mzungu.
Kwanza kabisa kabla hujajibiwa swali lako ni vizuri kujua trading style yako. Je wewe ni scalper, day trader au swing trader? Au unaprefer kutrade time frame ipi? Maana hivi nazo ni vitu vya msingi katika kuchagua lot na hata leverage!Mkuu naomba unishauri kwa 100 ni ipi leverage rate nzuri kuweka na ni lot size gani pia nzuri kutumia
Scalper , 1m to 15m ndo my favoriteKwanza kabisa kabla hujajibiwa swali lako ni vizuri kujua trading style yako. Je wewe ni scalper, day trader au swing trader? Au unaprefer kutrade time frame ipi? Maana hivi nazo ni vitu vya msingi katika kuchagua lot na hata leverage!
Ok. Kwa mtazamo wangu lot size inatakiwa iwe kati ya 0.05 mpaka 0.1 maximum na leverage between 500-1000 maximum. (hayo ni maoni yangu kama kuna mwingine mwenye mtazamo au mawazo tofauti karibu)Scalper , 1m to 15m ndo my favorite
Asanteh sana mkuu Mimi bado ni newbie na Nina miezi kadhaa sasa najifunza na kwenye demo ya 3000 ninesha triple kwa kujifunza njia mbali mbali na January nataka nianze live trading maana najihisi wakati wake umefika ila hayo ndo moja ya mambo niliyokuwa nayatamani kuyajua kati ya mengi ila kuna hii term yaOk. Kwa mtazamo wangu lot size inatakiwa iwe kati ya 0.05 mpaka 0.1 maximum na leverage between 500-1000 maximum. (hayo ni maoni yangu kama kuna mwingine mwenye mtazamo au mawazo tofauti karibu)
Asanteh sana mkuu Mimi bado ni newbie na Nina miezi kadhaa sasa najifunza na kwenye demo ya 3000 ninesha triple kwa kujifunza njia mbali mbali na January nataka nianze live trading maana najihisi wakati wake umefika ila hayo ndo moja ya mambo niliyokuwa nayatamani kuyajua kati ya mengi ila kuna hii term ya
Margin.
Free margin
Margin level (%)
Zinanishinda kujua ufanyaji kazi wake
Asanteh sana mkuu sijui hata nikulipe nini ila nakuombea tu baraka na mafanikio teleIntroduction
The aim of this page is to explain important terms to trades on Forex market. This will help to define the size of a position or configure properly an Expert Advisor like Wolfgrid or my other products: Dorian Baranes
We will use the example below to undestand those key terms:
Balance
Balance shows the amount of deposited money in your trading account. The profit/loss of your orders will be added or deducted to/from your trading account balance when you close your orders.
In our example the balance is 1004.54 USD
Equity
Balance and Equity show the same values as long as there is not any open order. When you have open orders in your trading account, the Balance will not change and it will stay fixed but the Equity will be floated according to the profit/loss of your current orders. The formula is:
Equity = Balance + Profit&Loss
Our example: Equity= 1004.54 - 18 = 986.54 USD
Leverage
Leverage is a feature offered by Forex brokers which helps traders to trade the larger amounts of currency pairs through having a smaller account balance.
In our example, the account leverage is 500:1, you can buy 500USD by paying 1USD. Therefore, to buy 100,000USD (one lot), you should pay only 200USD (100 000/500).
Margin
Margin is the amount of the money that is used to open a position or trade and it is calculated based on the leverage. In other words it is the amount of the money that gets involved in a position as collateral. This money is locked until the position is closed. The formula is:
Margin = (Price symbol x Volume) / Leverage
Our example: Margin= (1.16620 x 100 000) / 500 = 233.28 USD
Free Margin
Free margin is the difference of your account equity and margin used for the open positions. When you have no positions then no money from your account is used for margin.Therefore, all the money you have in your account is free. The formula is:
Free Margin= Equity - Margin
Our example: Free Margin= 986.54 -233.28 = 753.26 USD
Margin Level
Margin level is the ratio of the equity to the margin. Margin level is very important since brokers use it to determine whether the traders can take any new positions when they already have some positions.Different brokers have different limits for the margin level, but this limit is usually 100% with most of the brokers. This limit is called Margin Call Level. The formula is:
Margin Level %= (Equity / Margin) x 100
Our example: Margin Level= (986.54/233.28)x100 = 422.91%
Margin Call Level
100% margin call level means if your account margin level reaches 100%, you can still close your open positions, but you cannot take any new positions. Indeed, 100% margin call level happens when your account equity, equals the required margin.
Stop Out Level
For example, when the stop out level is set to 5% by a broker, the system starts closing your losing positions automatically if your margin level reaches 5%. It starts closing from the biggest losing position first. Usually, closing one losing position will take the margin level higher than 5%, because it will release the required margin of that position, and so, the total used margin will go lower and therefore the margin level will go higher.
The reason why this limit is setup is that the broker cannot allow you to lose more than the money you have deposited in your account.
TUPO PAMOJAAsanteh sana mkuu sijui hata nikulipe nini ila nakuombea tu baraka na mafanikio tele
Pia unaweza ukaingia YouTube kwenye chaneli ya scalpkingz fxAsanteh sana mkuu sijui hata nikulipe nini ila nakuombea tu baraka na mafanikio tele
Jamani natamani sana kufanya biashara ya fores ila sijaweza kupata mkufunzi kwaiyl bhas kama kuna mkufunzi yyte au trader yyte Ambaye yuko mwanza tuwasiliane kwa namba hizi 0714886986 nawaomba sana ndugu zangu hizi ji funguo za mafanikio ila zinaitaji elimu ya kutosha